Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,593
- 93,306
Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub, tukio kubwa la mkusanyiko mkubwa wa watu nilihudhuria alipokuja Mandela tu.
Tukirejea katika mada, ni lazima tukubali maisha halisi ya Watanzania yanaeleweka hili wala sina haja ya kulieleza, na ukitaka kuwapata mashabiki halisi lialia wale wapiga kelele basi tutakubaliana ni wale wenye maisha ya chini wasio na uwezo, starehe yao ni mpira pesa za kula shangwe huko wavuvi camp hawana.
Sasa kitendo cha kuwawekea kiingilio kisichoendana na uwezo wao kundi hili lenye percent kubwa ya Watanzania si cha kiungwana wala cha kistaarabu.
Kuna watu mtanikosowa kwamba starehe gharama na club inahitaji mapato na kuna pesa za maandalizi nakubaliana na hilo lakini iko option rahisi ya kuondowa gharama za kipuuzi ili msinyonye hawa mashabiki.
Uzuri binafsi nilifuatilia hilo tamasha mwanzo mpaka mwisho, pesa zinazolipwa kwa wasanii ni matumizi Mabaya ya pesa otherwise labda mniambie wanafanya show bure kama alivyofanya Diamond pale Jangwani kwenye parade la Wananchi.
Ushauri wangu upande wa Burudani futa wasanii wote, weka Live band tatu Kali, weka Twanga pepeta, weka Ngwasuma weka bendi ya tatu ambayo iko kwenye peak, show zote ni live magita yanapigwa dram zinapigwa, pata Dj mkali wa kupiga disco la nguvu shughuri imeisha mnasubili muda wa mechi tu.
Lakini inauma sana pesa za watu kuwalipa wasanii ambao wanakuja kuweka Cd ndio zinaimba wao kazi yao kupiga kelele tu kama walevi, hili linaniuma sana huu ni upotevu wa pesa bure kabisa, shusheni viingilio badala ya kuwalipisha watu pesa kubwa ili kuwalipa hawa wapuuzi.
Najuwa waandishi wa habari za michezo mpo hapa, chukueni ili halafu mkajifanye ni wazo lenu ili muonekane magenious.