CHADEMA: Kutumia V8 ni gharama ila kwetu Helikopta na usafiri wa kawaida

Watu wa CCM mnajipa stress kwa vitu minor sana badala ya muda huu ni kwa namna gani mtajihakikishia ushindi wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 ambao hautakuwa na mambo ya kupita bila kupingwa kama 2019 mnajadili helikopta ya Chadema . Idiots
 
Tabia huwa haibadiliki, huwezi kuwa unatumia ndege leo alafu ukasema nikishika madaraka nitaacha, haiwezekani!

Si unawaona hata mikutano yao wanakofanyia? Kujenga ofisi hawataki, wanaoenda kula raha mahotelini.
 
Kigoma mpooooooooooooooooooooooo?
Kamanda wa Anga yupo njiani anakuja.

Ameandika Martin Masese
Kamanda wa anga, tumezoea kumuita hivyo, kwetu ni kaka na kwenye chama ni MWAMBA.
@freemanmbowetz ameondoka Arusha Airport kwa safari ya KigomaTutakuwa na mkutano Mwanga Centre - Kigoma kuanzia saa 8 mchana.Baada ya leo tutakuwa na mikutano mitatu kwa siku #plus255KatibaMpya
 
Ni wafujaji wa pesa za watanzania. Ila uzuri ni kwamba watanzania huwa wanawaadhibu CHADEMA kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom