Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,277
8,002
Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.

Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati.

Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Dotto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
 
Kufikiria kuwa Dotto atafanya maajabu kwenye nishati ni kusubiria samaki chini ya mbuyu.

Nini kikubwa ambqcho amewahi kukifanya zaidi ya kuitumia nafasi anayopewa kujinufaisha mwenyewe na jamaa zake watusi, wahamiaji haramu toka taifa jirani zetu?

Mpeni miezi 6 halafu mje mtoe taarifa kilichobadilika, iwe kwenye umeme au mafuta. Sina shaka jamaa ni kiongozi corrupt, anayetumia mapato haramu kujijenga kisiasa.
 
Uko sahihi maana Makamba, Mkurugenzi aliyepo na bodi yake ndio wametufikisha hapa tulipo kwahyo waziri husika wa sasa hana budi kuanza na timu ambayo itaondoa tatizo lilipo miaka miwili + maneno yalikuwa ni mengi lakini hatuoni mabadiliko zaidi hya visingizio visivyokwisha stasa zinapigwa kila uchwao.
 
Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna upungufu wa umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.

Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
ACHA CHUKI, AKILI MBOVU, na ROHO MBAYA
 
ok nadhani atakua ameona maoni yako
 
Akikaidi kuwatoa kwa hofu ya nguvu yao waliyo nayo basi ahesabu tatizo lote la TANESCO halitawaendea wao litamwangukia yeye na mwisho wa safari wataanza kumbagaza kisha kumng'oa. Mrema alipewa nguvu sana mpaka akajibadilisha kuwa mvaa kanzu na vibaragashia; mtu mhimu ambaye aneza kusimulia alivyosumbuliwa na Agostine Mrema miaka ile ni mbunge Kishimba wakati huo akiwa mfanyabiashara wa madini ya dhahabu.
 
Back
Top Bottom