utajiri

  1. Zitto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani 2020: ACT-Wazalendo kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa

    Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa. Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi iliyopo pamoja na ukosefu wa ajira kunazidi kushika kasi duniani na Tanzania ikiwemo. Hii inaamsha ari ya kufikiri njia mpya za...
  2. Zitto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani 2020: ACT-Wazalendo kujenga utajiri wa jamii kupitia ushirika wa kisasa (Community Wealth Building)

    Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa (Community Wealth Building). Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi iliyopo pamoja na ukosefu wa ajira kunazidi kushika kasi duniani na Tanzania ikiwemo. Hii inaamsha...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Ukizaliwa binadamu kwenye hii dunia basi huna bahati, utajiri sio suluhisho la kudumu

    Ukizaliwa binadamu, ujue mateso, umaskini, njaa, kuumizwa kihisia, magonjwa ndo yanakusubiri. Ukiwa tajiri kuanzia kuzaliwa hadi kufa kwako basi kama una dhambi, jehanamu ya moto inakusubiri ili uchomeke milele. Haya mateso tunayopitia hapa duniani naona kama hayana ulazima, kwa sababu kama...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

    Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au? Zuchu yuko overpriced Mauzo ya Ticket Mapato kutokana na Mauzo ya Ticket Tathmini ya Show Mahudhurio ya Wasanii tofauti tofauti
  5. Hashpower7113

    JamiiForums Tanzania Gene Deitch: Mvumbuzi wa katuni za Tom and Jerry aliyekufa na utajiri wa kutisha

    Na Hash Power Kuna msemo mmoja kwamba ukipenda kazi unayoifanya, lazima ufanikiwe maishani mwako! Gene Deitch, ni miongoni mwa mifano inayoishi ya jinsi kujituma, kupenda unachokifanya na kuelekeza nguvu zako kwenye hicho kitu, kunavyoweza kukutoa maishani. Yawezekana jina la Eugene Merril...
  6. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Billionea Laizer amethibitisha utajiri wa nchi yetu

    Kwamba mawe ya dhahabu, almasi, Tanzanite yaliyoko ardhini yana utajiri ambao hakuna nchi yoyote ya Ulaya wala Marekani inaweza kufikia thamani take. Rutuba ya ardhi iliyoko. Tanzania ni zaidi ya majengo yote yaliyoko Ulaya na Marekani. Samaki tulionao kwenye maziwa na bahari utajiri wake ni...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Matajiri wasioweza kueleza chanzo cha utajiri wao mali zao kuchukuliwa

    Mamlaka ya Zimbabwe imesema watu ambao hawawezi kuelezea utajiri wao ulitoka wapi mali zao ziko katika hatari ya kuchukuliwa hata ikiwa mahakama itawaondolea madai ya kuhusika na ufisadi. Mwenyekiti wa tume ya kupambana na ufisadi Zimbabwe, jaji Loyce Matanda-Moyo, amesema oparesheni mpya...
  8. Requal

    JamiiForums Tanzania MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

    JamiiForums ni zaidi ya habari, nami nimeona niweke hapa kisa ambacho kinaweza kuwa funzo/somo kwa vijana wengi watafutaji hasa wanaopenda shortcut. Mtanisamehe kwa uandishi wangu mbovu na mpangilio wa visa. Mwaka huu mwanzoni nilikuwa mkoani Arusha kwa jamaa yangu mmoja tuliyetoka nae Kijiji...
  9. Adolfms

    JamiiForums Tanzania Utajiri na uhusika wa mganga katika biashara

    Ndugu zangu, dhana inayofanyika mpaka mtu anapata UTAJIRI kutoka kwa mganga. Hii ipoje kwa anayejua? Pia, mie najiuliza hawa waganga huwa wanaona nini hasa kipindi wanamuagua mtu. Kama wewe unapeleka mnyaa then yeye anakwambia matatizo yako au matamanio yao. Au kutumia kuku!? Tujadili kama...
  10. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania AIM Global, Qnet, Forever Living, One Coin, GNLD na wengine mbadili mbinu za utapeli, hii ya utajiri ndani ya siku 2 imepitwa na wakati

    Huu ni ushauri wa bure. Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati. Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi. Kupiga picha na selfie kwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Fedha: Jinsi ya kutengeneza pesa na kuendelea kuwa juu!

