ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Annny

    Nimeombwa Ushauri na rafiki yangu kuhusu wasichana wake wawili

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuri ya Muungano wa Tanzania (Kiitikio - wote) Ama baada ya salamu, dhumuni la andiko hili ni kuleta hoja niliyoletewa na rafiki yangu wa kiume akiomba ushauri kwangu. Mimi kwakweli nilishindwa kumshauri vema isipokuwa kwakuwa nafahamu kuwa kuna jukwaa hapa nikaonelea...
  2. Relief Mirzska

    Ushauri kwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Hussein Ali Mwinyi

    Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mimi kama kijana wako imenipitia tafakuri ambayo nimeona nikushauri kwayo. Inawezekana mada hii ikazuwa mjadala ambao ukawa na matokeo hasi kwako kama mtu au kwa taasisi ya Urais, hiyo siyo nia yangu mkuu na kwa kuwa wewe ni mtu...
  3. meningitis

    Ushauri kwa Mh Samia:Kwa sasa aendelee kuisimamia collective responsibility tu

    Huu ni ushauri kuntu na usio wa kimaslahi kwa Mheshimiwa Rais wa JMT. Tukirejea ukweli na upekee wa namna alivyoingia madarakani bado mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawajibika kwa namna ile ile aliyokuwa anawakibika mh hayati Magufuli. Rais Samia alikuwa ni makamu wa Rais...
  4. U

    Naombeni ushauri wa haraka kuhusu jambo hili

    Nimejipiga nimepata kaeneo kakujenga katikati ya makazi ya watu wengine! Kulingana na udogo wake nimetenga kuwa "kanyumba"kangu ka kuishi kachukue eneo la ukubwa wa futi 40 urefu kwa futi 25 upana. Ninaombeni ushauri hivi kwa ukubwa huo ninaweza kupata nyumba ya vyumba vingapi ikiwa nyumba...
  5. Mowwo

    Uzoefu kwa wale waliowahi kujitolea katika ofisi uliyojitolea ulifanikiwa kuajiriwa moja kwa moja?

    Mimi ni mwalimu wa secondary najishughulisha na shughuli ndogo ndogo huku natafuta kazi. Katika mojawapo ya shule ninazoomba naambiwa kama kujitolea nafasi ipo. Sijawahi kujitolea tokea nimemaliza chuo(3years ago). Naomba kufahamu kutoka kwenu wadau, kuna uwezekano wa kupata kazi husika kama...
  6. G

    USHAURI: Gia namba nne kukosa nguvu na brake kutokumata mpaka upump zaidi za mara moja

    Wakuu wangu wa JF heshima mbele, nina Jambo nilikuwa naomba kuuliza kwa ushauri wa kitaalamu nikiamini jukwaa hili ni la manufaa na limesaidia watanzanzia wengi. Baada ya salamu naomba kuelezea tatizo langu, Nina gari ya Town Ace manual pick up, mpaka asubuhi ilikuwa vizuri tu bila shida, Ila...
  7. R

    NAOMBA USHAURI: Hizi mbao zilizoko sokoni hapa Dar ni zipi zafaa kwa kupaulia nyumba ya kuishi? naziona kama nyepesi sana

    Habari za hapa kwa wataalam. Ninampango wa kuezeka nyumba ya kuishi wiki ijayo. Mimi sina uzoefu sana ktk mambo ya building industry hasa roofing. nimepita hapa na pale kupelelez mbao zinazouzwa maeneo mbali mbali hapa Dar nimekutana na aina mbali mbali. 1. pine (misonobali) 2. Cyprus 3. padoo...
  8. K

    Ushauri BASATA wasanii wetu kazi zao ni za kimataifa sio Tanzania pekee

    Ushauri wangu kwa Basata ni huu kazi za wasanii sio za Tanzania pekee na hamuwezi kukaa vikao bila kuelewa hilo. Usanii ni biashara ambayo serikali inanufaika kwa ubunifu sasa cha ajabu ni watu kuwa katikati na kutaka kuwaeleza wabunifu etu wabuni vipi!. Dhana ya hiki chama ni kusaidia kusiwepo...
  9. L

    Ushauri: TCU kutowatambua waliosoma Engineering Science kusoma shahada za Sayansi inawaumiza waliosoma Shule za Ufundi

