usafiri

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Kabudi; Mipaka imefunguliwa kati ya Kenya na Tanzania kwa usafiri wa ndege; sisi wa usafiri wa shuttle barabarani ndio wenye Corona?

    Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
  2. Guus

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanafunzi 200 waliokuwa China waanza safari ya kurejea nchini kwa usafiri wa ATCL

    Kutokana na kupanda kwa nauli za ndege kulikotokana na janga la Corona, ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Shirikisho la Watanzania waishio nchini humo (TASAFIC) wamefanikiwa kuandaa usafiri kwa wanafunzi na Watanzania wengine waliokuwa China kupitia Shirika la Ndege la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dodoma kwenda Kigoma

    Napenda kufahamu mabasi mazuri ya kutoka Dodoma asubuhi kwenda Kigoma. Nawasilisha.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nipo Buza, nipande Magari yapi nifike Mwenge?

    Habari zenu wana jamvi, Kwa wenyeji wa Dar naomba Mnisaidie nipande daladala zipi kutoka Buza mpaka mwenge. Mimi ni mgeni kabisa wa jiji.
  5. mahadhialy

    JamiiForums Tanzania Biashara ya usafiri inakuwaje

    Habari zenu wakuu, ninaomba kujuzwa kuhusu biashara ya usafiri je ni biashara gani kati ya hizi. 1.Biashara ya mabasi ya mikoani, hii itakuwa inahusu mabasi ya abiria wa mikoani, ninaomba mnijuze taratibu hizi; (a)Gharama za uanzishaji.
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania EWURA, SUMATRA na wamiliki wa vyombo vya Usafiri hii inawahusu

    Amani kwako. Maisha ni gurudumu ambalo lazima likanyage mzunguko wote ili kufikia hatua inayotakiwa. Mfanyabiashara yeyote hana undugu na mteja hii inatokana na mfumo wa biashara kama kuepuka hasara na mambo mengine. MADA: Bei ya mafuta imeshuka maradufu na ndani ya wiki tatu imeshuka tena...
  7. DOCTOR UZI

    JamiiForums Tanzania Nitumie usafiri gani kusafirisha mizigo yangu kutoka Dar - Dodoma?

    Wakuu za muda huu, Moja kwa moja kwenye mada au swali , mm ni mwanachuo nasoma Dom ila naishi dar kuna baadhi ya vitu nataka nivipeleke kwenye geto langu la dom (kitanda 5*6,tv ,fridge) Sasa wakuu nilikuwa nataka kujua kama kuna usafirishaji mwengine ukitoa wa bus maana hawataki kusafirisha...
  8. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Tamisemi yaitaka Udart kurejesha huduma ya usafiri kabla ya Juni 01

    Waziri wa Nchi , ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza wakala wa mabasi yaendayo haraka UDART kuhakikisha usafiri wa mabasi hayo unarejea kama kawaida kabla ya Juni Mosi, mwaka huu na kuondoa kero ya sasa inayowakumba abiria wanaotumia usafiri...
  9. JF Member

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwanza to Dar Jioni hii

    Msaada Kama Kuna mtu yuko Mwanza anakuja Dar jioni hii kwa gari nijulishe . Kuna ndugu zangu wanatakiwa Dar kesho asubuhi.
  10. MAJIYAPWANI

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hiki chombo cha usafiri

    Habari Wana Jf Leo katika pitapita zangu nimekutana na chombo cha usafiri aina ya piki piki hii wauaji wanasema ni made in korea Nataka kujua upatikanaji wa Spare, ulaji mafuta ukoje na Je vinadumu? Havisumbui?
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Usafiri wa mabasi yaendayo Uganda

