Kupanga mji ni ustaarabu tu wala siyo utajiri. Cheki hiki kijiji huko Mbeya.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Hiki kijiji kinaitwa Ifumbo. Kipo wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya. Kimepangwa vizuri sana kuliko sehemu nyingi za jiji la Mbeya.
Watu wa mipango miji na vijiji vingine viende vikajifunze kabla hawajachafua maeneo yao.
Weka picha ya kijiji kilichopangika vizuri.
Screenshot_20201230-104631.png
Screenshot_20201230-104318.png
Screenshot_20201230-104611.png
Screenshot_20201230-104338.png
 
Vile vijiji vya ujamaa vya Nyerere vingi watu walipangwa vizuri mno kwa mabarabara shida ujamaa ulipokufa watu wakatapakaa ovyo tena bila mpangilio.

Hii picha ya chini ni kama sehemu mbili tofauti zimeunganishwa kwa App ya photo editor wakati ni mpaka wa mkoloni tu.
Df02FfOX0AAEp38.jpg
Rwanda inafanya vizuri mno kwenye mipango miji ukanda huu.
 
Hapo Goma congo kma sisimizi wanagombea sukari 😂😂😂😂 kumbe makazi ya watu.
 
Back
Top Bottom