usafiri

  1. T

    JamiiForums Tanzania Watu ambao hugombania usafiri wa umma kama wakazi wa Mbagala huishi maisha marefu?

    Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye gazeti la Washington Post umesema watu ambao hugombania usafiri wana nafasi kubwa ya kuishi maisha marefu na kuepukana na baadhi ya saratani. Kwa Dar es salaam, wakazi wa mbagala wanajulikana kwa kugombania gari na kupambana kupata nafasi ama kiti cha...
  2. Ahmad Muhammad Shanam

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usafiri wa barabara katika miji/majiji kwa maendeleo endelevu (mfano kazi jiji la Dar Es Salaam)

    A: UTANGULIZI. Usafiri ni hali ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa madhumuni mbalimbali. Maendeleo ni hali ya kukua kifikra, kiuchumi, siasa, kijamii au kiutamaduni kutoka hali duni kwenda hali bora kuliko awali. Maendeleo endelevu ni maendeleo ambayo kutokea kwake...
  3. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali iboreshe usafiri wa anga Ili kupanua wigo wa usafiri na usafirishaji nchini

    Constantine J. Samali Mauki Utangulizi Nikiwa mtoto, nilijua watu wanaosafiri kwa ndege ni watalii (kwa maana ya wazungu), matajiri, na viongozi wakubwa wa Serikali. Nilipokuwa mkubwa na mpaka sasa, naona mtizamo wangu bado ni uleule niliokuwa nao nikiwa mtoto, kwamba usafiri wa ndege ni wa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Usafiri uitwao Neno

    Hapa ninazungumzia Neno la Mungu la kwenye Biblia. Wanasaikolojia wanakiri kuwa maneno yana uwezo mkubwa sana wa kumwathiri mtu. Ikiwa maneno ya kawaida yanaweza kusababisha mabadiliko, ni kwa kiwango gani Neno la Mungu linaweza kuleta matokeo yaliyoahidiwa na Mungu Mwenyewe? Kama unataka...
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia ya vyombo baridi vya usafiri

    Miongoni mwa changamoto zinazolikabili Taifa la Tanzania na Bara la Afrika lakini pia Dunia nzima ni Ajali za Barabarani pamoja na Foleni za Barabarani. Ajali za Barabarani husababisha aidha kupoteza roho za watu au kuharibu miili na akili za watu jambo ambalo halitakiwi kunyamaziwa hata kwa...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ni story gani au mada gani uliikuta kwenye chombo cha usafiri ukaishia kucheka?

    Hello 👋 Tunatumia usafiri sana sana usafiri wetu daladala, mwendokasi, bajaji nk Nisikuchoshe kuna tukio nishashuhidia na kusikia nikaishia kucheka mpaka mwisho wa safari Ya kwaza ilikuwa mwaka 2015 nikiwa kwenye daladala kipindi cha uchaguzi tukifika kituo fulani sasa pembeni kulikuwa na...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mji wa Tanzania ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli

    Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli? Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'. Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Usafiri wa daladala kurejea, madereva wamaliza mgomo

    Mgomo huo ulioibuka asubuhi ya leo Julai 3, 2023 baada ya madereva Daladala kudai kuingiliwa ruti na wenzao wa Bajaj, hatimaye wameyamaliza na usafiri unaratijiwa kurejea kama kawaida kuanzia asubuhi ya Julai 4, 2023. Baada ya mazungumzo hatimaye maridhiano yamefikiwa kati ya Mamlaka ya...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa vyeti vya kuthibitishwa kwa madereva 999 waliosajiliwa na kuthibitishwa

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE AKABIDHI VYETI KWA MADEREVA 999 KUTOKA LATRA Naibu Waziri Uchukuzi na Ujenzi, Mhe. Atupele Mwakibete tarehe 01 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam ametoa vyeti kwa madereva 999 waliosailiwa na kuthibitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Nchini (LATRA), hii...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usafiri wa mabasi ya mikoani kwa muda stahiki

    Mimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mwenendo wa usafiri wa mabasi ya mikoni. Kiongozi mmoja akifuta safari za usiku na mwingine akizikirudisha. Mmoja ikichagua mabasi gani yasafiri usiku na mabasi gani yasisafiri usiku nap engine kusiwe hat ana vigezo vya ruhusa ama makatazo hayo. Lakini kwa...
  11. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?

    Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?
  12. Kaka Ibrah

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic police), maana abiria ni watu na watu ndiyo nguvu kazi ya taifa letu katika mambo yote. Lakini si...
  13. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Kifuatacho ni Kubinafsisha usafiri wa treni. Biashara za walioko Ikulu

    Tulishafahamu mapema pale yule jamaa wa National housing alipopelekwa kuwa msajili wa hazina. Eti Mchechu ndiye msajili wa hazina! Mtu asiye na ethics. Mtu aliyewekwa na Luhanjo. Luhanjo aliyemleta Katibu mkuu kiongozi mpya toka Iringa. Sasa kila mtu anahaha. Tukisema Iringa wengine...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanateseka sana kupata usafiri. Yafanyike haya kusaidia

    Wanafunzi wakilazimisha kuingia kwenye gari konda akiwazuia Wanafunzi wa mikoa yenye idadi kubwa ya watu wanapata tabu kubwa sana wanapotumia usafiri wa umma kwenda shuleni na kurudi nyumbani, manyanyaso wanayokutana nayo wanafunzi kutoka kwa makondakta wa daladala yanawaathiri kwa namna moja...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hii hali ikiendelea, tutarajie majanga kwenye usafiri wa mabasi yaendayo haraka aka Mwendokasi

    Asalaam Aleykum wana JF wenzangu. Ama baada ya Salamu hizo za upendo, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kama Mtanzania Mzalendo kwa nchi yangu (na uzalendo ni pamoja na kuusema ukweli kama ulivyo), nimeona niongelee hii kero ya usafiri wa Mwendokasi (japo nina ukakasi na...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania BM Coach kuanza safari saa 10 alfajiri

    Majuzi kati hapo wasimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini Latra walitoa taarifa za kuruhusu mabasi kusafiri kuanzia saa 9 usiku👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/latra-waruhusu-mabasi-kuanza-safari-saa-9-usiku.2093165/ Hadi kufika leo naona kampuni moja ya kuelekea Arusha ambayo ni BM...
  17. vibertz

    JamiiForums Tanzania LATRA mkoa wa Morogoro simamieni bei elekezi za nauli za usafiri wa umma

    Katika tembea tembea zangu, mkoa wa Morogoro ni moja ya sehemu ambayo mfumo wa nauli haujakaa sawa. Ukipanda daladala za Dar es salaam mfumo wa nauli umekaa vizuri sana na unaeleweka na inaonesha ni wazi kabisa mamlaka zinafatilia juu ya hilo. Mfano gari linatoka Tandika kwenda Mbezi nauli ipo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rias Samia kununua kila goli la Yanga kwa Tsh. Milioni 20

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao Makuu ya Azam Media Limited- Tabata Dares Salaam leo tarehe 18 Mei, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kutumia V8 ni gharama ila kwetu Helikopta na usafiri wa kawaida

    Tujikumbushe "Matumizi ya Helikopta kwetu ni usafiri wa Kawaida." Mwenyekiti
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Chalamila aanza kwa kishindo! Atumia usafiri wa bajaj

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao. Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao. Akiwa...
Back
Top Bottom