Bukoba msipofuata ushauri wa Hayati Magufuli bado mtakuwa na safari ndefu sana ya kuwa na maendeleo kwenye hako kamji kenu

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
Bukoba mugumile watani zangu.

Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia.

Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa ninyi.

Mbona nyie ni wasomi kabisa lakini cha kusikitisha ni wasomi msioonesha matokeo chanya ya usomi wetu?

Mwendazake aliwataja watu wawili waliochangia kuwacheleweshea maendeleo kwenye kamji kenu, juzi kati huyo kainuka tena na tabia zake zilezile za ubinafsi kutaka kuchonganisha mbunge na wananchi kisa nyumba ya babu yao imeguswa kwenye bomoabomoa ya barabara mlima wa Nyangoye.

Swali: Watu wanaopoteza uhai pale si watu wa kwenu hapo.

Watani mnatia aibu Sana, mji mzima mnafuata mawazo ya mtu mmoja/wawili ambao mwendazake aliwakataa waziwazi kabisa maana waliwachelewesha kupata maendeleo huku wao wanaishi as royal family.

Mwagilamayo!!!
 
ndeleo huku wao wanaishi as royal family.

Mwagilamayo!!!
Funguka mkuu! Taja majina ya hao wanaokwamisha miradi ya maendeleo
 
Bukoba mugumile watani zangu.

Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia.

Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa ninyi.

Mbona nyie ni wasomi kabisa lakini cha kusikitisha ni wasomi msioonesha matokeo chanya ya usomi wetu?

Mwendazake aliwataja watu wawili waliochangia kuwacheleweshea maendeleo kwenye kamji kenu, juzi kati huyo kainuka tena na tabia zake zilezile za ubinafsi kutaka kuchonganisha mbunge na wananchi kisa nyumba ya babu yao imeguswa kwenye bomoabomoa ya barabara mlima wa Nyangoye.

Swali: Watu wanaopoteza uhai pale si watu wa kwenu hapo.

Watani mnatia aibu Sana, mji mzima mnafuata mawazo ya mtu mmoja/wawili ambao mwendazake aliwakataa waziwazi kabisa maana waliwachelewesha kupata maendeleo huku wao wanaishi as royal family.

Mwagilamayo!!!

Wakora muno,shida ndugu zetu hawa ujuaji mwingi sana,kumbe zero. Waha na wahaya tofauti yao ni mkoa tu.
 
Bukoba mugumile watani zangu.

Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia.

Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa ninyi.

Mbona nyie ni wasomi kabisa lakini cha kusikitisha ni wasomi msioonesha matokeo chanya ya usomi wetu?

Mwendazake aliwataja watu wawili waliochangia kuwacheleweshea maendeleo kwenye kamji kenu, juzi kati huyo kainuka tena na tabia zake zilezile za ubinafsi kutaka kuchonganisha mbunge na wananchi kisa nyumba ya babu yao imeguswa kwenye bomoabomoa ya barabara mlima wa Nyangoye.

Swali: Watu wanaopoteza uhai pale si watu wa kwenu hapo.

Watani mnatia aibu Sana, mji mzima mnafuata mawazo ya mtu mmoja/wawili ambao mwendazake aliwakataa waziwazi kabisa maana waliwachelewesha kupata maendeleo huku wao wanaishi as royal family.

Mwagilamayo!!!
Mimi ningekuwa na mamlaka...watu hao wangenyongwa...wameisabibishia hasara kubwa sana manispaa ya Bukoba..Hadi kuwa hiv leo...

Lakin nachoshukuru nyumba zimevunjwa na barabara inatanuliwa kuwa njia nne na naskia ni hadi bandarini....sasa hiv Bukoba hakuna kucheka na mtu......

Kwanza nimefurahi sana walipoondoa ile stendi pale...sijui waliwezaje...hii ni hatua kubwa sana kwa mji wa bukoba na hii inaonyesha Bukoba viongozi wake wameanza kubadilika badilika
 
Bukoba mugumile watani zangu.

Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia.

Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa ninyi.

Mbona nyie ni wasomi kabisa lakini cha kusikitisha ni wasomi msioonesha matokeo chanya ya usomi wetu?

Mwendazake aliwataja watu wawili waliochangia kuwacheleweshea maendeleo kwenye kamji kenu, juzi kati huyo kainuka tena na tabia zake zilezile za ubinafsi kutaka kuchonganisha mbunge na wananchi kisa nyumba ya babu yao imeguswa kwenye bomoabomoa ya barabara mlima wa Nyangoye.

Swali: Watu wanaopoteza uhai pale si watu wa kwenu hapo.

Watani mnatia aibu Sana, mji mzima mnafuata mawazo ya mtu mmoja/wawili ambao mwendazake aliwakataa waziwazi kabisa maana waliwachelewesha kupata maendeleo huku wao wanaishi as royal family.

Mwagilamayo!!!
mji mchafu, wenye watu wachafu, vumbi kila eneo, ikinyesha matope all over, watu wana kiburi wakati hawana kitu, wasipobadilika hao watakuwa mkiani miaka yote. wahaya wamesoma wakaenda kujenga mikoa mingine na wanaishi mikoa mingine ila bukoba ni hamna kitu.
 
