upinzani

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali na CCM wanapanda mbegu ya visasi na vita ya wenyewe kwa wenyewe, uchukuaji na urejeshaji wa fomu umekuwa vita?

    Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI? Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo. Kinachoendelea sasa nchini katika zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu imekuwa vita hasa kwa upinzani na...
  2. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri za kukwepa kuibiwa au kuporwa fomu za uteuzi kwa wagombea wa CHADEMA

    Pigeni photocopy hizo fomu kisha mzijaze na mzihifadhi kwenye bahasha zinazofanania na zile za NEC then siku ya kurudisha fomu mnabeba mkononi fomu feki huku form Halisi mkiwa mmeificha sehemu salama mfano inaweza kuwa hata ndani ya shati, ikitokea mtu kavamia na kupora form basi mtakuwa...
  3. fenestra rotunda

    JamiiForums Tanzania Upinzani mmepewa mbinu nyingine ya ushindi, akili kichwani

    Kwa yanayoendelea mpaka sasa sijajua ni kwa jinsi gani upinzani umejiandaa kulinda kura zao kuanzia level ya vituo vya kupigia kura ambavyo viko 88k+ nchi nzima. Ila hilo halinifanyi niache kuwashauri hata kama tayari wanazo mbinu Mbadala. Kwa harakaharaka utagundua kuna mchezo unapangwa na...
  4. 2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbezi beach Vs Mtoni Kijichi | Chagua CCM upate maendeleo chagua upinzani uendelee kusota

    Hii kila mtu kichwani mwake kila mmoja na maamuzi yake kwenye box MBEZI BEACH Ila ni kwamba Mbezi beach,Tegeta maeneo ya Kawe yalionekana ya hadhi sana ukiangalia mpangilio na geografia ya maeneo hayo yamepangwa vizuri na hata ujenzi wa nyumba zake kidogo ni za hadhi ya juu. Katika pita pita...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

    Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Adabu zimeshikwa; CCM waliahidi, wametenda

    CCM ipo sana kwenye hatamu za uongozi wa Tanzania. Kila baada ya muda flani, CCM hujutafakari na kujiunda upya. Hii ni sifa muhimu sana kwa chama cha siasa. Mnayoyaona yanatokea leo, hayatokei kwa bahati mbaya, ni mipango Mahususi kutoka kwa mabingwa wa siasa. Tuliahidi kushikisha watu adabu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini hotuba za Wanasiasa wa Tanzania (wa Upinzani na Chama Tawala) ni za kiwango cha chini mno? Nimewawekea mifano ili wajiongeze

    Hivi tatizo ni nini? Hatuna waandishi wazuri wa hotuba? Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo? Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uteuzi wa Wagombea Ubunge CCM ni tishio na funzo kubwa kwa Upinzani

    Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Uteuzi huo unaweza kutazamwa kwa sura mbili, yaani sura ya kwanza kuwa ni tishio na ile pili...
  9. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

    Alexei Navalny ambaye amekuwa mstari wa mbele wa kuipinga Serikali ya Urusi inayoongozwa na Vladimir Putin ameripotiwa kupewa sumu na kukimbizwa Hospitali akiwa hajitambui. Inaelezwa kuwa Alexei ambaye amejipambanua kama mwanaharakati wa kupinga rushwa amewekewa sumu hiyo kwenye chai yake...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vyama vya upinzani nchini Tanzania subirini dawa aliyonayo Kiiza Besigye katika kumtoa Rais Museveni, ili nanyi pia muiige na mumtoe Rais Magufuli

    Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki. ITV Tanzania Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
  11. Chief Ortambo Ikumenye

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikiwa Dkt. Magufuli atafanikiwa kushinda, aachane na agenda za kuminya Upinzani

    Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania. Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani. Wapinzani waachwe na kuishi maisha yao na ku play...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni ukomavu wa kisiasa m-CCM kuwatia shime upinzani

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Inavutia Colin Powell a staunch republican 'kum' endorse Joe Biden a staunch Democrat kwenye uchaguzi ujao: Colin Powell: 'Biden will be a president we will all be proud to salute' Jamani eeh upinzani si ugomvi. Hata huko CCM kutoa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani Umekufa? Upinzani Umebaki mtandaoni, hali halisi ni ipi?

    Hili i swali na madai kwa baadhi ya watu wakudai kuwa upinzani umekufa , Umebaki Mtandaoni , mbona mapokezi ya Lissu yanaonyesha hali tofauti.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani nao watumia vitisho

    Ukisiliza Hotuba za viongozi wa Upinzani, utaona wanalalamika sana kuwa wanaishi maisha ya vitusho kutoka serekalini na vyombo vyake. La kushangaza hao hao Upinzani ndio Vinara wa kutumia Vitisho kwa Utawala na wananchi, Naona wamechukua ukurasa kutoka siasa za Republicans wa USA, Build FEAR in...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

    Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020. UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka. Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli. Lissu CHUMA...
  16. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

    MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anapohubiri amani wakati Jimboni kwake Wagombea wa Upinzani wakifanyiwa vitendo vya kinyama

    Leo nimemsikiliza waziri mkuu ndugu Majaliwa akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kuisifu serikali. Waziri Mkuu ameutangazia umma wa Watanzania kuwa serikali italinda Amani wakati wote hata kipindi cha uchaguzi mkuu, na akataka siasa za kistaarabu. Wakati akiyasema hayo, viongozi wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Ila upinzani mnazingua, hebu angalia hii video

    Marehemu Ruge alipata kusema "Ogopa Mungu na teknolojia"
  19. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Ili mamlaka iwe na uhalali wa kuwakemea wanasiasa wa upinzani wasitumie lugha zinazoitwa za "kashfa", ifanye haya kwanza..

    Hii kitu inaitwa trade-off. Ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa kauli nyingi anazotoa Tundu Lissu kila anapopata hadhira, they are retaliatory in nature - yaani ni huwa anajibu mabaya yaliyosemwa juu yake au yaliyotendwa dhidi yake. Nimuoanavyo Tundu Lissu ni mwanasiana mwenye akili nyingi...
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wangu kwa vijana na wazee wetu, tuchagueni upinzani tuone watafanya nini

    Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM imetuongoza kwa awamu tatu tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa, tumeona madhaifu yao, tumeona mazuri...
Back
Top Bottom