Naomba ushauri, maoni au maelezo kuhusu hii kozi

Melck95

Member
Feb 14, 2020
10
45
Habari wana JF,

Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production).

Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism management pale MWEKA, naomba mwenye ujuzi na hii kozi au field ya utalii anijuze, atoe maoni au taarifa zozote kuhusu hiyo kozi tajwa.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Johnyy

Member
Dec 21, 2018
70
95

kozi ngumu hiyo na gharama za mweka zipo juu sana angalia sua
 
edward93

JF-Expert Member
Jun 27, 2015
254
500
Kama una connection kwenye tourism industry sawa au kama unasoma for passion its fine! Ila kama ni mtto wa mkulima unayetegemea elimu basi achana na hyo course!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom