Nahitaji ushauri wa biashara, nina mtaji wa 1.2(million moja na laki mbili)

fatherhood

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
530
551
Habar JF..!

Mimi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana JF naombeni mnishauri biashara gani naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa.

NB: Mimi kama mimi nawaza nifungue kigenge ili niweze niuze vitu vidogo (kama kaduka hivi)

Sasa nimekuja hapa niweze kuomba ushauri kwenu je mawazo yangu yapo sahihi hayo ya kufungua kiduka??
Na kama yapo sahihi nawezaje kumantain hilo duka.

Na kama mawazo yangu hayapo sahihi nini naweza kufanya biashara gani kwa mtaji huo 1.2m. Naombeni ushauri wenu natanguliza shukran🙏🙏
 
Nipo dar , nasomea afisa mazingira ( environmental health sciences),, mimi napenda biashara ya duka means reja reja au jumla
Sasa mkuu environmental health sciences okay tuko sawa, ushasema una penda biashara ya duka iyo 1.2milioni inakutosha wewe hapo kuanza.
Nunua mchele
Sukari
Mafuta
Maharage
Nazi
Maji
Unga wa ngano
Sabuni
Vocha za simu.
Vinywaji
Miswaki
Dawa za Meno
Steel wire za vyombo
Rangi za viatu
Mafuta ya kujipaka

Anza na hivyo vitu kwa wingi tega mtaa fanya kazi mauzo kwa siku hukosi.
 
Nipo Dar, nasomea afisa mazingira ( environmental health sciences),, mimi napenda biashara ya duka means reja reja au jumla
Umenifanya niwaze kwa mwaka niliomaliza chuo ningesema nifanye biashara kwa kuanza hata na laki 5 saiz sijui ningekuwa na biashara kubwa kiasi gani.

Ila mwana, piga hiyo reja reja. Anza na vitu fast moving na vyenye faida. Badae ukijiongeza tafuta na laini za ongea biashara ya miamala. Mil 1 ukiwa karibu na mawakala wakuu itakusogeza.
 
Umenifanya niwazw kwa mwaka niliomaliza chuo ningesema nifanye biashara kwa kuanza hata na lak 5 saiz sjui ningekua na biashara kubwa kiasi gani.

Ila mwana, piga hiyo reja reja. Anza na vitu fast moving na vyenye faida. Badae ukijiongeza tafuta na laini za ongea biashara ya miamala. Mil 1 ukiwa karibu na mawakala wakuu itakusogeza.
Shukrani kwa ushauri
 
Sasa mkuu environmental health sciences okay tuko sawa, ushasema una penda biashara ya duka iyo 1.2milioni inakutosha wewe hapo kuanza.
Nunua mchele
Sukari
Mafuta
Maharage
Nazi
Maji
Unga wa ngano
Sabuni
Vocha za simu.
Vinywaji
Miswaki
Dawa za Meno
Steel wire za vyombo
Rangi za viatu
Mafuta ya kujipaka

Anza na hivyo vitu kwa wingi tega mtaa fanya kazi mauzo kwa siku hukosi.
Shukran mzee
 
Unahitaji biashara ya kuifanya kwenye fremu??
Pigia mahesabu ya..:

kodi miezi6
Umeme
Kodi za TRA
Leseni manispaa

Lakini pia labda unaweza fanya kibishi kwa hiyo 1.2mil ikatosha vitu vya dukani kiasi pamoja na gharama hizo hapo juu?

Sikushauri kupanga fremu kama pesa pekee uliyonayo ni 1.2mil pesa itapelea sana, labda kama ungekuwa umeshalipia fremu na jmeikarabati then unaweka mzigo hapo sawa..!!

Hongera pia kwakuweza kusave.. displine ya hela itakusaidia kutimizia michakato yako!!
 
Unahitaji biashara ya kuifanya kwenye fremu??
Pigia mahesabu ya..:

kodi miezi6
Umeme
Kodi za tra
Leseni manispaa

Lakini pia labda unaweza fanya kibishi kwa hiyo 1.2mil ikatosha vitu vya dukani kiasi pamoja na gharama hizo hapo juu??

Sikushauri kupanga fremu kama pesa pekee uliyonayo ni 1.2mil pesa itapelea sana, labda kama ungekuwa umeshalipia fremu na jmeikarabati then unaweka mzigo hapo sawa..!!

Hongera pia kwakuweza kusave.. displine ya hela itakusaidia kutimizia michakato yako!!
Asante sana, kwani leseni bei gani mkuu
 
Sasa mkuu environmental health sciences okay tuko sawa, ushasema una penda biashara ya duka iyo 1.2milioni inakutosha wewe hapo kuanza.
Nunua mchele
Sukari
Mafuta
Maharage
Nazi
Maji
Unga wa ngano
Sabuni
Vocha za simu.
Vinywaji
Miswaki
Dawa za Meno
Steel wire za vyombo
Rangi za viatu
Mafuta ya kujipaka

Anza na hivyo vitu kwa wingi tega mtaa fanya kazi mauzo kwa siku hukosi.
Hajalipa kodi, kurekebisha fremu kwa hiyohiyo 1.2
 
Back
Top Bottom