BARUA YA WAZI KWA Mr. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

Status
Not open for further replies.

Fohadi

JF-Expert Member
Jul 24, 2020
638
1,000
Ni muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye au alichokiandika yeye ndio sahihi kiasi kwamba ukimpinga hata kwa hoja anakuja na matusi juu na lugha nyingi za kuudhi...Popoma ndio tusi lake maarufu sana.​

USHAURI WA BURE:
Wewe jamaa sio perfect kiasi kwamba hukosei...acha mambo ya kutusi na kutolea lugha chafu karibia kila mtu ambae atakosoa/atakataa kile ulichokiandika au kukiamini...Unaboa kinoma mkuu...waache watu wawe free kuchangia wanachojisikia sio kutaka tu wale wanaosapoti ulichokisema..wewe ni nani hadi usikosee?...Are you an angel?...Acha upopoma mkuuu!

Kinachoumiza zaidi, wengine wanakukosoa kwa lugha za kistaarabu tu lakini jinsi unavyowajibu naamini kabisa wanajisikia vibaya..Sasa mimi ni mtetezi wao...Acha ushamba na ubabe wa kule kwenu kanda maalumu ukiwa humu ndani..Matusi yako kwa kila anayekukosoa yanakufanya hata usionekane kama ni game changer....They make you look like a useless sub and not a game changer as you have always been addressing yourself....ACHA USHAMBA.

Sio kwamba nakuchukia hapana, ila ujue tu kauli zako chafu huwa zinawaboa wengi...Toka nijiunge JF sikuwahi kupigwa ban..ila siku moja wewe umepost kitu nikakuuliza swali moja ili nijifunze maana sikuwa naelewa ila ukanitafsiri kama nakudhihaki..ukaja na kauli chafu juu, namimi nikajaa nikarudisha shambulizi (Huwa silipi wema kwa ubaya)...nadhani ilikuuma ukakimbilia kwa mods wakaniweka lock up (Ban) kwa muda mrefu..nilikaa nje ya dimba nikikosa madini na taarifa muhimu humu ndani kutoka kwa wenye madini kama INFANTRY SOLDIER na MSHANA JR...This was three months ago...

Hivi huoni wenzio wakikosolewa kwa hoja wanajibu kistaarabu?......Unadhani kila unachokiandika kiko sahihi 100%...YOU ARE WRONG!!!!!!!!!!!!!

Sijui na hii utashitaki ili nipigwe ban?...
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom