Usiku wa mabingwa wa ndondi: Wabongo wawachakaza vikali Wamalawi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Kama kawa wadau leo kutakuwa na mapambano nane wadau wakirushiana makonde pale kati, fuatilia hapa

Mapambano ya leo
  1. Mfaume Mfaume Vs Chikondo Makawa (Malawi)
  2. Twaha Kiduku Vs Guy Tshimanga Tshitundu (Mkongo)
  3. Abdallah Pazi Vs Simon Tcheta (Malawi)
  4. Tonny Rashid Vs Hasan Milanzi (Zimbabwe)
  5. Seleman kidunda vs Limbano Lano (Malawi)
  6. Ismail Galiatano Vs Israel Kamwamba
  7. Haidary Mchanjo Vs Loren Japhet
  8. Juma Choki Vs Issa Nampepeche
Pambano la Twaha Kiduku linaweza kuahirishwa kwa sababu mpinzani wake ameshindwa kufika ndani ya muda, hadi muda huu bado yupo kwenye ndege anaweza kufika usiku sana

Pambano la Haidary Mchanjo halitakuwepo, mpinzani wake Loren Japhet ameingia mitini

Pambano la Kwanza
Juma Choki Vs Issa Nampepeche
Uzito: Light Weight
Rounds: 10
Winner: Juma Choki, TKO round ya tatu

Pambano la Pili
Ismail Galiatano(Tz) Vs Israel Kamwamba(Malawi)
Uzito: Super Middle Weight
Rounds: 08
Winner: Galiatano kwa Points


Pambano la tatu
Seleman Kidunda(Tz) vs Limbano Lano (Malawi)
Uzito: Middle Weight (Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati)
Rounds: 10
Winner: Seleman Kidunda kwa KO, Round ya pili

Pambano la nne
Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) Vs Simon Tcheta (Malawi)
Uzito: Super Middle weight
Rounds: 08
Winner: Dulla Mbabe(Abdallah Pazi) kwa KO, round ya kwanza

Pambano la tano
Tonny Rashid Vs Hasan Milanzi (Zimbabwe)
Uzito: Super Bantamweight (Title) African Boxing Union (ABU)
Rounds: 12
Winner: Tonny Rashid kwa KO Round ya tatu

Pambano Kuu(La sita na la mwisho kwa leo)
Mfaume Mfaume Vs Chikondo Makawa (Malawi)
Uzito: Super Welterweight
Rounds: 10
Winner: Mfaume Mfaume
 
Niko samaki samaki napata samaki fasta na kucheki chama langu chovu la Arsenal. Mpira ukiisha najimuvuzisha nikacheki mawe.
 
Mzimbabwe alianza vizuri sema punch zake hazina nguvu.

Galiatano movement zake ziko poa huchoki kumwangalia sema punch zake bado hazina uzito wa kumkalisha mpinzani. Movement za Galiatano safi sana u anatamani pambano lisiishe.​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom