Vito Corleone

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
2,229
4,778
Imagine tunatoka stendi Arusha asbuhi ya leo mida ya saa Moja, masela flani mid 40s wamekaa siti ya nyuma hapa, wamenunua keki maeneo ya Arusha wakaanza kubonya nkasema sio kesi maybe wamemiss breakfast kutokana na situasheni mbali mbali nkaona unyama wanaume kazini,gari ikafika manyara mzani pale zikapita toto za kiiraq nyeupee peee zinanadi mayai ya kienyeji yaliyochemshwa na karanga.

Masela mid 40s walikuwa watatu wakaanza kuagiza kila mtu manne manne sijui yalikuwa yanauzwa jero yale, anyway it's none ovu my bizness right, wakaanza kumenya mayai pale huku wanapiga story za Chelsea sijui inaweza kushuka daraja msimu huu, wakawa wanabonya mie nawasikilizia tu, ghafla wakaanza piga kelele Kwa konda awatafutie mdada aliyewauzia mayai maana kuna Moja ni bovu wabadilishiwe, huku na huku dada wa kiiraq haonekani maeneo, ghafla mwingine anasema naye lake bovu,nikageuka nione,kashabonya nusu, nusu ndio katupia Kwa dustbin;nkasema leo linatafutwa.

Wakati gari inatoka weight bridge pale manyara Kwa dirishani vijana wakawa wanakimbiza karanga na mahindi ya kuchoma wawili wakachukua mahindi mmoja aliyekaa karibu yangu hapa kanunua karanga, nyway tu cut the chase, tumefika maeno ya Minjingu zinaporomoshwa shuzi za kutosha, abiria wanaangaliana tu kama muhusika ajulikani, tumefika stendi ya Babati watu wameongezeka hewa imezidi kuwa nzito, masela mid 40s pistoni zimeshika Kasi sijui walikuwa wanapokezana wale.

Pembeni yangu alikuwepo mama mmoja Early 40s na kama alikuwa sio mgonjwa basi lilimshinda maana niliona tu anaingia kwenye begi lake kachukua kimfuko karudisha chenji Ile bwaaaaaaaahaaaaahhhh,ikabidi nifunge macho na Mimi nsije rudisha chenji siunajua kuunga mkono hoja, anyway hapo ndio sauti ikatoka fungueni madirisha tutafia humu, ndio vioo pale vinashushwa Ile waaah waaaah ndio watu Asante Yesu nyingi, wengine wakisema Allah Akbar za kutosha, nikasema kumbe kufa ni kitu kidogo sana na sijui kwanini hatukufungua vioo sooner, anyway wakisema Waafrikabakili zetu zinawaza slow kweli kweli.

Tumefika hotel Moja hapo Babati nikasema afadhali nkachimbe dawa, masela mid 40s nao nawaona wanapush watu ili washuke fasta nkajua wamebanwa, kufika nje nashangaa wanavamia mabufee,sauti naskia ni wekee hii, hii weka mbili,hiii ni Nini,? Nkasema duh!

Dakika kumi tunarudi kwenye gari mtu zisharudi kama zote joto ndio usisema maana gari haitembei,hata ukifungua dirisha ni Bure,hizi gari hazina AC, maybe zilikuwepo mwanzo, nakaribia siti yangu masela mid 40s wanabonya menyu kama hawajala Toka Jana, huyu anampa yule kipande cha parachichi, mara huyu anasema nyama ya kuku hapendi sana anampa mwenzie yaani kifupi msosi unapigika hasa, sijui lilikuwa pilau lile, anyway harufu ndio inanifanya nihisi hivyo maana sikuwa na muda hata wakuwaangalia sana, nkakaa tayari gari inajiandaa kutoka huku nkiomba Mungu aniepushe na Hiki kikombe maana najua bomu zinazoenda kuporomoshwa, ila niwakumbushe tu sijanywa chai asubuhi na kwahali ilivyo japo napenda kula ila hata kuwaza msosi sijawaza.

Anyway to cut the story short.
Tumefika stendi ya Kondoa huku maombi yangu yakiwa yamedunda,maana si Kwa bomu hizo,ila afadhali tulijua kufungua madirisha this time around, AKAPANDA nasisitiza AKAPANDA mtoto sijui toto lakirangi lile,maana sijaona trakooooo lile urangini Kwa muda mrefu,sijui muiraq yule ila wairaq si warefu hivi, Nikama nlifunga macho kufungua kakaa Kando yangu nkaskia mambo kaka,kabla sijajibu nkawa nimepaliwa nkawa namwangalia kama Ile mjusi kabanwa na mlango,Yu know, neno halitoki,ila nakajikuta naongea lugha sijawai ongea,anyway sikumbuki hata Hilo neno ila nachojua mdada naye aliacha mdomo wazi Kwa sekunde kama mbili akijiuliza nimeongea kilugha chawapi.

