Serikali hasa Hazina Kuwawahishia Wanajeshi Mishahara Mwezi huu mnatusababishia Kero tu Mitaani Usiku huu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Nashauri Krismasi zijazo ikiwapendeza muwe mnawapa ( mnawaingizia ) Mishahara yao Tarehe 24 tena Usiku ili angalau Mshahara ukae kae na hata Fujo za Kimatumizi nazo ziweze Kupungua. Kwa Kitendo chenu tu cha Kuwaingizia ( Kuwapa ) Mishahara yao Juzi Jumanne tarehe 22 kwa aina ya Matumizi na Bata walizozianza kuna Hatari 85% ya Familia za Wanajeshi Krismasi hii zikashindia tu Uji wa Chumvi, Dagaa, Ugali na Tembele kwa mbali.

Natamani sana Mtu afanye Research ni kwanini Wajeda wakipokea tu Mishahara yao ambayo naambiwa ni mikubwa hata kwa Yule Askari Junior kabisa ( asiye na Cheo ) wenyewe wanasema Private lakini ndani ya Siku 3 hadi 5 anakuwa hana hata Shilingi 100/= Mfukoni mwake au hata katika Akaunti zake za Simu na Benki. Na huwa wakiwa wameishiwa huwa wanatia kweli Huruma na wanahangaika tu Kukopa kwa Riba Kubwa huku Wake zao nao wakiwa ni Wepesi Kulalwa na Raia wanaojua Kusevu Fedha zao.

Hata hivyo nichukue nafasi hii Kuwapongeza wale Wanajeshi wachache ambao Wanajiheshimu, siyo Washamba Kimatumizi na wana Maendeleo.
 
Unapokuwa na point halafu huyo huyo mtoa hoja ukaingiza maneno yako ya wivu wa chuki za ukibaka, unaleta machukizo zaidi masikioni mwa wastaarabu kuliko machukizo ya maudhui uliyoongelea.
 
Back
Top Bottom