Elon Musk ampiku Jeff Benzos kwa utajiri duniani

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,490
Shares of Tesla are up another 4.2% today and with that, Tesla CEO Elon Musk has passed Jeff Bezos to become the world's richest person, according to Bloomberg calculations. His net worth is $188 billion dollars, about $1.5 billion more than Bezos.

In the past 12 months, Musk's net worth has risen by more than $150 billion on a 750% rise in Tesla's share price. He owns 20% of the company but also holds options that are now worth $42 billion.

The Tesla chart is breathtaking

Tesla musk

Tesla is now the world's sixth-largest company.

It's not just Musk, the 500 richest people in the world added 31% to their wealth last year, according to Bloomberg

---
Dakika 37 zilizopita majarida maarufu ya kibiashara nchi Marekani yalitangaza kuwa Bw Elon Musk kuwa ndio mtu tajiri zaidi duniani akimpita CEO wa Amazon Jeff Bezos.

Soko la hisa za makampuni ya Elon Musk mmiliki wa kampuni la Kiteknolojia la SpaceX linalijishughulisha na Safari za anga, Boring Company, na mengine meengi yamepanda kwa Kasi Sana na kumfanya mtu tajiri zaidi duniani kufikia dola za kimarekani BILIONI 190, huku Jeff Bezos akiwa na $188. Na nafasi ya tatu akiwa Bill Gates

Ndoto za Elon Musk; katika mahojiano yake na kituo Cha televisheni aliwahi kusema kuwa ili ndoto zake zitimie ni lazima ahamie nchini Marekani, hivyo alifanya kila namna ahame nchini Afrika Kusini kwenda Marekani japo wazazi wake hawakupenda.

1. NDOTO YAKE YA KUTOA HUDUMA YA INTERNET BURE DUNIA NZIMA.
Mpaka Sasa kampuni take ya safari za anga SpaceX imefanikiwa ku'install' satelitte zaidi ya sitini na alipohojiwa alikiri kuwa na ndoto za kutoa huduma za data bure miaka ya usoni

2. NDOTO YA KUHIFADHI KUMBUKUMBU ZA WATU KIELEKTRONIKI
Pia billionea huyu mtaalam wa programu za kompyuta Ali"launch" project ya kuhifadhi kumbukumbu za binadamu kwa njia ya data kwa kutengeneza mfumo wa chips ambazo zitaweza kuzifanya kompyuta iwasiliane na ubongo na kuchukua taarifa

3. KUITAWALA SAYARI YA MARS
Pia kampuni ya spaceX wanafanikiwa Sana Safari za kwenda sayari ya Mars na kufanya tafiti za mbali,. Yeye alitumia misamiati wa "aim to colonize Mars" .
Achana na Teknolojia aisee
Huyo ndio Elon Musk
 
Similarily, shares zinaweza kushuka kwa 90% toka zilipo sasa ndani ya mwaka mmoja na akarudi alikotoka, sivyo? Maana anything is only as worth as what people are willing to pay for it, sivyo?
Huyu jamaa inawezekana ndani ya mwaka mmoja utajiri wake ukatripple maana anafuatiliwa sana na watu halafu cha ajabu huwa hatangazi bidhaa zake kama kampuni nyingine
 
Shares of Tesla are up another 4.2% today and with that, Tesla CEO Elon Musk has passed Jeff Bezos to become the world's richest person, according to Bloomberg calculations. His net worth is $188 billion dollars, about $1.5 billion more than Bezos...
Kazaliwa Africa. Na alikuwa raia wa South Africa. Ndio kilichobaki Kwa Sisi Waafrika.
 
Huyo jamaa ana bidhaa gani au huduma gani ya kumpa utajiri huo? Wateja wake in kina nani? Kama simuamini amini
Bro huyu jamaa ni next Level Project zake si za kimchezomchezo...
1. Space X inahusika na kurusha Satellite na wanaanga anga za Juu kwa malipo.
2. Tesla Inc Magari ya umeme batteries na Solar Panel.
3. Boring kuchimba njia za Ardhin
4. Neurolink
5. Wengine waongezee
 
Dakika 37 zilizopita majarida maarufu ya kibiashara nchi Marekani yalitangaza kuwa Bw Elon Musk kuwa ndio mtu tajiri zaidi duniani akimpita CEO wa Amazon Jeff Bezos.

Soko la hisa za makampuni ya Elon Musk mmiliki wa kampuni la Kiteknolojia la SpaceX linalijishughulisha na Safari za anga, Boring Company, na mengine meengi yamepanda kwa Kasi Sana na kumfanya mtu tajiri zaidi duniani kufikia dola za kimarekani BILIONI 190, huku Jeff Bezos akiwa na $188. Na nafasi ya tatu akiwa Bill Gates

Ndoto za Elon Musk; katika mahojiano yake na kituo Cha televisheni aliwahi kusema kuwa ili ndoto zake zitimie ni lazima ahamie nchini Marekani, hivyo alifanya kila namna ahame nchini Afrika Kusini kwenda Marekani japo wazazi wake hawakupenda.

1. NDOTO YAKE YA KUTOA HUDUMA YA INTERNET BURE DUNIA NZIMA.
Mpaka Sasa kampuni take ya safari za anga SpaceX imefanikiwa ku'install' satelitte zaidi ya sitini na alipohojiwa alikiri kuwa na ndoto za kutoa huduma za data bure miaka ya usoni

2. NDOTO YA KUHIFADHI KUMBUKUMBU ZA WATU KIELEKTRONIKI
Pia billionea huyu mtaalam wa programu za kompyuta Ali"launch" project ya kuhifadhi kumbukumbu za binadamu kwa njia ya data kwa kutengeneza mfumo wa chips ambazo zitaweza kuzifanya kompyuta iwasiliane na ubongo na kuchukua taarifa

3. KUITAWALA SAYARI YA MARS
Pia kampuni ya spaceX wanafanikiwa Sana Safari za kwenda sayari ya Mars na kufanya tafiti za mbali,. Yeye alitumia misamiati wa "aim to colonize Mars" .

Achana na Teknolojia aisee
Huyo ndio Elon Musk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom