lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,151
- 33,330
Marekani na China Ni nchi Matajiri Sana lakini kila moja inaitegemea nyingine. Marekani anazalisha Sana na anaiuzia China, China pia anazalisha Sana na anaiuzia Marekani.
Sisi hatuzalishi chochote Cha kiwandani Cha kuweza kuwauzia Mabeberu, Wala hatulimi Sana kushinda hata India China na Brazil.
Madini tuliyonayo hata Urusi na kongo kwa uchache wanayo.
Utalii hata Kenya na Botswana upo.
Mabeberu vitu vyao Ni :-
Vitabu,
Madawa,
Vifaa tiba,
Ujenzi wa miundombinu,
Machine,
Mitambo,
Magari,
Treni,
Meli,
TV,
Umeme,
Bodaboda,
Vifaa vya kupimi,hata kupimia korona, aids,
Hela,
Vifaa vya kuchimba madini na visima,
Silaha,
Lada za uwanja wa ndege na jeshini,
Toothpick,
Visafisha masikio,
Masoko ya fedha na bidhaa,hasa za mashambani Kama korosho na kahawa,
N.k.
Nilikua nimesahau kumbe na "Bombadia"zinatoka kwa mabeberu.
Hivi vyote wanatengeneza wao na tunavihitaji sana. Kila siku tuko kwa screen Za TV zilizotengenezwa na Mabeberu tunauza sura na kutoa matamko makali hata kuwaponda Mabeberu.
Sisi sio kisiwa, hata Urusi na China maadui wakubwa wa Mabeberu wanawahitaji Mabeberu kuliko sisi, nao Mabeberu wanawahitaji Warusi na wachina Sana.