ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  2. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Hivi unatakiwa kutajirika ukiwa na miaka mingapi? Mbona kama naona gari ishaniacha 🥺🥺🥺
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimelipia cheti cha kuzaliwa hadi leo hamna, vijana walinihakikishia control number ikitoka tu basi

    Salaam kwenu wabongo wenzangu, Bila kupoteza muda naomba Kusaidiwa ushauri kama ifuatavyo; Ninataka cheti cha kuzaliwa cha binti yangu wa nje mwenye miaka 13. Nilipewa procedures kwamba niombe mtandaoni. Kwa kuwa nilikuwa bize ilibidi hilo jukumu niwape vijana ktk steshenari fulani...
  4. rajabu musa

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hospitali za Serikali na private ziwaajiri watu kwa ajili ya ushauri wa vyanzo vya magojwa

    Hii ina maanisha kuwa endapo serikali yetu kwa pamoja na mashirika binafsi au hospital binafs zinaajiri wataalamu kwa ajili ya kutoa elimu au ushauri kwa vyanzo vya magojwa hii itasaidia kupunguza mlundikano wa wagojwa katika hospital zetu. Na hii ninachomaanisha hapo ni kwamba kila ugojwa...
  5. Mtu porii

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto

    Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto yaliyonianza baada ya kuumia uwanjan wakat nacheza mpira.. Wakati nimeruka juu mchezaj wa tim pinzan alinipga maeneo ya kifua upande wa kushoto.. Nilienda hosptal nikapiga X ray, nikapima vidonda vya tumbo..nkiawa sina na X ray haina shida.. Nikaenda...
  6. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Wadudu-Msitumike Bila Manufaa

    Habari za wakti huu; Kwanza niweke wazi kwamba Mimi Nimekulia Arusha. Ninafahamu Fursa na Changamoto zilizoko Katika Mkoa wa Arusha na Ninatambua tabia na Hulka za Vijana wa Arusha.Kimsingi katika Mikoa Yote Tanzania Ukiondoa Wamasai Vijana wa Arusha ndio Jamii Pekee ambayo imeweza kutengeneza...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira "Kuna zaidi ya Species 500 za Miti ya Mikaratusi Duniani, Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti Misitu Nchini (TAFORI) imeruhusu aina 25 za Miti ya Mkaratusi ili kupata fursa...
  8. Yohimbe bark

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimasomo

    Hello great thinkers, Mwaka 2021 nilikua nafanya mtihani wangu wa mwisho wa diploma ya pharmacy lakini sikuweza kumalizia mitihani yangu ya mwisho miwili iliyokua inafanyika kesho yake kwasababu nilipata ajali iliyonipelekea kukaa kwa mwaka nikitibiwa. Mistake niliyofanya sikuandika barua ya...
  9. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali jinsi ya kupunguza rushwa barabarani

    Police wetu wa usalama barabarani wangekua kama hivi, wanapiga picha na risiti dereva anapambana nayo kwenye system na kwenda kulipia kwa control number rushwa ingepungua sana na kuacha kujazana mabarabarani.
  10. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Ushauri na mchango wa kimawazo kwa TANROADS

    Ushauri na michango ya kimawazo kwa TANROADS kuhusu kuomba kuingiza elimu ya jiolojia na uhandisi wa ujenzi kama sehemu inayojitegemea kabla ya kuanza ujenzi wa miundombinu kama madaraja, mitaro, na barabara ni njia ya kuboresha mchakato wa ujenzi na kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iwekeze kwenye ujenzi wa barabara za kiwango cha lami

    Wadau Mimi nilikua nawazo kwa Serikali kuhusu miundombinu ya Barabara Nchini. Barabara ndio kila kitu kwa mwananchi Ili afike pale anapotaka kufanya shughuli zake. Wazo langu nikuwa Serikali inatakiwa iangalie sehemu zenye watu wengi au makazi waweke Barabara zenye kiwango cha Lami Ili...
  12. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania USHAURI: CHADEMA Mkitaka Kuinuka Tena Kwenye Siasa Mpeni Huyu "Sheikh Ally Mohamedi Kadogoo" UKatibu Muenezi wa Chama Mtafika Mbali na Mtaheshimika

    Sikuwahi kufatilia Mikutano ya CHADEMA kwa Uangalifu kwa sababu Najua Mikutano yao Mingi Huwa ni Malalamiko na kashfa na hasa wengi Kushindwa kujibu hoja na Asilimia Kubwa kuwa waropokaji.. Japo Kuna watu makini Ndani ya Vijana hao wa chama Siwezi kukataa kuna watu au Vijana makini na Wanahoja...
  13. Nyabiri

    JamiiForums Tanzania Naomba wa ushauri njia bora ya kuendesha kampuni

    Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo. Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni ya ulinzi na kuanza kuiendesha kuanzia mwaka 2021 hadi 2023 mwishoni,nilikuwa na wateja wa kawaida...
  14. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa simba yangu

    Tumepoteza mechi ya jana na hivyo kupunguza matumaini ya kuchukua ubingwa wa NBC, hilo haliondoi ukweli kuwa sisi ni Simba na maisha inatakiwa yaendelee. Kuna ushauri ambao inatakiwa uzingatiwe hasa na viongozi walioko kwenye maamuzi ya timu, ushauri wenyewe ni kuwa KUNA WACHEZAJI WENGI SANA...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kazi za ukurugenzi kwa ngazi zote ziwe za kuomba nsio kuteuliwa

    Tatizo tumekuwa na kazi ambazo zinahitaji uwezo wa kusimamia miradi na budget mbali mbali za maendeleo. Lakini tunaweka makada ambao wengi wamezoea kupiga domo kucha kutwa bila kufahamu chochote kuhusu uongozi. Hii imesababisha nchi zima na kila idara kuwa ya machawa na watu wasio jielewa...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ushauri special kwa wanaume special

    Kaka zangu..... Hebu kabla hatujalala tuambiane kakitu. Kuna wanawake Mungu amewapa tu akili nyingi. Yaani naturally tu ana akili sana, ana mawazo ya mbali sana, ana upeo mkubwa, amekomaa kichwani, yuko serious na maisha, yuko very calculative na akikushauri ukamsikiliza unatoboa. Wengine wa...
  17. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya huu ugonjwa na wapi naweza kupata huduma nzuri ya matibabu

    Habari wana jamii, Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu kubwa mno pia kukimbia siwezi nikikimbia kidogo tu miguu hukaza na kubana. Naombeni ushauri tatizo...
  19. Slim5

    JamiiForums Tanzania Foleni Maili 35 barabara ya Morogoro

    Habari wananzengo! Kama bado hujafika Mlandizi kutokea Chalinze, Kuna kamba 1 matata kuanzia kwa kiipofu kuelekea Misugusugu mpk Kibaha. Mm binafsi nimekwama hapa MAILIN35, Gari hazitembei Dk 30 sasa. Anaweza kuchepuka kuhamia Barabara ya zmn ni heri kwake!
  20. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwajiri anataka vyeti pamoja na leseni (original) ili anisajili kwenye kituo chake, hii ni sahihi? Nitaweza kuajiriwa serikalini?

    Habari za asubuhi Wana jamiiforums, Nimatumaini yangu muwazima wa afya. Wakuu mimi ni afisa tabibu yaani clinical officer ninafanya kazi katika kituo x cha afya cha private na Sina mkataba wa kazi na muajiri wangu. Ila cha kushangaza muajiri wangu anataka nimpatie vyeti vyangu vya taaluma...
Back
Top Bottom