Hii ndiyo inasababisha wanakuwa mkiani kwenye takwimu za uchumi nchini.
Screenshot_20231018_145904_WhatsApp.jpg
 
Sehemu watu wanapoish kinafik sana ni Bukoba na wanaishi kisheria sana ,kutwa kupelekana mahakamani hata Mambo ya kumalizana wenyewe ,ujuaji mwingi ,ukiweza kuwin biashara Bukoba ww ni hatari maana utasumbuliwa kodi walizowekeana kibao ,Fremu za Bukoba Mjini pale bei kubwa wakati mzunguko wao wa biashara ni mdogo sana ,biashara inawin hasa sokoni tu. ......Mgogoro huo wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ,Zachwa na Mbunge ndo vikazwo ,walianza kuhujumu tokea stand iliyotakiwa kujengwa Kyakairabwa enz hzo anahujumu Kagashek na Muganyizi na Amani kuhusu kuhamishwa stend , mwishowe hela za WB zilifel stend ikagoma kujengwa ,kwa manufaa yao binafsi ,na saiv Zachwa kabomolewa ili kupisha kupanuliwa kwa barabara ya Nyangoye ambayo ,ndo chanzo cha ajali.......No wonder huu mkoa unakuwa wa mwisho kwenye kipato
 
Bukoba mugumile watani zangu.

Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia.

Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa ninyi.

Mbona nyie ni wasomi kabisa lakini cha kusikitisha ni wasomi msioonesha matokeo chanya ya usomi wetu?

Mwendazake aliwataja watu wawili waliochangia kuwacheleweshea maendeleo kwenye kamji kenu, juzi kati huyo kainuka tena na tabia zake zilezile za ubinafsi kutaka kuchonganisha mbunge na wananchi kisa nyumba ya babu yao imeguswa kwenye bomoabomoa ya barabara mlima wa Nyangoye.

Swali: Watu wanaopoteza uhai pale si watu wa kwenu hapo.

Watani mnatia aibu Sana, mji mzima mnafuata mawazo ya mtu mmoja/wawili ambao mwendazake aliwakataa waziwazi kabisa maana waliwachelewesha kupata maendeleo huku wao wanaishi as royal family.

Mwagilamayo!!!
Kwani mkoa gani tajiri Tanzania
 
Sehemu watu wanapoish kinafik sana ni Bukoba na wanaishi kisheria sana ,kutwa kupelekana mahakamani hata Mambo ya kumalizana wenyewe ,ujuaji mwingi ,ukiweza kuwin biashara Bukoba ww ni hatari maana utasumbuliwa kodi walizowekeana kibao ,Fremu za Bukoba Mjini pale bei kubwa wakati mzunguko wao wa biashara ni mdogo sana ,biashara inawin hasa sokoni tu. ......Mgogoro huo wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ,Zachwa na Mbunge ndo vikazwo ,walianza kuhujumu tokea stand iliyotakiwa kujengwa Kyakairabwa enz hzo anahujumu Kagashek na Muganyizi na Amani kuhusu kuhamishwa stend , mwishowe hela za WB zilifel stend ikagoma kujengwa ,kwa manufaa yao binafsi ,na saiv Zachwa kabomolewa ili kupisha kupanuliwa kwa barabara ya Nyangoye ambayo ,ndo chanzo cha ajali.......No wonder huu mkoa unakuwa wa mwisho kwenye kipato
Yaan huyu zachwa ndo analeta migogoro wakati ni mwenyekiti wa CCM?..nitakuwa wa mwisho kuamini haya...
Au ile motel na ukumbi wake pale Mtoni kanoni na barabarani? Huu ni ubinafsi wa hali ya juu na uchawi...Nadhani anyongwe kimya kimya...
Watu wote wamevunja nyumba zao yeye ni nani wakati yupo ndani ya mita 22.5 za barabara?...kwa hiyo barabara kuu inayoingia mjini isipanuliwe kisa yeye hotel yake ipo barabarani...
Serikali itakuwa dhaifu kama inawaogopa wananchi wa ovyo kama huyo...

Mbona kwenye mkutano wa juzi naye alikuwepo lakini hadi akamuona mbunge akilia?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wala sio zachwa mkuu,kuna jamaa anapenda kuabudiwa wanamwita balozi
 
Yaan huyu zachwa ndo analeta migogoro wakati ni mwenyekiti wa CCM?..nitakuwa wa mwisho kuamini haya...
Au ile motel na ukumbi wake pale Mtoni kanoni na barabarani? Huu ni ubinafsi wa hali ya juu na uchawi...Nadhani anyongwe kimya kimya...
Watu wote wamevunja nyumba zao yeye ni nani wakati yupo ndani ya mita 22.5 za barabara?...kwa hiyo barabara kuu inayoingia mjini isipanuliwe kisa yeye hotel yake ipo barabarani...
Serikali itakuwa dhaifu kama inawaogopa wananchi wa ovyo kama huyo...

Mbona kwenye mkutano wa juzi naye alikuwepo lakini hadi akamuona mbunge akilia?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kagashek na Zachwa wote wanahusika ,Walihusika kukwamisha ujenz wa stend kwenda Kyakairabwa kwa sababu zake za kibiashara ikiwemo ile motel.....
 
Hapana bwana aisee...haya ndo majungu yenyew mkuu yanayozisumbua manispaa nyingi na halmashauri nyingi...toa ushahidi mkuu...maana hats yeye hiyo motel yake itavunjwa tu wakati wa upanuzi wa awamu ya pili ya barabara ya uganda kuwa njia nne

Habu Tazama hapa kwa nini wameamua kujenga stendi mjini kati...maana hata ya kyakairabwa itajengwa tu

View: https://youtu.be/3Vd7WYBjgoc?si=lgDABom07rnbuncT

Back
Top Bottom