usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mchezo wa starz vs Tunisia usiku huu tuitafakari Commoros

    Commoros ni visiwa vilivyojirani sana na nchi yetu lakini kwa miaka mingi walionekana mpira sio fani yao kabisa. Ambapo vilabu vyao kufungwa 8,7,6,5 na simba,Yanga hata na Mtibwa nilikuwa jambo la kawaida. Timu yao ya taifa ilikosa hata friendly match kutokana na ubovu wao. Ila leo wanahitaji...
  2. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Saa 6 usiku inatumika

    Habarini wana nnzengo wa JF, natumai wote ni wazima. Kuna jambo niwashirikishe labda mtanisaidia wakuu, haiwezekani unapiga simu ya mpenzi wako saa 6 usiku inatumika halafu akwambie alikuwa anaongea na dada yake. Sasa mimi nimekaza nimemwambia siwezi kumuelewa mpaka aniambie alikuwa anaongea na...
  3. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inajengwa usiku na mchana - southern bypass to container depot link dual carriage

    Aisee hii bara bara hata hatukujua inajengwa -
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)? Kuna siku moja mwaka juzi rafiki zangu waliwahi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kutuzimia kimya kimya, inasemekana kuanzia saa 6 na dakika 1 usiku wa leo mnatuwashia. Mimi nahitaji majibu ya maswali yangu

    Je, 1. Mlipozima mliagizwa au ni kiherehere chenu tu cha kutaka Sifa wana Ubungo Tower? 2. Hasara ambayo nchi hasa TRA imeipata na Makampuni mengine Makubwa nchini italipwa nanyi Ubungo Tower? 3. Kutuzimia Kwenu mnadhani mmefikia Lengo au wana Ubungo Tower mmeshadharaulika na Watanzania? 4...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM. ===== Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
  8. TENGEFU

    JamiiForums Tanzania Tigo na Voda mnatuibia kwa kutulazimishia bando za Usiku

    Nimeingia kununua bando mitandao yote kwa mtandao wa Tigo kama kawaida kwa kupiga *147*00# na voda *149*01#. baada ya kubonyeza button ya mwisho nikapokea kifurushi cha mwezi lakini kimeandikwa kitakuwa kinatumika kuanzia saa 4 usiku hadi saa 11:59 asubuhi. Huu ni wizi mkubwa kwa sababu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar nguvu yenu Dua, amkeni usiku Tahajjud mumshitakie Mwenyezi Mungu

    Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo Mungu anajibu. Amkeni usiku mswali Tahajjud, mumlilie Mwenyezi Mungu kwa dhulma hii mnayofanyiwa...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Matokeo ya Urais yataanza kupokelewa kuanzia usiku wa leo kutoka kwenye Majimbo

    Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020 tume hiyo itaanza kupokea matokeo ya kura za urais kutoka kwenye majimbo. Dk Mahera ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na Mwananchi Digital kuhusu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka Jana saa tano usiku CCM waliendelea na vikao vya kuwahakiki wapiga kura wao

    Hii ni katika maeneo machache niliyofanikiwa kupitapita katika viunga vya jiji la DAR hasa kwenye ofisi nyingi za ccm, tofauti kabisa na hali kwenye Ofisi za Wapinzani ambako zilikua zimefungwa makufuli. Pamoja na kutuhumiwa na wapinzani kwa kucheza rafu kwenye chaguzi mbalimbali, utamaduni huu...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 ajinyonga baada ya kukatazwa na Mama yake asirudi nyumbani usiku

    Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 wiki iliyopita katika shule ya msingi Njungwa, Kijiji cha Ngayaki wilayani Gairo, Rahel Yohana (14), amekutwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kanga huku chanzo kikitajwa ni ugomvi kati yake na mama yake mzazi aliyekuwa akimkataza kurudi nyumbani usiku...
  13. M.Rutabo

    JamiiForums Tanzania Kumbe chopa zinaweza kutembea usiku?

    Jamani naomba kuuliza maana kuuliza sio ujinga. Dakika chache zilizopita chopa zinapishana hapa kwenye anga la Kahama zinaelekea kama Ushilombo hivi . Yani na ukubwa wangu wote sikuwai kufikilia kuwa chopa inaweza kupiga misele saa Saba na robo usiku tena sio moja. Mpaka Sasa hivi naogopa mwenzenu.
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nawatakia usiku mwema CCM woteeeeee

    Japo ni mchana ila naomba hawa watu niwatakia usiku mwema
  15. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Je, dirisha la pili kwa vyuo vikuu litafunguliwa usiku huu(Saa 6 usiku..?)

    Naomba kufahamu jamani kwa hivi vyuo vikuu amabvyo vitadahili wanafunzi vyuo vikuu, vitafungua dirisha USIKU huu(SAA 6 USIKU..?)
  16. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao tunakesha usiku huu wa Oct 10, 2020 tukutane hapa

    Kama utakesha usiku huu wa leo tuambie unakeshea wapi usiku huu, tukianza na mimi usiku huu wa saa 4:18 nipo chimbo linaitwa tughimbe night club kama kuna mtu hili jina sio geni kwake anyooshe kidole, huyo bila shaka atakuwa ni jirani yangu huku nilipo.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

    Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama Je, isingewezekana mkutano wa CHADEMA Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  18. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi Dkt. Magufuli usiku hurudi kujisikiliza alichoongea mchana kwa umma kabla hajalala?

    Kichwa cha habari chajitosheleza, Magufuli hivi hupata wasaa hata wa kusikiliza kile ambacho huongea kwa umma usiku kabla hajalala? Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale ambapo tukijipa muda wa kujisikiliza au kupitia matendo yote tuliyoyafanya kabla hatujalala hii...
  19. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kufanya kampeni mpaka usiku, hii sio hatari kwake?

    Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lissu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali. Kwanini hataki kufuata sheria zilizowekwa kuwa muda wa kumaliza kampeni ni saa 12 jioni. Nawasilisha
  20. F

    JamiiForums Tanzania Lissu aisimamisha Kilimanjaro, Moshi mjini wamsubiri hadi usiku, waimba rais, rais, rais hawataki Lissu awanyamazishe

    Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto. https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2535222_BdH_lQCAKL9EjZkc.mp4
Back
Top Bottom