Samia chukua ushauri huu Ili utoboe 2025

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Rais wangu na wetu, kutoboa 2025 ni ngumu sana. Wewe uko kivulini hujui ya juani kwetu. Umeshaharibu mbayaa. CCM hawakutakii mema.

Vinaja 3 wamejipanga usitoboe. Fanya jambo moja kukuokoa. VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI. Mfukuze kazi Kasim Majaliwa. Wote hawa wamekushauri vibaya. Naishia hapo ila unajua mbinu dhidi Yako.
 
Acha unafiki!!!

Kassim ndo ameshauri atie sahihi dubwasha lile?

HATOGOMBEA!!!
 
Sina imani kama anayo nia ya kugombea. Nadhani hakupenda kuweka wazi kwamba hagombei 2025 ili kuepusha msuguano. Hata wanafunzi/mitume wa Bwana YESU walipotambua kuwa Bwana YESU anaondoka tu, walianza kugombania uongozi. Narudia, sidhani kama anampango wa kugombea, maana kibali kimeondolewa.
 
Back
Top Bottom