Naombeni ushauri waungwana

Shadow 08

Member
Jun 22, 2023
26
11
Kuna mdogo wangu amemaliza form six mwaka huu na amepata faulu wa 1.9 mchepuo wa HKL kambiwa na mzee achague fani lakini vyuo ni mbeya na mwanza sasa yeye anapenda mambo ya elimu lakini Mimi nikamwambia elimu sasa hivi inshu za ajira imekuwa ngumu sana labda kama una strong connection akasema basi nimsaidie kuangalia course zingine nikamwambia Sawa angoje mana Mimi sija fika elimu ya juu Sana nimeishia form 4 tu ni kaenda VETA fani ya agro Mechanics kwahyo Sina huelewa sana na mchepuo wake ni HKL. Nisaidieni apo wakuu nimshauri fani gani au course gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom