upinzani

  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA ili iwe na nguvu kwenye kampeni imsimashe Mbowe

    Habar wadau Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya midahalo nimeweza kuangalia baadhi ya mikutano ya Mbowe na Tundu Lissu na kubaini ubora wa wote wawili kwenye majukwaa Kwanini nasema CHADEMA wamsimamishe Mbowe kwenye uchaguzi ujao kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni kwa sababu Mbowe...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani acheni agenda ya Urais: Jitahidini kupata viti vingi vya wabunge. Wingi wa wabunge bungeni, wewe ni "RAIS", maamuzi ya ndiooooooooo yatakoma

    Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita! Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana...
  3. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Wapinzani naona vijana wa Lumumba wanawaonea huruma sana kwa ajili ya Membe!

    Pale inapotokea adui anapokwambia kwenye mzinga uliojaa asali kuwa hakuna NYUKI, wewe ingiza tu.. . Usimsikilize hakutakii mema. .. Asijikute anakushauri... Mwanzo walimsema sana Mbowe mbona haachii UENYEKITI. .. Kiasi kwamba hadi wanachadema wakakaa chemba kufikiria "eti kweli mbona...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Upinzani- Membe asiingizwe kwenye mikakati yenu

    Naomba mods msiuunganishe huu uzi! Huu ni ushauri wangu kwa vyama vya upinzani! Mmesikia Membe amejitoa CCM, Huu ni mkakati wa chama Tawale kuhakikisha, 1. kwanza kupunguza kura zenu. Hii ni pale Act na Chadema wasipoungana 2. kuhakikisha CCM wanakuwa na taarifa zote za mipango na mikakati...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Angalizo: Membe ni hatari kwa upinzani kuliko alivyokuwa Lowassa

    Asiyesikia la mkuu huvunjika guu na asiyeweza kujifunza kutokana na makosa yaliyopita mathalan hawezi kujifunza lolote huko mbeleni. Misemo hii si ya kuipuuzia hasa katika mwenendo wetu wa siasa wa awamu hii. Nimemsikia Zitto akimsafisha Membe na kumtofautisha na Lowassa na kuwahakikishia...
  6. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Kambi ya Upinzani

    Kambi ya upinzani ni nguzo muhimu sana kwenye bunge na kweny siasa za nchi kwa jumla. Sina uhakika kama CCM itaondolewa madarakani mwaka huu, ila ningependa kambi ya upinzani bungeni iimarike zaidi. Sasa ili kuiimarisha ni muhimu wagombea wa upinzania wateuliwa kwa makini sana ili wawe ni watu...
  7. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Confidence stratergies kwa wanawake wanaotaka kugombea ubunge/urais kwa vyama vya upinzani

    Hello JF, i guess awamu hii tumeshuhudia wanasiasa wengi wakihamia CCM, Hii ime create atmosphere fulani ya confusion,.. i mean.. Kwa wanasiasa wa upinzani,..... wa zamani kutokujua hatma yao, na wanasiasa wapya, kuwa na uoga wa ku contest against CCM, Sasa nimeandika hii topic...
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Faida zitatazotokana na upinzani kumweka Tundu Lissu au Bernard Membe kugombea Urais

    Hata kama hakutatokea Vyama vya Upinzani vikashinda lakini kutakuwa na faida kubwa sana kati ya hawa wawili wakipewa kipaumbele cha kugombea Urais hapa nchini. Kwangu mimi wote wakigombea ni sawa au hata mmoja kati ya hao ni sawa. Ukiacha hao hata Zitto Kabwe pia inagwa sijamtaja ila ana uwezo...
  9. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani kumsimamisha Membe: Kosa kubwa, usaliti na dhambi isiyosameheka

