covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 4,882
- 10,605
habari wakuu naomba ushauri kazi zangu zinahusisha kwa kiasi fulani wateja kuwa na internet hivyo najikuta nalazimika kuwaunganisha wateja wangu na watu wa internet provider mara nyingi.
nimepiga calculation zangu nimekuta nimeunganisha takriban wateja 16 ndani ya mwezi tu hawa wote nimewaunganisha kwa internet provider tofauti 4, nimejaribu kuongea na wawili naona bado hawana mfumo wa freelancer kwa kampuni zao hawa wawili wanaleta nyodo siwataki tena .. sasa imeona kama hii ni fursa pia kwangu nahitaji internet provider wanaoweza kuingia contract na mimi nikawa napata na commission kabisa sio bure tena. ikiwa ni fiber itakuwa poa zaidi.