usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

    Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku. Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma ipi huwa anakupatia kwanza?
  2. Jakamoyo msoga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui kwanini huwa najihisi vibaya mpenzi wangu asipopokea simu usiku

    Kuna siku nilimpigia mpenzi wangu simu, akasema subiri nikifika Nyumbani nitakupigia nimemsindikiza dada kazini kwake hapa Mlimani City mara moja, alipokea kana kwamba ana wasiwasi, na ukizingatia nikachukulia labda kwakuwa Dada yake hapendi niwe na mdogo wake ndo sababu, Baadaye hakunitafuta...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi sita kushtakiwa kwa mauaji waliyotekeleza wakati wa 'marufuku ya kutembea usiku'

    Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi nchini Kenya katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutembea usiku ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, ripoti huru ya mamlaka inayoangazia makosa ya polisi katika taifa hilo (IPOA) imesema. Polisi sita sasa watashtakiwa kwa makosa ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu usiku wa leo: Wale ndege aina ya "njiwa' walitolewa kama zawadi ili kuwaziba midomo waliopewa huko katika Bara fulani la mbali

    Usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa kuna mfalme mmoja katika nchi ambayo jina limenitoka, katoa zawadi ya njiwa wazuri kwa watu mashuhuru katika sherehe aliyoiandaa kwa yeye kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa (Birthday). Nilijiuliza sana maana ya ile ndoto na baada ya kutafakari kwa kina...
  5. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

    Heshima kwenu Wanajamvi, Nmeanzisha thread hii kudadisi au kuconnect Dot kuhusiana na Mambo yanayoendelea Dodoma. Leo Jumanne 09 Juni 2020, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, aliandaa Mkutano na Madereva Bodaboda. Sijajua alitaka kuongelea nini, lakini ni kwamba aliwakusanya Madereva wote...
  6. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Tarime, Martin Maranja akamatwa na Polisi usiku wa manane. Sababu za kukamatwa hazijaelezwa

    🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi #FreeMartinMaranja
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wakifanya mapenzi ndani kwao usiku kwenye dirisha ambalo halijafungwa wanaweza kushtakiwa?

    Katika kesi ya Smith v Hughes , washtakiwa hawa ambao walikuwa wapenzi, walishtakiwa chini ya Sheria ya Makosa ya Mtaa kwa kosa la kufanya mapenzi hadharani ijapokuwa walikuwa ndani ya nyumba yao lakini walikuwa wakifanya huku dirisha likiwa wazi umma ukiwaona. Wakati wa kesi, washtakiwa...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Movies: Nimeamua kukesha leo nipakue movie, wakuu naomba movie zile latest kali nianze nazo kwa usiku wa leo

    Wakuu habarini .. Kwa wapenzi wa movie naombeni mnitajie movie kali latest zinazohit kwa kipindi hiki ,,ili usiku nianze nazo maana sina info. Juu ya movie yoyote kali zilizo be released.. Msaada wakuu.. Category za movie ziwe ; 1. Action 2. Romance 3. Thriller 4. War 5. Crime Kuhusu...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Kome Mkoani Mwanza chateketea kwa moto usiku wa leo

    Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeibuka usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Mei 23, 2020, katika Kisiwa cha Kome eneo la Mchangani, halmashauri ya Buchosa, Sengerema, mkoani Mwanza na kuteketeza vibanda vingi vya wafanyabiashara pamoja na mali zilizokuwemo kwenye vibanda hivyo...
  10. samkul

    JamiiForums Tanzania Kupaa kwa usingizi nyakati za usiku

    Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.😴😴😴😴
  11. Abubakari M N

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kinu cha Mama

    KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema hali katika mkoa huo inaendelea vizuri na anachofahamu ni kuwa wamemuomba Mungu na kila mmoja ameendelea kuchukua tahadhari Amesema “Kila mmoja ameweka jitihada kuhakikisha amevaa barakoa, kwenye daladala tumehakikisha watu wanapeana nafasi, watu...
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Mbona Magari ya wagonjwa yamekuwa mengi usiku siku hizi?

    Hapa nimelala nautafuta usingizi kila nikijigeuza nasikia King'ora Cha gari ya wagonjwa inapita duh. Kila Muda mchana unajua inakuwa ngumu kusikia sn unachukulia poa ila usiku toka nimelala ni gari la 3 nasikia linapita nje. Hii Corona itasomba watu aisee ni hatari hali ime-change ghafula hata...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Don't Worry, Don't Care, Don't Give a Dam!. Just let then say, Whatever They Say!, Watasema Mchana, Usiku Watalala

    Wanabodi, Kuna watu wanasema sema sana kumhusu Rais wetu Magufuli na hatua Tanzania tunazochukua dhidi ya janga la Corona. Hii ni Makala ya Gazeti la The East Africa We Should Tame Tanzania Before She Tames Us With COVID-19 Coronavirus has continued to sweep across the African continent...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mama mbaroni kwa kuwatelekeza watoto kwenye majaruba ya mpunga usiku

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limemtia mbaroni mama mmoja aitwaye Happyness Mafuru, kwa tuhuma ya kuwatelekeza watoto wake wawili katika majaluba ya mpunga, huko mtaa wa Mtakuja kata ya Nyamhongolo wilayani Ilemela Jijini Mwanza. Watoto hao wameokotwa wakiwa hai na kisha kupelekwa katika...
  16. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

    Jamanii muda si mrefu tumepitiwa na tetemeko la ardhi hapa Ushirombo Ni tetemeko Dogo limedumu kwa sekunde kadhaa Tuwaombee wenzetu wa Bukoba/Kagera na Chato.
  17. manchoso

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani walozi usiku wakimgusa mtu, wanaweza ambukizwa Corona?

    Wamesema kweli wahenga Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Polisi watawanya raia waliokuwa kwenye mikusanyiko mida ya usiku

    Polisi wamevamia Bar za Kinondoni kutawanya mikusanyiko iliyokuwa inaendelea wakati wa usiku kipindi hiki cha janga la #CoronaVirus Bar na shughuli nyingine zilizokuwa zinaendelea kwa muda wa usiku zilitakiwa kufungwa Polisi hao walitawanya watu starehe baada ya kutoa tahadhari kwa ving’ora...
  19. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

    Kwa mara ya kwanza kabisa tangu nakuwa mtu mzima najikuta nakojoa nikiwa nimekaa bila kugusana na uchi wa mwanamke, sio memba wa CHAPUTA ila sperm zilipita huku akili ikiwa imestuck na misuli ya uume ikiwa imesimama zaidi ya mshale ukiwa kwenye mwendo. Usiku wa jana ni moja ya matukio ambayo...
  20. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mwanza, kuna mgao rasmi unaendelea?

    Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika. Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi. Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini...
Back
Top Bottom