    Benard Membe ameweka wazi kuwa ikiwa vyama vya upinzani vitaungana na kumkubalia agombee ,basi yuko tayari kupeperusha bendera. Hili litakua kosa kubwa, usaliti wa hali ya juu na dhambi isiyo sameheka kwa sababu zifuatazo. 1. Kama ilivyokuwa kwa Lowasa, Benard Membe atakua amejiunga na...
  10. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna dalili zote kuwa endapo kutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi, umoja wa Upinzani unaweza kuchukua nchi Oktoba 2020

    Wote ambao mmekuwa mkifutilia rallies za vyama vya upinzani (hapa "upinzani" strictly ninamaanisha ACT & Chadema) hapana shaka mtaafikiana nami kuwa mwamko wa wananchi ku support kambi hii ni mkubwa sana pamoja na uwepo wa vitisho kutoka vyombo vya dola. Imagine kusingekuwa na ukandamizaji huo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vina Wabunge wasomi wa kuunda baraza la Mawaziri?

    Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua. Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake. Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Zitto: Membe karibu upinzani

    Na Mwandishi Wetu, Kilwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa Benard Membe kujiunga na upinzani rasmi hapa nchini. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa, Zitto alisema mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa mbunge na waziri wa wizara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni vyama vya Upinzani tu kushinda?

    Kuna wakati wakati kampeni za haki sawa kati ya Mwanamme na Mwanamke zilipoanza, wanawake wengi walizichukua katika muktadha tofauti kabisa na kile kilicholengwa. Walidhani kuwa huo ndo ulikuwa muda muafaka wa kufanya kila kitu ambacho wanaume walikuwa wakifanya hata kama kilikuwa kibaya. Kama...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chonde chonde upinzani, uchaguzi huu msiazime wagombea

    Mwaka 2015 Chadema iliazima mgombea kutoka chama tawala ikitarajia kushinda kwa kishindo, matokeo yake wote tunayafahamu waliangukia pua. Baadaye mgombea huyo aliwatelekeza na kurudi nyumbani kwake, wakashindwa kumchafua kama wanavyofanya kwa watu wengine wanaokihama chama hicho kwa sababu...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Malawi: Kiongozi wa upinzani, Lazarus Chakwera ashinda Uchaguzi

    Maelezo ya picha Mwanga wa siasa ya Lazarus Chakwera ulifufuliwa baada ya mahakama kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera ameshinda duru ya pili ya uchguzi wa urais, maafisa wanasema. Alimshinda rain aliyekuwa rais wa nchi hiyo...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...
  18. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, pongezi zetu Watanzania kupitia kwa Mwakilishi Wetu Mmoja Kikatiba kwa Ushindi wa Kiongozi wa Upinzani nchini Malawi Chikwera utatoka Moyoni?

    Kuna Mtu Mmoja kama namuona vile na jinsi alivyo na tabia ya Hasira ( Jazba ) atakavyompongeza Mshindi wa Malawi huku akiwa amenuna balaa.
  19. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Tuna uhakika juu ya jambo moja kuhusu kukamatwa kwa viongozi wa Upinzani mara kwa mara. Huenda mabadiliko chanya yako karibu

    Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kukamatwa kwa viongozi wa upinzani kwa kipindi kirefu kidogo. Ijapokuwa kuna mazingira tofauti tofauti yanayotawala matukio hayo, angalau sasa tuna uhakika wa jambo moja muhimu. Utaratibu wa kuwakamata viongozi hao unaonekana kutokuwa na faida kwa CCM, hauna...
  20. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Kenya KANU ndiyo ipo madarakani, Upinzani Afrika bado sana

    Great thinkers, Nadhani kila mmoja sasa anaelewa kwamba Vyama vya Upinzani havifai kabisa kupewa kuongoza nchi. Kenya mwanzo wakachagua wapinzani, baadaye wapinzani wakagombea madaraka mpaka kuuana, wakaamua kumchagua Uhuru Kenyata kwa kusema “turudi nyumbani kumenoga”. Kwa hilo somo...
Back
Top Bottom