Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?

Hivi ulishawahi kuwepo?
Manake hakuna mzee nimewahi kumpisha...labda akae nikishuka
😁😁😁Kuna siku nlipanda gar pale mnazi Moja baada ya mwendo kidogo tu Kuna mzee kapanda konda kaniomba nimpishe nikazuga simsikii watu wakaanza kuniangalia nikapisha mzee akakaa kufika msimbazi center akawa anataka kushuka akawa anaminvite mdada flan akae yy anashuka!
 
Back
Top Bottom