ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nichague kozi ipi kati ya hizi?

    Kuhusu kati ya kozi ya Procurement and Logistics Management na Business Administration nichague ipi? Na faida nitakazopata baada ya kuhitimu na ipi ni rahisi kupata ajira?
  2. K

    Pump ipi bora ya kumwagilia shamba ekari 50 umbali wa mita 800 kutoka ziwani?

    Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi. Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani. Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.
  3. M

    Ushauri: Baba mzazi hamtaki mtoto wake wala kuzungumza na mzazi mwenzake

    Habari za Jumatatu, Naomba ushauri kuhusu rafiki yangu huyu. Huyu rafiki yangu alizaa na mpenzi wake miaka ya tisini mwishoni, lakini hawakufanikiwa kuwa pamoja, Baba alioa mwanamke mwingine, akabaki kuhudumia mtoto wake tu japo alikuwa anaishi na mama yake. Ila huyu mzazi mwenzie ambaye ni...
  4. L

    Naombeni ushauri kuhusu Kijana huyu

    T
  5. A

    Naombeni ushauri

    Habari kwenu Wana bodi, Mimi ni Kijana wa kitanzania pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi moja ya Chuo Kikuu hapa Tanzania. Na malengo ya kuanzisha shirikisho la walimu wa masomo ya sayansi. Lengo langu ni nataka chombo hiki kitetee maslahi ya walimu hasa wa sayansi...
  6. Jinsi ya Kuwasiliana na Daktari Wako Bila Hofu: Mbinu za Ushauri kwa Wagonjwa

    Kuwasiliana na daktari wako kwa ufanisi ni muhimu sana kwa afya yako. Hata hivyo, inaweza kuwa na changamoto kwa baadhi ya watu kuhisi hofu au kukosa uhakika jinsi ya kuzungumza na daktari wao. Kama wewe pia huwa unahisi uzito kuwasiliana na daktari wako kwa uwazi bila hofu, makala haya ni...
  7. U

    Ushauri wangu kwa watumishi wanaopokea mishahara

    ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO!!! 1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto wako kutanua nyumbani kwao. 2. Nenda nyumbani (Kwenu). Usigande kazini mwaka mzima. Wewe sio nguzo...
  8. F

    Ushauri: Serikali tafuteni kampuni ya kufanya management (uendeshaji) tu kwenye bandari zetu na sio kubinafsisha bandari

    Kifupi huo ndio ushauri wangu. Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management na weledi. Tunashindwa kwenye technical...
  9. H

    Tahadhari na ushauri wa ni msaada gani ninaoweza kupata kwa case ya muamala uliofanyika kama malipo ya deni

    Wasalaamu wanajukwaaa. Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala. Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
  10. Waziri Mwigulu Nchemba: Tumepokea ushauri wa kuongeza Kodi kwenye Pombe

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini. Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa...
  11. Ushauri wa bure kwa waajiriwa wote

    Habari wanaJF! Natumaini Jumapili imeanza vyema. Katika pitapita zangu, nimekutana na mawaidha yafuatayo yanaweza kukusaidia wewe mwajiri kuwa na mwisho mzuri na kufurahia maisha ndani (na baada) ya kazi. 1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini au mjini. Usisubiri kufikia miaka 50. Usizoee nyumba...
  12. Ushauri wako ni muhimu sana

    Habari za asubuhi ndugu zangu awali ya yote tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. nahitaji ushauri ndugu zangu ni hivi, Siku ya jumamosi nilitafuta hawa vijana wanaouza simu online, kuna simu niliipenda kwa bahati mbaya baada ya kumpigia muhusika nilikuta imeshatoka. Bac muhusika akaniahidi...
  13. Ushauri kwa Simba kwenye sajili za kimataifa

    ipo hivi nisiwachoshe kihivyo.. simba ni timu kubwa sana Africa kwa sasa hata hivyo kwa sasa timu hii inakabiliwa na changamoto ya kuwa na wachezaji walio chini ya kiwango huu ni ushauri wangu wa jumla. tujifunze kutoka yanga tusione aibu wenzetu wamefanya maajabu makubwa kwenye mashindano ya...
  14. Ushauri: Kesi Dhidi ya Tanzania

    Wengi wetu tunafahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii, hasara na uduni wa maendeleo, vinasababishwa na viongozi wa Serikali. Iwe ni matumizi mabaya ya pesa ya umma, inasababishwa na maamuzi mabaya ya viongozi. Iwe ni ubadhirifu wa pesa ya umma, kwa kiasi kikubwa unafanywa na viongozi na...
  15. Ushauri wangu. Wa katazo la watoto kutosoma kipindi Cha likizo

    Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu,mm nimeona katazo la kamishina wa elimu na waziri WA elimu kuhusu watoto kutosoma kipindi Cha likizo lakin mm ningetoa ushauri wangu kuwa serikali ingelitafakar hili jambo Kwa kinasana Kwan mtoto kukaa mwez mzima bila kuwa na Kaz za kufanya za shule ni...
  16. J

    Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Habari, Kuna rafiki yangu mmoja nilizoeana nae mda kidogo na tunafamianane kutoka na biashara zetu yeye anaumri wa 43 now. Ila kwa sasa anahali mbaya ya kiafya anaumwa magojwa yasiotibika haya kupona haiwezakani kabisa. Sasa miaka kadhaa ya nyuma alipata mchepuko, katika kukutana na mchepuka...
  17. M

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Habari za jioni. Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa. Niende kwenye mada. Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini kilichotokea nilishituka sana kwa hile tukio lilotokea. Mimi nafanya kazi kwenye wizara moja hivi nipo...
  18. Visa nilivyokutana navyo, baada ya kumtembelea rafiki yangu mpenda matatizo

    Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani. Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu Kisa Cha...
  19. Ushauri kwa vijana: Kama unataka kuajiriwa, hakikisha unaajiriwa kipindi hiki cha Rais Samia Suluhu

    Aisee kama hujaajiriwa kipindi hichi cha Rais Samia sidhani kama utaweza tena kupata ajira za serikali. Miaka ijayo kutakuwa na mtu atakuja kwa mgongo na sera za Magufuli naye atapata Urais, na hapo ndipo kilio kwa wasomi kitakuwa kikubwa zaidi ya kile cha awamu ya tano. Ukizingatia idadi ya...
  20. S

    Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…