Ila alinistua aliponiuliza unafika mji x , ndio nkagutuka nkajibu ndio wewe je?hapo kama naota,Akasema nayeye pia anafanya hivyo,nkasema Leo mbuzi kafia Kwa muuza supu,hapo gari limejaa kama Kawa Sina hata uwezo wa kuhama siti Bado na Hili toto lilipata siti kutokana na yule mama aliyerudisha chenji kushuka sijui alifika au aliamua kusarenda vita ila ndio siti yake akachukua huyu manzi,tumetoka kondoa stendi Ile Bado inajengwa maana ujenzi wa maduka ndio unaendelea tupo huku sijui ni chemba.

Mimi na manzi tushazoeana na story mbili tatu huku nikiuona ushindi baada ya dakika 90,masela mid 40 s wakaanza tena kazi kazi ila hiii ni mbaya than never before, yaani Niseme ni very bad, mi ni mwanaume Sina kinyaa cha ajabu ajabu ila hii niliwavulia kofia halafu kimya kimya ,abiria ni ujumbe tu unatufikia Kwa Kwa wimbi la short wave, hapo dirisha limefunguliwa na kila abiria aliyekaribu na mbali wanatukana kikwao,zikawa zinaendelea kushushwa pistoni,ila nika notisi kitu, kwamba kila ikishushwa kombora manzi anageuka ananitizama halafu anakunja,uso.

Kwenye Tv ya gari wanaonyesha muvi ya komando kipensi ndio nimekaza hapa kumwelezea ya scene ya mbele ili awe interested kuifuatilia,maana anasema hajawahi iona,japo imetafsiriwa na huyu dj afro wa mchongo,ila najichukulia pointi maana ikifika mbele manzi anasema hapa ulinambia,kweli umeiona na pigo kama hizo maana hata kutup a ndoana kama mazingira kama haya nimeona itakuwa mikosi Kwanza nahisi manzi ananihisi ni Mimi.

Dah Hawa masela Mid 40s wameniweka katika hali ngumu sana,na nikimkosa huyu manzi Leo ntawalaumu kinoma, Nimalize Kwa kusema tumefika Dodoma saa nane na dakika kama kumi hivi,masela mid 40s wameshuka na kugeuka siwaoni sijui wameelekea upande upi,japo wamepanda wengine wengi hapo Dodoma ila hali ya hewa sahizi sio mbaya ni safi tu,Hawa jamaa nawaita masela mid40s sababu wanaonekana wameenda age na wanaumri wakama miaka 45 kuendelea ila Bado wanavaa kata k na story zao ni mpira na mademu zao sijui hawajaoa.

Anyway nyie masela kama mnasomaga humu kmmk ntwamaindi sana huyu manzi akinitolea nje,naandika hapa tunaitafuta Mpwapwa manzi Bado hajabadili kiti na kaomba anilalie begani hapa kalala, kungekuwa na kagiza ningesha pima oil,Nasubiri azinduke nimpige sound Leo nikajilie kimasihara,ila nyie masela mid 40s nikimkosa huyu manzi shida ni nyie.

Kwani kuna ulazima gani wa kula kila kitu njiani? Ukichagua kimoja utakufa, wanataka kutuambia hvyo ndio unavyokula nyumba kwao,yaani Toka Arusha hadi Dodoma ndio ule kama mchwa hizo Hela umeibaa?maana nauhakika pamoja na koka walizo shushia ambazo nalo kila gari likisimama ilikuwa lazima wanunue soda Yao hiyo pendwa, kila mmoja alitumia zaidi ya 30k,ukiangalia sio kweli ndio wanakula hvyo makwao wana ni wale uchumi wa akina sisi yaani wa kati ya chini,so ni kipi kinasababisha hili ,Labda na chai walikotoka walibonya.utasema kula muhimu ila niamini Hawa jamaa hawali hivyo makwao.
Nawasilisha.

MREJESHO:
Kifupi tu tuko Iringa Kwa mbele huku nshakula Lita kama mara 2 toto linasema limenielewa any way nasubiri kigiza kiingie nianze makeke kimasihara sihara loading
 
Usirudie kupanda mabasi lower class.
Panda higher class buses kama yapo,mule wapuuzi
kama hao,nauli zinawachuja automatically.
 
We ndio unachafua hali ya hewa na kuwasingizia hao mid 40s, mpaka huyo dada jirani yako ku vomit ni dhahiri ni wewe, kuwa mstaarabu.
 
Back
Top Bottom