usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Amelala kwangu usiku mmoja tu, tayari ameanza kujisahaulisha chupi zake

    Habari wakuu. Jana nililala na mtoto mmoja wa kike hapa kwangu, asubuhi kulivyokucha akaoga fresh ili awahi kazini kwake ila kilichonishangaza amejidai kusahau chupi yake bafuni, hajanijulisha kama ni lini atarudi kuichukua binafsi nimepanga kuiweka kwenye mfuko ili nimpitishie nyumbani kwake...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

    Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa...
  3. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Ajira nihurumie nifurahi na mimi pia

    Maisha ni kitendawili kigumu ambacho kwa sisi wanadamu kukitegua tunashindwa kabisa kutokana na ugumu wake. Ama kwa hakika mambo hayajawa mepesi mpaka ugumu ukukumbatie. Ni mwaka mwingine bado namaliza soli ya kiatu kusaka fursa ya ajira au kibarua nipate kuweka mkono kinywani ila still mambo...
  4. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi za usiku wa Ulaya leo

    Sevilla atakuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund katika Dimba la Ramon Sanchez- Pizjuan . Mara ya mwisho kukutana kwenye michuano hii timu hizo mbili ilikuwa msimu wa 2010- 11 kwenye Europa ligi hatua ya makundi. Sevilla alishinda 1 -0 wakiwa Dortmund na mchezo wa marudiano ulimalizika kwa sare ya...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki, barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana

    Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke. Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi. Raisi...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha Watanzania wengi wachafu huwa wanaenda kulala usiku bila kuoga

    Watu huamka asubuhi kwenda kwenye shughuli mbalimbali ambazo husabibisha mwili kuchafuka iwe kwa jasho au vumbi au chochote hivyo kufanya mtu awe mchafu. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya usafi imegundulika kuwa Watanzania wengi huenda kulala usiku bila kuoga wanaenda na uchafu...
  7. nagG

    JamiiForums Tanzania Haloteli wameondoa bando la internet la Usiku Unlimited

    Kwa wale wapenzi wa kudownlaod movies, games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolewa na kushushwa mpaka GB 5 tu. Je, wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kijana kama unakesha usiku kucha kusoma ufaulu; kama ajira huna unatakiwa kukesha pia usiku kucha kuwaza ufanye nini upate pesa

    Vijana wengi hukesha hata usiku kucha kusoma ili wafaulu mtongani Akishamaliza vyuo na kupata vyeti hushinda tu akilalamika ajira hamna huku akikesha kuchat na simu kuhangaika kuangalia movie na ujinga mwingine wa mitandaoni. Hakeshi kuwaza na ku-brain storm afanye nini ili apate pesa. Vijana...
  9. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Ni ndoto gani uliota usiku na asubuhi ikatimia?

    Mimi nakumbuka kuna siku nimeota nipo stend nasubiri basi ili niende mkoani..sasa nikasemaa ili nisiwasumbue waatu njàni nikaenda kukojoa kabisa ili nikikaa kwenye gari ni moja kwa moja. Duh! Naamka asubuhi...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku mikusanyiko ya usiku kucha katika maeneo ya wazi Desemba 31

  11. B

    JamiiForums Tanzania Moshi, Kilimanjaro: Watu waliojitambulisha kama maafisa wa TRA wavamia Rau Pub Usiku huu

    Habari wanajukwaa, TRA moshi wamevamia club maarufu ijulikanayo kama Rau pub usiku na kuifunga wakidai club hiyo inadaiwa hivyo wanatakiwa kufunga na kulipa kwanza, hali iliyopelekea tafrani ,maana wateja bado walikuwa wamejaa sana! Umetokea mvutano mkubwa kati ya meneja wa pub hiyo na TRA...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Usiku wa mabingwa wa ndondi: Wabongo wawachakaza vikali Wamalawi

    Kama kawa wadau leo kutakuwa na mapambano nane wadau wakirushiana makonde pale kati, fuatilia hapa Mapambano ya leo Mfaume Mfaume Vs Chikondo Makawa (Malawi) Twaha Kiduku Vs Guy Tshimanga Tshitundu (Mkongo) Abdallah Pazi Vs Simon Tcheta (Malawi) Tonny Rashid Vs Hasan Milanzi (Zimbabwe) Seleman...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hasa Hazina Kuwawahishia Wanajeshi Mishahara Mwezi huu mnatusababishia Kero tu Mitaani Usiku huu

    Nashauri Krismasi zijazo ikiwapendeza muwe mnawapa ( mnawaingizia ) Mishahara yao Tarehe 24 tena Usiku ili angalau Mshahara ukae kae na hata Fujo za Kimatumizi nazo ziweze Kupungua. Kwa Kitendo chenu tu cha Kuwaingizia ( Kuwapa ) Mishahara yao Juzi Jumanne tarehe 22 kwa aina ya Matumizi na Bata...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi anayejenga barabara pale Mwenge mwambieni ajenge Usiku na Mchana

    Eneo korofi kama pale mwenge mataa! Mkandarasi anapata wapi usingizi wa kulala usiku? Kwanini eneo lile asiwe anajenga usiku? Kama hawezi kujenga usiku serikali na Tanroads! Pelekeni maombi Lugalo Muombe Diversion ya kutumia njia ya mda kupitia jeshini hadi mlimani (Survey-mliman city) kwa...
  15. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Once-in-a-lifetime experience: Sayari ya Mshtarii na Zohali zinatarajiwa kuonekana kama umbo moja usiku wa leo

    Baada ya zaidi ya miaka 400, leo usiku sayari mbili kubwa zaidi katika mfumo wetu wa jua, sayari ya Mshtarii (Jupiter) na Zohali (Saturn) zinatarajiwa kuonekana katika umbo moja kutoka duniani. Tukio hili linalotokea mara moja katika muda wa uhai wa mwanadamu linafanya sayari hizo mbili...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu Kwa Umma: Usikose Kufuatilia Kipindi Maalumu Cha PapoKwaPapo Kinachoongozwa Na Kamarada Humphrey Polepole Saa 3 Usiku Huu

    Mpigie kamarada atakuwa live kutatua kero za Watanzania bila kujali itikadi zao za Kisiasa Usisahau kumtaarifu mwenzako Tuna Jambo Letu
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi usiku tunatakiwa kula chakula cha nguvu au chepesichepesi?

    Sijajuaga hii ishu. Watu wengi wanasema usiku tule vyakula laini laini. Lakini kuna hii ishu. Mtu akisha kula chakula damu nyingi inaelekea tumboni kusaidia ishu za umeng'enyaji na ufyonzaji wa msosi. Kitendo hicho hufanya damu inayoenda kwenye sehemu zingine kupungua. Damu inayoenda kwenye...
  18. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

    HAI, KILIMANJARO Mkuu wa wilaya ya HAI, Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya amemsweka ndani mtumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo, Dominica Mwapombe kwa tuhuma za kuendesha mtandao wa kitapeli na kufanikiwa kujipatia mamilioni ya fedha kutoka kwa walimu kwa njia ya udanganyifu. Aidha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

    Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi. Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Simu ya Usiku wa Manane yamaanisha nini?

    SIMU YA USIKU WA MANANE Leo Taikon sina maneno mengi, nianze kwa kuwasalimia wote, Kalagabaho! Sijui kama nakosea, lakini kama nikijiita mwenyeji wa mji wengi wanaweza kunikazia macho yao mabaya wakiniita Mjuaji. Najua siwezi kukataa kuwa wapo wenye miji yao ambao hawataniruhusu nijipe anuani...
Back
Top Bottom