usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Task TRA force Bado wananyanyasa watu, wavamia Bar ya Mpo Africa wabeba kreti za bia Usiku huu

    Nchi hii sijui imelaaniwa wapi, ni juzi tu Rais wetu mpendwa Mama Samia aliwaonya Task forces TRA waache kutumia nguvu kudai kodi lakini usiku huu wamevamia Mpo Afrika bar iliyopo Temeke na kubeba crates za bia wakiwa wameambatana na polisi wengi wenye silaha.Hivi unapomvamia biashara ya mtu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru. Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz. TAARIFA KAMILI YA KESI HII: - Breaking News: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: CHADEMA wafanya sherehe Mjini Morogoro

    Huu ndio uzuri wa Chama cha siasa kinachosimamia misingi ya haki, huwa mnajiachia tu kwa vile hakuna kulogana wala kinyongo. Hebu jionee mwenyewe.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

    Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali. Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine...
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali ya usiku, nipo Dar es Salaam

    Habari Wana Jf Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania. Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Chimala: Basi la Isamilo lapata ajali, linadaiwa kusababisha vifo 3

    Nimesikia taarifa ya ajali ya Basi la Kampuni ya Isamilo kutoka kwa kanda ya Ziwa kwenda Mkoani Mbeya majira ya kati ya saa Tisa na saa kumi alfajiri baada ya kupita kidogo Chimala. Iasemekana kuna vifo vya watu 3 akiwemo katoto kadogo, hatuji chanzo cha ajali lakini najiuliza hawa madereva...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuota jirani yangu akiwa chumbani kwangu usiku

    Ni tukio la kushangaza kidogo. Majuzi nikiwa usingizini nilimuona jirani yangu akiwa chumbani kwangu ananiangalia akitabasamu! Nilipoamka alitoweka! Ni binti mmoja ameshika Dini yake kwa mwonekano wa kibinadamu. Nimejaribu kulipuuza tukio hili nichukulie kuwa ilikuwa ni ndoto tu, lakini moyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kupitia mwamba Rudiger ndani ya mask machoni nawatakia Chelsea ushindi mnono usiku wa leo Uefa

    Inakuwaje wanajamvi! Namkubali sana jamaa. Kupitia yeye Chelsea itanyakuwa Uefa championship.
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Usiku wa kwanza katika ardhi ya Tanzania, Junior alilala mahabusu Keko

    Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka mitano. Baada ya sherehe yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 18, babu na bibi walimnunulia tiketi aje...
  10. SHABANI MUSHI

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani una vifurushi vizuri vya intaneti vya usiku?

    Samahanini Ndugu wana JF poleni kwanza na majukumu ya siku. Nilikua nina swali au ombi lakujuzwa ni mtandao upi kwa sasa unaweza kujiunga bando la usiku, kiukweli Mimi ni mpenzi wa Movies and series nimekua napata shida saana ya kupata VIFURUSHI kwa ajili ya kupakua, hapo zamani nilikua natumia...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tanki Bovu maeneo ya Puma na Rainbow sio salama tena kutembea usiku

    Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home. Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia Pale kona ya Makaburini Luventry nilikuta kijana mmoja na Girlfriend au Mke wake wamekatwa mapanga...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nani kaiona Planet Jupiter jana saa tisa usiku?

    Kwa siku tatu mfululizo sayari ya Jupiter imekuwa ikionekana mida ya saa tisa usiku (alfajiri?) Katika anga la sayari ya dunia. Amka leo saa tisa usiku Kisha tazama uelekeo linapo toka jua kwa juu yake kidogo utaiona Sayari ya Jupiter ina n'gaa . Inatoa mwanga wa rangi ya njano kama jezi za...
  13. Kadi Poa

    JamiiForums Tanzania Kuna daladala zinaonekanaga kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 alfajir

    Wakuu kuna daladala huwa mchana wala asubuhi hauzioni. Unaziona kuanzia saa 6 usiku. Hizi nimekutana nazo sana Arusha unakuta taa moja tu ndio inawaka, sasa usiombe wakati wa kupanda mlima, mbona utaomba poo. Ikifika saa 11 alfajiri hauzioni tena. Sasa sijui huwa wanaziiba gereji.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

    Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana. Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana. Hata hivyo nina...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za barabarani usiku mkubwa

    Hii picha inasambaa kwenye magroup ya madereva. Kuna dereva mmoja kakutana na hii kitu akiwa safarini. Mimi kuna siku natoka Tunduma kuja Mbeya nipo kwenye costa siti ya mbele SAA sita mchana jua Kali ghafla kwenye pori kaibuka mtoto miaka 5-7 kakatisha barabara dereva akamkwepa tukayumba sana...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga imesogezwa hadi sa Moja Usiku

    Mechi tajwa itachezwa saa moja usiku ==== TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku. TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ukweli uliofichwa makusudi

    UKWELI ULIOFICHWA MAKUSUDI Kuelimika siyo kufaulu kwa vyeti vya alama za juu, bali kuwa na uwezo wa kuhoji mambo na kuyaelezea katika upeo mwingine wa uelewa. Wakati nasoma moja ya shida nilikuwa napata ni kutopewa nafasi ya kuekezea mambo niyoaminishwa kwa namna nilivyokuwa nikiyaona mimi...
  18. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mdomo huwa unaanza kunuka wakati gani?

    Bado sijapata jibu maana kuna wakati naamua kutolala ili nijue ni muda gani mida ya usiku ndio mdomo unaanza kutoa harufu. Mwenye uzoefu na hili atueleze mdomo unaanza kunuka sangapi usiku.
  19. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani. Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na...
  20. mediaman

    JamiiForums Tanzania Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

    Wana bodi, naomba niwapashe habari ya tukio la hatari sana nililokutana nalo siku chache zilizopita. Kweli Waswahili hawakukosea waliposema: "duniani kuna mambo... tembea uone." Siku hiyo ya tukio, mimi na marafiki zangu wawili tulikuwa tunafanya kazi fulani nyumbani kwangu kuanzia jioni. Kazi...
Back
Top Bottom