Upinzani muwe mnakusanya ushahidi wa CCM kukiuka sheria/maadili ya vyama vya siasa na wasilisheni kwenye mamlaka husika proactively kila yatokeapo

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Zitto John Mnyika CHADEMA ACT Wazalendo

You guys know what I mean am sure, but we are here to swing the whip so that you stay up and walk the talk.

Haijalishi mamlaka husika itayafanyia kazi mawasilisho yenu ama la.

Just bloody do it!

Na msiwe reactive - yaani msisubiri hadi ninyi mpigwe mkwara na mamlaka husika wa kuchukuliwa hatua za vijimakosa uchwara eti ndipo nanyi mu react. A big NO. Be proactive - mnajitajika muwe mnawasilisha madhambi ya CCM kwenye mamlaka husika immediately or live as they happen.

Tumekuwa tukishuhudia kupitia platforms zake mbalimbali CCM ikifanya ukiukwaji wa wazi kabisa wa sheria na maadili ya vyama vya siasa.
Reaction kutoka upinzani? Ni msururu wa matamko tu badala ya kuwepo na utaratibu stahiki wa kimawasiliano ambao utawezesha kuwepo kwa reference (inference) huko baadae zitakazopelekea appropriate legal processes to be triggered. Kukiwa na this type of communication protocol, sidhani kama mamlaka zitakuwa hata na ubavu (guts) wa kuvipiga mkwara vyama vya upinzani kwa lesser offenses.

Hot on our heels ni hili suala linalo trend sasa hivi kuhusu mkwara wa msajiri wa vyama kwa ACT. Je, upinzani una records zozote dhidi ya CCM zilizowahi kuwasilishwa kwa msajiri huko siku za nyuma ambazo ACT inaweza kuzitumia kama reference katika response yao?

Maudhui ya uzi wangu yapo kwenye hiyo paragraph ya pili kutoka mwisho.
Over to you!
 
Huyu msajili wa vyama vya siasa ni suala la vyama vya upinzani kutomtambua na watamke wazi hadharani kwamba hili pandikizi la sisiem hawalitambui.

Ndipo wakusanye ushahidi wa ukiukwaji wa sheria za uchaguzi zinazo fanywa na hiki kirus/ virus inayijiita msajili kwa ajili ya ubaadae.
 
Huyu msajili wa vyama vya siasa ni suala la vyama vya upinzani kutomtambua na watamke wazi hadharani kwamba hili pandikizi la sisiem hawalitambui.
Ndipo wakusanye ushahidi wa ukiukwaji wa sheria za uchaguzi zinazo fanywa na hiki kirus/ virus inayijiita msajili kwa ajili ya ubaadae.
kikubwa ni ku document mawasiliano ili kujilinda dhidi ya victimization.
 
Back
Top Bottom