Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani?
Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?
Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi...
Sasa hivi ili uwe mwana CCM wa kweli na mzalendo basi ni lazima ukitetee chama chako cha CCM dhidi ya Wapinzani na kuwapinga katika hoja zao.
Jambo hili linafanya wapinzani wahangaike katika kukosoa mambo ya maendeleo kweli wakati huo chama tawala wanahangaika katika kusifia tu na kuwajibu...
Inafahamika kuwa nchi yetu imekuwa chini ya CCM tangu ipate Uhuru takilibani miaka 60 Sasa. Hivyo Kama Kuna mabaya au mazuri pongezi au lawama zozote Ni kwa CCM na sio kwa kiongozi wa awamu fulani.
Kama wapinzani watajikita kumlaumu kiongozi badala ya CCM kwa ujumla wake tangu Uhuru hadi Leo...
Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani.
Kuna nijadala inaendelea kuwa hao watakaokosa na huku wameongoza upinzani wameshajiwekea mazingira mazuri ya kuhamia upinzani na...
Kutokana na figisu figisu na yanayoendelea na yanayotegemewa kutokea kuhusu wapinzani kunyimwa airtime kwa maagizo toka juu ili wananchi wasipate kusikia sera za upinzani baada ya wao kutamba miaka 5 pekee yao wakiongelea vitu vilivozoeleka kwa wananchi huku wakiwa hawana kipya cha kuwaeleza...
Kinafanywa na Wananchi kwa sasa hasa vijana ni ishara mbaya kwa Chama cha Mapinduzi. Labda CCM haijafanya tafiti kujua wananchi wanataka nini au wanajua ila hawataki kutimiza. Kwa nguvu aliyotumia Rais na timu yake awamu ya tano na namna wale aliodhani wanamfurahisha wanavyofanya mitahani ni...
Tulishasema hapa idadi ya wabunge sio upinzani. Upinzani ni fikra. Ubunge na udiwani unaweza kuiba kura hata kulazimisha. Kitu ambacho huwezi kulazimisha ni upendo. Kama mtu anampenda mtu mwingine huwezi kualazimisha akupende wewe au kwasababu umemfanyia kitu fulani ni lazima akupende leo...
Nawasalimu wana JF, Poleni na Majukumu.
Baada ya salamu naomba niwasilishe uchambuzi wangu mfupi kwenu juu ya vuguvugu la siasa linaloendelea kwa sasa wakati tunapoelekea Oktoba 28, Nitagusia siasa za upinzani, Kupitia andiko hili lazima nikiri kuwa Upinzani ni kichocheo cha maendeleo hapa...
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Wasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na...
CCM jiandaemi kuwa Chama cha Upinzani, muone raha ya kugaiwa ruzuku na Serikali iliyo madarakani.
Kwa kuheshimu katiba ya nchi sidhani kama mtazuiliwa kufanya siasa lakini mjiandae vyombo vya dola kuwaona kama raia wa kawaida.
Msione ajabu nusu ya wasanii kuunga mkono upinzani kwani hatimae...
Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao.
Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri...
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu.
Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
Hili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe.
Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile, wameteswa , wamepotezwa, wamepigwa risasi...
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara.
Hivyo basi uwezekano wa CHADEMA kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51...
Si siri humu Jamvini kuwa mimi ni kada mwandamizi wa CCM. Nimekuwa ndani ya CCM kwa zaidi ya miaka arobaini. Nimeshuhudia chaguzi nyingi za nchi hii kuanzia zile za chama kimoja na hata za vyama vingi. Nimejionea wagombea na nimesikia sera zao kwa miongo kadhaa. Kuna chaguzi zilikuwa na wagombea...
Tuseme ukweli tu,hii nchi bado makusanyo ya mapato yako chini sana japo, serikali inajitahidi kuyaongeza.
Ifike mahali Bunge litimize majukumu yake katika kuishauri Serikali itakayokuwepo madarakani 2020 na pia wananchi wayajue majuku yao katika kuchangia maendeleo na pia katika kuongeza pato...
Leo nilibahatika kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.
1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania...
Nimefuatilia kwa makini mikutano yote ya Halmashauri Kuu na Mikutano Mikuu ya vyama vya upinzani particularly CHADEMA na ACT-Wazalendo nikapata funzo kubwa, kuwa za kuambiwa nichanganye na zangu kwa sababu hawa jamaa wanamkubali sana Rais Magufuli katika mambo mengi ila tu hawataki kusema kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.