    Ukweli utaratibu uliofanya TCU wasitambue watu waliosoma engineering science kwenda kuchukua degree hasa za science kiukweli utaratibu huu unaumiza sana watu waliosoma shule za ufundi kama Musoma, Bwiru Tech n.k. Namuomba sana Mama Ndalichako aitambue engineering science kuwa ni sawa na...
  10. chugaa

    Nasumbuliwa na Jinamizi hili kila nikilala naomba Msaaada na Ushauri

    Habari za Jioni wakuu! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Naomba ushauri kwa hili suala la kusumbuliwa na majinamizi haya wakati napokuwa nalala iwe mchana, asubuhi au usiku. Japokuwa hii hali huwa haitokei kila siku ila haipiti mwezi au wiki mbili ikajirudia. Nakuwa nakabwa na Kinataka...
  11. buyoya419

    Ushauri biashara ya kuosha Magari na pikipiki

    Naombeni ushauri nataka kuacha kazi ya kuajiriwa maana naona wanazingua now nataka niingie kwenye biashara ya kuosha pikipiki na magari. Jetwasher nzuri na original zinauzwaje iwe used au mpya Ni sehemu gani nzuri za kukaa ili kufanya biashara hii Je, ina mabaya gani au shida yake Mtaji wake...
  12. B

    Mrejesho: Tangu niachane naye nishapita na mahusiano na watu watatu lakini bado sijapata nitakako

    Wadau natumai mko poa. Nazama moja kwa moja kwenye mada. Miezi takribani 5 iliyopita nilileta mada humu 90% ya mawazo ya wadau niliyatumia na yalinisaidia sana. Najifeel zaidi ya hom humu. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye nilitegemea mwaka huu kumuoa baada ya kumaliza masomo kwa bahati...
  13. B

    Ushauri kwa Simba SC: Kamwe msiingize kikosi cha kwanza katika mechi yenu na Yanga SC

    Timu ya Simba pokeeni ushauri huu. Kwa kuwa mna kikosi kipana na kizuri, tumieni kikosi cha pili kucheza na Yanga. Kwa nini? 1. Katika kipindi hichi ambacho mmepata mafanikio timu ya Yanga itakamia mechi ili kuonyesha kuwa na wao ni bora. 2. Ikiwa mechi hii ikamiwa hivyo inaweza kuwaacha na...
  14. B

    Minyukano CCM: Ushauri wa bure kwa Bashiru na wenzako kokote kule mliko

    Mabibi na mabwana kwa yanayotokea huko CCM kwa wengine kina sisi, hayo ni mambo ya Ngoswe. Hata hivyo kama binadamu ambapo wengine huwa hawana huruma, wengine tumeumbiwa na roho za huruma. Ashukuriwe mola muweza wa yote. Ni ukweli ulio wazi kuwa mh. Dr. Bashiru, Pole pole na vigogo wengine...
  15. M

    Ushauri wa bure kwa CHADEMA

    Katika soko la ushindani huwa mzalishaji anaangalia nini mlaji anataka na huyo mzalishaji uzingatia hicho na kukileta sokoni na hapo huwa anapata kitu kinaitwa supa au abnomal profiti, yaani faida ya juu. Haya ni tofauti na chama cha Chadema kumlisha mlaji, wenyewe hawapendi, wanapenda kumlisha...
  16. Y

    Msaada wazo la biashara, nifanye biashara gani ninaishi jijini Dodoma nina mtaji wa 380000/=naombeni ushauri

    Habar wana JF Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000. Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa...
  17. PureView zeiss

    Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani. Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na...
  18. B

    Ushauri kwa Katibu Mkuu Wa CCM

    Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo. 1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali. 2. Epuka kutumia approach za...
  19. Inkotanyi 94

    Ushauri unahitajika: Mabati ya plastic

    Wachina wameleta mapinduzi ya uezekaji kwa aina mpya ya bati za plastic na sifa kedekede kama kupoza nyumba, kurecycle yakichakaa, uimara, kutovuja kupitia misumari, bei ndogo, kutunza hewa safi na kutokuwa na kutu. Warranty ya miaka 30. Tena wanatengenezea hapa nchini, hili jukwaa...
  20. F

    Ushauri kati ya kozi ya Public Health na Health System Management

    Habar ya kazi wakuu, nahitaji kusoma masters. Naomba mwenye uelewa wa hizi kozi ipi ni nzuri zaidi na ni Vyuo gani hutoa hizi kozi. Asanteni
Back
Top Bottom