    Naandika thread hii kuwasaidia vijana walio wengi wanaokuwa wakihangaika kusaka the so called 'Utajiri' au kutaka kuwa na pesa na wanajikuta kila mara hawajui zimepotelea wapi. Kuna threads kadhaa humu JF. Natambua uwepo wa hii thread yenye kanuni 12 Kanuni 12 muhimu za kuzingatia kuhusu pesa -...
  12. No Escape

    JamiiForums Tanzania Huku kitaa: Utajiri ni nyumba na gari Tuu!...

    Usishangae Ukaanza kutengwa,kukopwa na Hata kurogwa kwa sababu huku kwetu tunaamini kabisa huwezi kuwa na hivyo vitu km wewe sio Tajiri na sie huku tuna Aleji na hao watu!!
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiukweli Marais wastaafu wa Tanzania ni wanyonge wenzetu, utajiri aliouacha Moi Kenya unadhihirisha ubepari wa nchi hiyo!

    Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv. Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana. Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Dangote aongoza kwa utajiri Afrika, Mo Dewji ashika nafasi ya 16

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji (Mo) ametajwa kuwa miongoni mwa mabilionea 20 wa Afrika kwa ripoti ya mwaka 2020 licha ya utajiri wake kupungua kwa Dola milioni 300 (Sh692.67 bilioni). Katika orodha hiyo ya jarida mashuhuri la Forbes kwa mwaka huu limemtaja Mo mwenye miaka 44 kama...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania iruhusu Watanzania kumiliki utajiri wa dunia kwa kuruhusu ununuzi na uuzaji hisa masoko makubwa ya hisa duniani

    Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa wengi ni chanzo cha utajiri wa wachache

    Kwa sasa kuna michezo ya kubashiri na bahati nasibu mbalimbali, tunacheza kwa kuwa tunataka shortcut ya mafanikio na bado inakuwa shida ni wachache wanapata pesa hizo. Tufanye hesabu ndogo kwenye hizi habari za bahati nasibu, Kuna michezo ambayo kiwango chake cha kucheza ni tsh 500, Tanzania...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kugwaya kwa 'utajiri' walioutangazia ulimwengu, Tanzania kukosa mikopo nafuu na misaada

    Dodoma 20, 2019 WAZIRI MPANGO: Baada ya Uchumi wa Tanzania 'kufanya vizuri' kumepelekea Kupungua kwa misaada na kumeathiri baadhi ya miradi ya maendeleo nchini Serikali imesema kupungua kwa misaada ya maendeleo kumeathiri baadhi ya vyanzo vya ugharamiaji wa miradi ya maendeleo nchini na hivyo...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe aacha $10million, lakini hajaacha wosia wowote

    Kiongozi wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe ameacha $ 10m na mali kadhaa lakini hakuna atakayetaja walengwa/warithi wake. Gazeti linalomilikiwa na serikali la Herald lilisema binti yake, Bona Chikore, alifichua mali hiyo katika mahakama Kuu baada ya familia hiyo kukosa kupata wosia wake. Pesa...
  19. wickerman

    JamiiForums Tanzania Pesa binafsi, usimamizi wa pesa, biashara na utajiri

    Nimesoma hii makala sehemu moja huko kwenye intaneti nikasema sio mbaya kama nikiitafsiri ili iweze kueleweka kwa wote, pia nimebadilisha baadhi ya mifano kuendana na mazingira yetu, maana imenigusa kwa namna fulani. Nimeambatanisha PDF ya nakala zote mbili ya kiingereza na kiswahili...
Back
Top Bottom