upinzani

  1. Vangigula

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani kuna hizi hapa kura za bure msiziache

    Moja ya makundi yaliyojeruhiwa kimaslahi kwa hii miaka 5 iliyopita ni kundi la Wafanyakazi wa Umma. Bila ongezeko la mshahara, ambalo lilikuwepo kisheria, kila mfanyakazi wa umma amejikuta akipoteza maslahi ya kutosha. Kwa mfano binafsi, mwaka 2015 nilikuwa nina annual increment ya shilingi...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani watoe Ilani zao za Uchaguzi yaani “Election Manifesto" acheni porojo hazina Tija

    Ilani ya Uchaguzi au kwa kiingereza huitwa Election Manifesto ni kabrasha litolewalo na chama cha siasa ambalo limesheeni mawazo na sera zote. Mara nyingi chama cha siasa kikishinda uchaguzi huweza kupimwa mafanikio yake kutokana na utekelezwaji wa ilani yake ya uchaguzi. Kwa miaka mitano...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi upinzani ukichukua nchi Vyombo vya Habari na Wasanii wa Tanzania watakimbizia wapi nyuso zao?

    Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana. Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea wa Urais kutoka upinzani kimsingi wanaruhusiwa kutoa ahadi za miradi na misaada mbalimbali nchini, kama anavyofanya Magufuli

    Imekuwa ni kawaida kumsikia Rais Magufuli akitoa ahadi mbalimbali anapokuwa katika ziara nchini. Ahadi hizi ni za misaada na miradi mbalimbali ambayo utekelezaji wake utafanyika baada ya uchaguzi wa 2020. KImsingi, unaweza kujiuliza, iweje Rais Magufuli atoe ahadi hizo wakati hatujui nani...
  5. Sophist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitanzi dhidi ya Wagombea wa Upinzani kimefichwa ndani ya Kanuni za Uchaguzi 2020

    Kwa jicho la uchambuzi hebu angalia kanuni hii: 30.-(1) Subject to the provisions of the Act, the Director of Elections, Registrar of Political Parties, Returning Officer, Attorney General or a candidate for Parliamentary election may lodge an objection of the nomination of any Parliamentary...
  6. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Masasi CCM msipokuwa makini linaenda Upinzani

    Habari zenu wakuu. Jimbo la Masasi ambalo lilikuwa chini ya mbunge Dkt Chuachua! Kwenye kura za maoni Dr chuachua alipigwa chini na mwambe ambaye anaonekana ana ushawishi mkubwa sio kwa wajumbe lakini pia ni kipenzi cha wananchi! Katika uchunguzi wangu nimengundua hili CCM isipokuwa makini...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe maalumu kwa vyama makini vya Upinzani hasa ACTWazalendo na CHADEMA kuelekea Oktoba, 2020

    Mada inahusika. Napenda kuwapa ujumbe huu maalum kwenu mkiona inafaa kuuzingatia kuelekea uchaguzi wa Oktoba, 2020. i. Senario za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na kilichotokea , ziwape mbinu mia moja zaidi mbele kuhakikisha mnakwepa mitego yote ya CCM, NEC, ZEC na mawakala wao ndani na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

    Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio...
  9. peter msuku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni upinzani wa Tanzania kuchukua Nchi Oktoba 2020

    Ndugu zangu mpaka kufikia sasa, bado sioni kama upinzani wa Tanzania uko na energy ya kuweza kuchukua na kuendesha dola Oktoba 2020. Sababu ni nyingi, ukiacha nguvu ya CCM kwa sasa, upinzani huu haujajipanga. Najaribu kuangalia hoja ya ushirikiano iliyoletwa na Maalim Seif kwenye mkutano mkuu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kwanini upinzani utashindwa vibaya na CCM Itashinda kwa kishindo?

    Awali ya yote, napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza ndugu Bernard Camilius Membe na ndugu wakili msomi Tundu Antipas Lissu kwa kuaminiwa na kuteuliwa kupeperusha bendera za vyama vyao katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, 2020. Ni rasmi sasa watachuana...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hesabu zinambeba Membe awe mgombea pekee kwa tiketi ya Upinzani

    Kwenye uchaguzi wa 2020 Ni vigumu kusema CCM itashindwa na chama cha upinzani, lakini Vyama vya upinzani vinaweza kupata viti vingi vya ubunge na udiwani kama watamwachia Mh. Membe awe mgombea pekee kwa niaba ya vyama vya upinzani kuliko wakimsimamisha mgombea mwingine akiwemo mh. Lissu. Baba...
  12. N

    JamiiForums Tanzania 2020 Lazima Nipige Kura Upinzani

    Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu. Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao. Naandika huu uzi...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kuzuia Serikali isinunue Ndege kwawaponza upinzani kupata misaada toka nje

    Mataifa ya nje ukiharibu biashara zao wanakuwekea vikwazo na kukunyima misaada Safari mataifa ya ulaya na Marekani wamegoma kutoa misaada ya Hali na Mali kea vyama vya upinzani Tanzania Baada ya wao kupinga bungeni na nje ya bunge kuwa serikali isinunue Ndege za bombarier na Boeing Sasa hivi...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ili kushinda uchaguzi, upinzani unatakiwa kutumia akili ya ziada

    Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mgumu sana kwa pande zote mbili, CCM na upinzani, kwa CCM ni uchaguzi wa kufa na kupona, CCM itatumia mbinu zote halali na haramu kuhalalisha ushindi, ikiona inaelekea kushindwa kwa njia halali ya sanduku la kura itatumia mbinu mbadala hata kwa kufuta matokeo kama...
  15. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ni mwarobaini wa Upinzani kumng'oa Magufuli

    Chadema kama cha Kikuu cha Upinzania Tanzania kimeiva na kiko tayari kuongoza nchi, Umma kwa asasa unakiamini, na hata wafanyamaamuzi kwa sasa wanakiamini chama hiki. Kisiasa Chama cha siasa katika Uchsguzi hutembea katika madaraja makuu MATANO hadi kufikia kushika madaraka ya nchi (Kushika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kulaumu tujiulize Je, wabunge wa upinzani wanatekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM?

    Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM? Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo? Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo. Nawatakia Eid Mubarak...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

    Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja. Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni". Kwa kuwa...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aja na sheria mpya za mitandao kuelekea uchaguzi mkuu, wengi zitawafunga hasa upinzani na wenye mlengo tofauti na Serikali

  19. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais, tuombe sheria ya kodi ibadilishwe, majimbo yote ya upinzani Serikali ya CCM isikusanye kodi hata senti huko

    Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
Back
Top Bottom