utajiri

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kugombana na Wazungu ni kugombana na Utajiri

    KUGOMBANA NA WAZUNGU NI KUGOMBANA NA UTAJIRI. Anaandika Robert Heriel. Kutokana na Elimu duni ya Watanzania waliowengi kuhusu mambo ya kihistoria, wengi hawana Uelewa Dunia imetoka wapi, ilipo na wapi inapoelekea. Hivyo sio ajabu kumsikia Mtanzania Fulani akisema Wazungu ni adui zetu, Wazungu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuendelea kupata faida kwenye biashara

    THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS Diminishing ni kupungua kwa kitu Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani. Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu ukiongeza juhudi basi kitakuzalishia zaidi, ila kadri unavyozidi kuongeza juhudi bila kuongeza vitu...
  3. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro waachwa mbali kwa utajiri na Mkoa wa Shinyanga

    Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP) 1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion 2. Mwanza - sh 10.95 Trillion 3. Mbeya - sh 8.3 Trillion 4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion 5. Morogoro - sh 7.1 Trillion 6. Tanga - sh 6.9 Trillion 7. Arusha - sh 6.9 Trillion...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Utajiri ni rahisi kuupata ila masharti yake ni magumu

    Ukiona mtu katajiri jambo la kwanza utajiuliza mbona mimi nimeshindwa kuwa kama yeye. Napo sema utajiri ni rahisi kuupata kwa sababu njia zake ni rahisi pale utakapo gundua unapatikanaje kama fursa,soko,bei na n.k Matajiri wengi tunao waona na wengine wakubwa wamekuwa wakitupa njia za...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana, kwa utajiri wa mali na biashara anazofanya Mbowe ni wa kuchangiwa? Au ndio kuumizana tu Kichademachadema?

    Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai. Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili? Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya Kenya kupendwa kuliko Tanzania licha ya kuwapita utajiri wa utamaduni?

    Nilikuwa naangalia video flani YouTube inahusu capital city za nchi 54 za Africa. Sasa nikaenda sehemu ya comments kusoma nikajionea watu wengi kutoka mataifa mbalimbali dunia wakiisifia Kenya kuwa ndo favourite country yao lakini kiuhalisia ni dhahiri tumewazidi vivutio (Sina haja ya kuvitaja...
  7. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Usiri wa namna watu wanavyotajirika

    Karibu Tanzania, nchi ambayo ukisikia mtu ametajirika basi wazo la kwanza linalokujia kichwani ni "michongo", au "unga", au "kafara", au "nyota", au "upigaji", au "sponsor" na maneno mengine ya dizaini hiyo. Naomba mnisaidie, labda ni mimi peke yangu - lakini ni nadra sana kufikiria au kukubali...
  8. Jack Wabukoba

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna utajiri wa nguvu za giza?

    Hi ndugu, Naambiwa sana na kusoma simulizi kuwa mganga wa kienyeji anaweza kumuwezesha mtu kupata utajiri. Utajiri tena wa pesa taslimu (CASH) noti tupu. Kwamba unaenda kwa mganga na ukitoka tayari unazo, unatoka na maburungutu ya kutosha kwenye mfuko (begi). NAOMBA anayejua anijuze kwamba JE...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Apple Inc. ni mkubwa kuliko GDP ya Afrika

    Kampuni ya Apple ambayo inatengeneza bidhaa za iPhones na Mac imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya dola trilioni 3 katika soko la hisa Thamani hiyo ni kubwa kuzidi hata Pato la Ndani la Afrika(GDP) ambalo ni dola trilioni 2.6 Kampuni hiyo imefanikiwa kukua kwa kasi ndani ya miezi 16...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mdau wa Twitter: Makanisa yamegeuka maeneo ya kuoneshea ufahari na utajiri wa watu