    Tar 27 Apr tunarajia BAADHI ya boda zitakuwa HURU kwa matumizi Wale wanaojua USAFIRI mzuri WA mabasi na lodge/guest house za BEI rahisi msaada pls Tupeni majina ya mabasi na BEI za TKT pls to kampala #Usisahau kadi ya chanjo pls..
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya wanafunzi yapewa kibali cha kuwa Daladala kwa muda wa miezi mitatu kukabili uhaba wa usafiri uliosababishwa na " level seat"

    Serikali imetoa ruksa kwa mabasi yenye rangi ya njano yanayobeba wanafunzi kutumika kama daladala wakati huu ambapo shule zimefungwa. Mkurugenzi mkuu wa Latra amesema wamiliki wa school bus watapewa vibali vya kuweza kubeba abiria kwa kipindi cha miezi mitatu ili kufidia upungufu wa mabasi...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa level seat lazima uratibiwe

    Usafiri wa level siti ni mzuri sana katika kupambana na magonjwa Kama COVID-19, TB, surua, mafua, upele, fungus yanayoenea kwa njia ya hewa na kugusana, lakini yafuatayo lazima yafanyike kwenye Usafiri huu ili usilete usumbufu: 1. Nauli ya kituo hadi kituo iwe 1000. Sh. 400, 500 au 600...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SUMATRA kuweni wabunifu kwenye ishu ya usafiri mijini kipindi hiki

    Nyakati ngumu huhitajika kuumiza kichwa mara nyingi zaidi kuliko kipindi cha raha mustarehe. Sasa hivi SUMATRA inataka vyombo vya usafiri viwe level seats lakini haitoi majibu ya mipango ya aina gani wanaweza kutumia usafiri wa mabasi hayahaya ya daladala yaliyopo nchini kuweza kuhudumia watu...
  15. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

    Daladala hupandwa na watu wenye kipato cha chini, hupandwa na watu waliokosa ajira/ kazi nzuri. Daladala hupandwa na watu wenye background ya chini. Daladala imejaa watu ambao ustaarabu wameusahau nyumbani. Natamani August 2020 nikome kupanda daladala. Hayo niliyoyaandika sija generalize kuwa...
  16. simplemind

    JamiiForums Tanzania Corona inazidi kutikisa -Marekani imezuia usafiri kutoka bara la ulaya.

    Coronavirus Live Updates: Trump’s Travel Restrictions, Italy in Lockdown and N.B.A. Suspension Italy biashara zote zimefungwa isipokua famasi na maduka ya vyakula. NBA imesitishwa.
  17. M

    JamiiForums Tanzania SUMATRA simamieni bei za Uber, bolt, ping na biashara za usafiri mtandaoni

    Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
  18. simplemind

    JamiiForums Tanzania Luxembourg: Nchi ya mwanzo kutoa usafiri wa bure wa umma

    Luxembourg on Saturday became the first country in the world to offer free public transport, as the small and wealthy EU country tries to help less-well-off workers and reduce road traffic. Some cities elsewhere have already taken similar, partial measures. But the transport ministry said it was...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania China yasitisha usafiri wa umma katika mkoa wa Wuhan kudhibiti Virusi Corona

    China imefanya maamuzi magumu ya kusitisha usafiri wa umma hasa katika mkoa wa Wuhan, unaokaliwa na watu karibu milioni tisa, wakati wa mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Corona. Watu wanaoishi katika jiji hilo wameambiwa wasiondoke nje ya mji huo, na uwanja wa ndege na vituo vya treni vitafungwa...
  20. Masinki

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kwenye usafiri huwa unafanya Kisha baadaye ukimbuka unacheka/una huzunika.

    Ni Jumamosi tulivu Sana ya mwaka 2020 wabongo wanaita Njaanuari hii,,imani yangu mpo in good spirits ingawa mifukoni kunaweza kusiwe POA. Wengi wetu hizi forum/mitandao ya kijamii ndio inatupa ahueni ya mawazo,yaaap acha nijielekeze kwenye mada yangu ya leo. Kuna Mambo mengi yanayofurahisha Sana...
Back
Top Bottom