Omela Odongo
Member
- Mar 26, 2021
- 47
- 67
Salam kwa wanajukwaa,.
Kuna kisa kimoja ambacho nimekutana nacho katika kushauri wanandoa wapya ambao ndoa yao ina kama miezi miwili tu tangu walipofunga pingu za maisha.
Nilibaki kinywa wazi baada ya kijana kuanza kutoa maelezo na alipovua shati kifua chote kilikuwa kimeja alama na vidonda sehemu alizo ng'atwa na mke wake wakati wakifanya tendo la ndoa.Je umewahi kukutana na hali hii na inasababishwa na nini? Je ni ugonjwa?