upinzani

  1. King JiluX

    JamiiForums Tanzania Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nakubaliana na Rais Magufuli kwamba Wagombea Urais kupitia Vyama vya Upinzani wamuunge mkono ili kuokoa fedha za walipakodi

    Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi. Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hashim Rungwe Spunda atia nia ya kugombea Urais, asema Sera yake ya kuimarisha lishe bora kwa Watanzania ipo pale pale

    Hashim Rungwe Spunda ametia nia kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba kwa tiketi ya CHAUMA Amesema, "Sera yangu ya kuimarisha lishe kwa watanzania bado iko palepale. Nitahakikisha Mtanzania anakuwa na uwezo wa kula kuku mzima na wanafunzi wale ubwabwa mara kwa...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

    Wanaukumbi. Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli. Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge...
  5. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  6. Zambavuni

    JamiiForums Tanzania Upinzani acha kutuwekea usiku

    Kubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo. Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi. Msionyeshe uwepo wenu...
  7. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania CCM msiudharau upinzani mwaka huu, huenda mkapoteza majimbo mengi zaidi

    Wasalaam, hii Ni alert kuwakumbusha CCM MWAKA HUU NI MGUMU SANA KWA CCM KULIKO CHAGUZI ZA MIAKA YA NYUMA KWAMBA, Kuna tofauti kubwa ya wanachama wa ccm na wananchi wapiga kura, ccm sehemu kubwa inashabikiwa na wanachama wa ccm walioko sehemu mbalimbali, ila wananchi wapiga kura wako zao kimya...
  8. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Upinzani muwe mnakusanya ushahidi wa CCM kukiuka sheria/maadili ya vyama vya siasa na wasilisheni kwenye mamlaka husika proactively kila yatokeapo

    Zitto John Mnyika CHADEMA ACT Wazalendo You guys know what I mean am sure, but we are here to swing the whip so that you stay up and walk the talk. Haijalishi mamlaka husika itayafanyia kazi mawasilisho yenu ama la. Just bloody do it! Na msiwe reactive - yaani msisubiri hadi ninyi mpigwe...
  9. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania CCM kuweni makini kwenye uteuzi, mkiharibu watia nia ni wengi watatawanyikia upinzani kutia nia

    Kiukweli watia nia ni wengi sana kupitia Chama cha Mapinduzi hivyo mnatakiwa kuwa makini sana kwenye kuwapitisha wagombea wenu kukiwakilisha chama, la sivyo mkichaguana kwa upendeleo na huku mkifurahia kwa watia nia walio wengi kupitia chama chenu na ni hao hao watawahama na kwenda kutia nia...
  10. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Dalili zinaonyesha hakuna msaliti wa upinzani atakayepenya kwenye kura za maoni ndani ya CCM

    Kuna kila dalili kuwa hakuna mwanasiasa kutoka upinzani ambaye alihamia CCM ili kuunga mkono juhudi (maarufu kama wasaliti) mwenye nafasi ya kupenya katika kinyang'anyiro kinachoendelea sasa cha kura za maoni ndani ya CCM kwenye ngazi yoyote ile, iwe ubunge, udiwani au viti maalum. Wasaliti wote...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za Lowassa, Sumaye na Membe - upinzani

    Ninaandika uzi huu kuangazia siasa za Tanzania kuwazungukia wazee hawa: Lowassa, Sumaye na Membe. Ni wazi kuwa panapokuwa na ukweli, uchungu huwa ni sehemu ya maisha. Kwamba ujio wa Lowassa au Sumaye ulikuwa ni mkakati wa CCM kuuwa upinzani? Thubutu! Si mdadisi makini tokea CCM wala upinzani...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

    Rais Magufuli akijibu swali la Sojo, MNEC kutoka Songwe aliyesema kwamba ametumwa na wanasongwe kuwasemea kuwa wanasononeka pale ambapo wapinzani wanapohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kuwaacha wanachama ambao walikipigania chama kufa na kupona 2010-2015, wanavunjika moyo wanapoona...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Haya yalisababisha nikaichukia CCM lakini upinzani umeniangusha

    Nakumbuka nilianza kupiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1990, nikiri pia mwaka huo nilikuwa sijafikisha umri halisi wa kupiga kura lakini mwalimu mkuu wa shule niliyokuwa nikisoma alituandikisha wanafunzi wote tuliokuwa darasa la saba ili tupige kura kumsaidia aliyekuwa mgombea ubunge wilaya ya...
  14. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hayati Mwl. Nyerere: Upinzani wa kweli utatoka CCM

    Wasalaam, kwa jinsi siasa za Tanzania zilipo hivi ni dhahiri maneno ya baba wa taifa yatamia. Tunakumbuka mwaka 2015 Mh lowassa aliitisa CCM na kusababisha wapinzani kupata idadi kubwa ya wabunge tangu kuanzishwa vyama vingi 1992. Kwa jinsi upepo wa kisiasa ulivyo 2020 ni wazi Mh Membe...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM tukumbushane majimbo yaliyotopea kwa umaskini baada ya kuongozwa na upinzani ili tuyakomboe tukianza na Rombo

    Ikumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita. Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo. Mimi naanza na jimbo la...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 UDP yawahurumia CHADEMA kwa kujiita wapinzani, yawaomba CCM wawaachie walau majimbo mawili

    Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure. Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

    Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on...
  18. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu sio wakati wa upinzani kulialia mnaonewa, wananchi wanahitaji kuhakikishiwa jinsi gani upinzani utakavyolinda kura zao zisiibiwe Octoba 2020

    Maji ukiyavulia ngua sharti uyaoge. Huu sio wakati wa upinzani kulialia eti mnaonewa, mnazuiwakufanya mikutano hata ya ndani, eti hakuna demokrasia!! Huu ni wakati wa mapambano sio kulialia. Salamu ziwafikie Zitto K, Mbowe, Lema, Sugu, Heche na Mdee kutaja kwa uchache. Wananchi wanaosapoti...
  19. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania GE2020 TLP kuwa chama kikuu cha Upinzani maana yake nini? Je, ni mifumo ya nchi haitaki Upinzani wa kukosoa na kuamua kutengeneza upinzani wa kuchonga?

    WanaJF salaam, Nimekuwa kimya kidogo kuwapatia ABC za 2020; hii ni kutokana na majukumu mengi ya Kitaifa. Najua mnajua kinachoendelea nchini hasa kwa upande wa Upinzani serious ambao ni Chadema na ACT-Wazalendo. Ukweli ni kwamba dola halifurahishwi na namna Upinzani Tanzania unavyoendeshwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 3: Lazaro Nyalandu achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, asema watahakikisha mechi wanaipeleka sawasawa

    Lazaro Nyalandu yuko live Clouds tv akiweka wazi mipango yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT. Maendeleo hayana vyama! ======= Nyalandu: Mbowe ni mtu ambae amestahimili, amepambana na amekuwa muaminifu kwa chama hiki. Amekuwa ni kiongozi ambae ni mfano wa kuigwa na historia itamkumbuka...
Back
Top Bottom