YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Watu huamka asubuhi kwenda kwenye shughuli mbalimbali ambazo husabibisha mwili kuchafuka iwe kwa jasho au vumbi au chochote hivyo kufanya mtu awe mchafu.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya usafi imegundulika kuwa Watanzania wengi huenda kulala usiku bila kuoga wanaenda na uchafu hivyo hivyo.
Wachache huosha tu miguu kabla ya kulala lakini walio wengi huingia kulala na uchafu wa siku nzima.
Tabia hiyo sio nzuri.