    Makanisa yamegeuka maeneo ya kuoneshea Ufahari na Utajiri wa watu. Aliyetoa msaada wa Mabenchi anataka jina lake liandikwe kwenye mabenchi hayo, anayetoa msaada wa Vigae anataka jina lake litajwe mbele ya waumini wote na apigiwe makofi nk. Wewe usiye na uwezo huna nafasi tena.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hii ni proof kuwa bila Marekani maisha hayawezekani

    Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them. Hata case ya Mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute...
  12. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwajiriwa anavyoweza kujenga utajiri kwa kumiliki nyumba za kupangisha zenye kipato kikubwa

    Tunatafuta usalama na uhuru. Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2). Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
  13. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapohitaji kufanikiwa

    Wengi wetu mara nyingi huwa tunafikiri kukosa mafanikio ni matokeo ya kukosa bahati katika maisha. Fikra hizo mara nyingi, huwazuia wengi katika kufanikiwa na kujikuta wakiishia kuwa watu wa kulaumu na kushindwa kila siku. Kimsingi kitu kikubwa kinachochangia kuzuia mafanikio yetu ni baadhi ya...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wakubwa 20 waliojitengengenezea utajiri wao baada ya kuacha Chuo Kikuu

    Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu. Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio makubwa au utajiri mkubwa au ametimiza ndoto zake. Elimu haijasaidia kutajirisha watu wote wenye...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta Utajiri wa Punje za Mahindi na Jogoo, Imekaaje Hii?

    Nikiwa kwenye basi katika harakati za kuitafuta shs, tumesimama kuchimba dawa eneo linaonekana kama kijiji baada ya makambako kuelekea mafinga, ni eneo flani inaonekana kuna vyoo vya mtu binafsi ila abilia hatulipi na sijui nani anayehudumia hivyo vyoo!. Nikiwa ndani ya chumba natoa oil chafu...
  16. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji kamzidi vipi Bakhresa kwa Utajiri?

    Ifike mahali hawa Forbes wadhibutiwe wawe na vyanzo vya ukweli kumuita mtu Tajiri zaidi Tanzania,Tunapenda Tanzania yenye matajiri kakini sio utajiri wa kusifiana usio na ukweli , Mo anawezaje kumzidi Bakhresa wakati inasemekana mali zake ni share ya familia mean za kurithi? Bakhresa ana...
  17. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Diamond Platnumz...

    Huu Ndio Utajiri wa Msanii Diamond Platnumz by Frumence M Kyauke. Nasibu Abdul Juma Issack, almaarufu Diamond Platnumz, ni msanii Afrika mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji vilevile ni msanii tajiri zaidi. Umaarufu wake umeanza kuonekana mwaka 2010 baada ya kuachia albamu kwa jina Kamwambie...
  18. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Hii ipoje, Forbes tajiri wao namba 1 duniani ana $billion 230 lakini Mohammad bin Salman ana $billion 500 na hatumsikii

    Wadau mimi ni mmoja ya watu ambao japo sio wafuatiliaji sana lakini kuna kitu sijaelewa kwa mujibu wa Forbes bilionea Mmarekani mwenye asili ya South Africa, Elon Musk ndiye binaadam mwenye pesa zaidi dunian US dollar billion 230. Lakini juzi nimesikia mmiliki mpya wa Newcastle United Mohammad...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri ni bahati ila kuwa na maisha Mazur sio

    Mzuka wanajamvi! Wabongo wengi tunatofautisha kuwaTajiri na kuwa na maisha Mazuri ama bora. Wataalamu wa uchumi wanasema Tajiri ni yule ambaye ana utajiri ama hela kwa anzia dollars za kimarekani million moja au kulingana na kiasi hicho. Huyo ni tajiri kwasababu ana 'financial freedom'. Na...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Aliyemuua mkewe na kumnyofoa viungo ili apate utajiri ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu mkazi wa Kata Mjele, Wilaya ya Mbeya, Mateso Wilson (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua na kunyofoa viungo vya mkewe. Mateso alidaiwa kumuua mkewe Zaina Mela na kunyofoa viungo vyake yakiwemo maziwa na masikio. Hakimu...
Back
Top Bottom