Ufafanuzi na mchanganuo kuhusu biashara ya Vipodozi na urembo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufafanuzi na mchanganuo kuhusu biashara ya Vipodozi na urembo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mugaji, Apr 11, 2012.

 1. M

  Mugaji Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake.


  ==============================================
  MAJIBU KUHUSU BIASHARA HII
  ===============================================

   
 2. M

  Mundu JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Fanya biashara ya vipodozi vya bei nafuu...ukitarget akina mama wa nyumbani, wanafunzi wa vyuoni uta win. Sehemu yako ya soko iwe ni ya mkusanyiko wa watu wengi...kama stendi ya basi, sokoni n.k
   
 3. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Daaaahhh.... Aiseeee... watu humu ndani huwa ni vituko sana... u always nourish my day by long laughter... hahahahahahaaaaaa....
   
 4. salehom

  salehom Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wadau.Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza vipodozi sehemu ya Sinza Madukani. Lakini sina uzoefu na biashara hii.Nina mtaji wa shilingi milioni tano. Bahati nzuri fremu sio ya kupangisha, nimepewa na father. Naomba mnichangie mawazo Je inalipa kweli? Changamoto zake zipi? Au kama kuna wazo zuri zaidi ya biashara hii tujuzane wadau.Naombeni mawazo yenu wadau.
   
 5. a

  asilia zanzibar Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  biashara hiyo siyo mbaya inategemea na location na aina ya vipodozi unavyotaka kuuza coz kuna mapambo ya kike kuna mafuta na lotion na kuna pafryum na urembo mwengine so unataka kuweka kipi ama vyote
   
 6. salehom

  salehom Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka niweke vipodozi, mafuta ya kupaka, Pafyumu, Nywele bandia, Heleni, cheni na vitu vinginevyo.
   
 7. a

  asilia zanzibar Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ni sawa basi iyo ni nzuri coz utakuwa na wateja wa aina tofauti so when u whant to start
   
 8. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Baada ya kukaa na kufikiria kwa muda mrefu na kupata maoni mbalimbali hasa kutoka humu JF sasa nahisi ni wakati wa kuweka wazo langu hapa mnipe ushauri.Nafikiria kufanya biashara ya kuuza vipodozi kwa jumla na rejareja.Sehemu ninayofikiria kufungua ni Mbeya.Sasa nahitaji kusaidiwa ktk mambo ya fuatayo:

  1.Utaratibu wa kuprocess kibali unaanzia wapi.
  2.Sehemu(miji) za kuchukulia mzigo kwa kuzingatia unafuu wa kuchukulia na kusafirisha.
  3.At least mtaji kwa kuanzia(kwa sasa nina 10M)
  4.Napenda pia kujua rate ya profit
  5.Nahitaji kujua risks ninazotarajia ku-encounter mbele ya safari.

  Naomba kuwasilisha.
   
 9. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2013
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 405
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Mimi nakushauri tafuta fedha ya maana ya kufungulia biashara, 10m inaweza kuwa nyingi lakini si kwa magnitude hiyo, badala ya kutaka kuagizishia nunua wanaponunua wenzio slowly mtaji utakua na tayari itakuwa ushapata na akili yako mwenyewe.
   
 10. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2013
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Vipodozi pia ukikamatwa na customs siku moja tu, unafilisika.
   
 11. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Thanks bro..
   
 12. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwa kuanzia nilikusudia kuchukulia hapa hapa nchini na nilidhani natakiwa kupata kibali cha kufanya biashara hiyo,so mambo ya customs sikuyaconsider sana.Mimi pia nafikiri biashara ya vipodozi haina tofauti sana na biashara ya dawa za binadamu..
   
 13. iron finger

  iron finger JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2013
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wakuu za wikiendi,poleni mfungo wale ndugu waislam na pia wale wenzetu wa upande pili najua mnaburudika jumapili hii.
  nipo maeneo ya dar es salaam nilikuwa naomba kujua location gani ipo vizuri kwa ajili ya kufungua duka la vipodozi nina mtaji wangu wa millioni tatu nahitaji kujua wakuu manake kuajiriwa ni utumwa
   
 14. iron finger

  iron finger JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2013
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nahitaji eneo la nje ya kariakoo na mwenge kuepuka ushindani kwa kuwa nina mtaji mdogo
   
 15. r

  rasai Senior Member

  #15
  Jul 28, 2013
  Joined: Jun 24, 2013
  Messages: 144
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mjasiriamali usikwepe ushindani, maeneo ntayokushauri ni buguruni, tandika, mwananyamala, na mtongani na mbagala mwisho
   
 16. iron finger

  iron finger JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2013
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umenipa idea nzuri boss
   
 17. kitwala

  kitwala JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2013
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,461
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  Ujasiliamali ndiyo maisha ya leo, ukizingatia kuwa ajira ni janga kwa Tanzania na Dunia kwa ujumla. Nisiwachoshe sana kwa maneno mengi mnayoyajua.

  Nina pesa kiasi cha Tshs milion 5(Tshs. 5,000,000/-). Ambayo ninafikiria kuitumia kuanzisha biashara ya "VIPODOZI" DODOMA MJINI, ili wife apate pakutokea badala ya kukaa nyumbani tu. Hapa lengo ni kuchanga nguvu ili tujikwamue kwa namna moja ama nyingine.
  Ninaomba ushauri wenu wadau kwa mambo yafuatayo:-

  1. Je, kiasi hiki cha pesa kinafaa kwa kuanzia?

  2. Na kama 1 ni ndiyo, Je vitu gani vya mhimu kuvifanya ktk kuanzisha hiyo biashara? (namaanisha kama kuna documents za mhimu ninazopaswa kuwa nazo kama watu wa afya i.e maduka ya dawa)

  3. Kama 1 ni ndiyo, ni wapi naweza nunua mzigo(bidhaa) nami nikapata chochote kama lengo lilivyo?

  NB: Ushauri wako ni mhimu sana, pia kama hicho kiasi kitakuwa hakitoshi nishauri ni kiasi gani niongeze/nitafute ili kufikia lengo.

  NAWASILISHA.
   
 18. pozzyfaza

  pozzyfaza JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2013
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,515
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  Habari wana jf napenda kuuliza na kupata ushauri toka kwenu kuhusu soko la vipodozi nataka kuchukua toka Tunduma nilete Dar kuuza kwa jumla kwa maduka nitakayochukua oda. Je naweza pata mchanganuo wa hii biashara maana ndio nataka nijalibu na mtaji wangu wa kuunga unga. Natanguliza shukrani na mawazo yenu
   
 19. L

  Lihove JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2013
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu hii biashara inatakiwa ujue aina ya vipodozi.vile vinavyolipa ni vile ambavyo serikali imepiga marufuku. Vingine ambavyo vinaruhusiwa havilipi.ila ukivileta vile vinavyolipa biashara yake ni

  kama kuuza unga vile.kuanzia kuvisafiris
  ha toka huko mpaka dar.wenye mabasi ndiyo
  wanaoongoza kuchomea kwa police halafu wanapatagao. Kiufupi tafuta biashara nyingine mkuu. Maana unaweza kata mtaji wako trip ya kwanza tu
   
 20. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2013
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  hiyo biashara inalipa sana cha muhimu ujue vipodozi vilivyoruhusiwa ili usishikwe na kuchomewa.

  cha kwanza zunguka maduka ya vipodozi uhulize vip vinavyouzika. zunguka kwa zahidi ya maduka 40 ili ujue.

  kuna mdada namjua ila yeye alikuwa anatoa congo ya mashariki akipitia uganda .
  kisha anapanda bus za dar kupitia bukoba sasa hiv ni tajiri mkubwa.

  fanya nilivyokwambia utafanikiwa
   
Loading...