Upinzani nao watumia vitisho

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,750
4,958
Ukisiliza Hotuba za viongozi wa Upinzani, utaona wanalalamika sana kuwa wanaishi maisha ya vitusho kutoka serekalini na vyombo vyake. La kushangaza hao hao Upinzani ndio Vinara wa kutumia Vitisho kwa Utawala na wananchi, Naona wamechukua ukurasa kutoka siasa za Republicans wa USA, Build FEAR in the public, ili uchaguliwe.

K.M:
1. LISSU: Hotuba zake zote ni kuhubiri alivyo dhulumiwa afya yake, anayo haki ya kulizungumzia, lakini sio iwe nyimbo ya kila leo. Anatumia vitisho kuhamasisha wanachama wa CDM, na wafuasi wake , wawe Jeuri na wafanye fujo. Alipokuwa Mbeya na Iringa LISSU anatuambia eti kuwa kuna macho ya watu wa Njee yana wamulikia kuanzia Raisi hadi wasimamizi wa Uchaguzi, Huo ni uongo wa hali ya Juu, na hata kama wako, mbona hawakufanya lolote Kenya, Gambia, Gabon, Uganda, Rwanda.

Mimi kama mpendwa ukweli, sio jambo la kufichika kuwa Lissu amepata mapokezi mazuri sana kwa huruma za watanzania, na ameweza kuwarudishia imani wanachama wa Chadema ambao, walishapoteza uaminifu na chama chao, na ambao hawakuridhishwa na yanayoendelea, hata sisi wana CCM tupendao siasa nzuri za umoja, maendeleo na upendano, Lissu ametusaidia kuwaAmsha viongozi wetu na kuhakikisha watu safi na wenye weledi wanarudishwa katika uongozi chamani.

2. ZITTO: Katika speech yake ya Jana, anazungumzia suala la Vyama kuungana , na ametumia MISHALE kama example ya silaha ya ACT ya kwenda Vitani dhidi ya CCM, utaona hii speech ni ile itwayo HATE SPEECH.

3. MAALIM: Huyu Mzee mwenye mila za Kifalme, yeye uongozi wa chama chake ni yeye au hakuna chama, Mgombea Uraisi ni yeye ama hakuna kugombea. Yeye hotuba zake ni hizo hizo za kutumia mabavu, chuki na kebehi.

Upinzani Unasema Uchaguzi huu washindi ni wao tuu, Kabla ya Uchaguzi kufanywa na Baada ya Kufanywa, Sasa hapo kuna Ushindani gani, Iwapo wanawatayarisha watu kuwa iwapo watashindwa , basi kura zimeibiwa, na kama wao hawakutangazwa washindi basi watu lazima waingie barabarani, wabomoe maduka ya watu na kuiba mali zao, kufanya fujo mitaa isitawalike. sasa Huo Kama sio uchochezi ni nini.
 
Watanzania wachache waweza sikiliza kitisho Cha mtu Kama Lisu na kukiohopa

Masai,mangati,wanyakyusa, wasukuma,wahehe.watu wa Mara,wameru, wachaga,waarusha.waha,watu wa sumbawanga,wamakonde,wamakua,wangoni,na wabena na wakinga na watu wa Tanga,pwani na Morogpro sio watu wa kuomba Kura ukitoa vitisho wanapenda uwaombe chochote kwa unyenyekevu sio kwa staili ile ya kufoka ya vitisho ya Tundu Lisu

Usipowaomba kwa unyenyekevu wanakuhesabu unawadharau
 
Mkuu, usiogope mbwa kubweka Mbele ya Simba!! Mbona analika kilaini tu! Umesahau vipi amshaamsha ya Ccm?

Muda sio mrefu kuna mtu atapotezwa balaa na pengine ataanza Kuota ndoto za Jigilibeu!!
 
Eti anase
Ukisiliza Hotuba za viongozi wa Upinzani, utaona wanalalamika sana kuwa wanaishi maisha ya vitusho kutoka serekalini na vyombo vyake. La kushangaza hao hao Upinzani ndio Vinara wa kutumia Vitisho kwa Utawala na wananchi, Naona wamechukua ukurasa kutoka siasa za Republicans wa USA, Build FEAR in the public, ili uchaguliwe...
Eti anatishwa kwenye WhatsApp si amremove tu huyo anaemtisha,
 
Ukisiliza Hotuba za viongozi wa Upinzani, utaona wanalalamika sana kuwa wanaishi maisha ya vitusho kutoka serekalini na vyombo vyake. La kushangaza hao hao Upinzani ndio Vinara wa kutumia Vitisho kwa Utawala na wananchi, Naona wamechukua ukurasa kutoka siasa za Republicans wa USA, Build FEAR in the public, ili uchaguliwe...
Utopolo huu walishe mazwazwa wa Lumumba
 
Ukisiliza Hotuba za viongozi wa Upinzani, utaona wanalalamika sana kuwa wanaishi maisha ya vitusho kutoka serekalini na vyombo vyake. La kushangaza hao hao Upinzani ndio Vinara wa kutumia Vitisho kwa Utawala na wananchi, Naona wamechukua ukurasa kutoka siasa za Republicans wa USA, Build FEAR in the public, ili uchaguliwe...
Sasa basi
 
CCM hamtaa mini kitakachotokea mwaka huu, ujaunja ujanja Sasa baasi
Hakuna lolote wala nini hii ni tz bhana, waulize wale walioiga vitabia vya nchi nyingine kule pemba walivyo tokomea hiko kenya kisha mamjo yaka tulia
Sasa wewe uje ulete huo ujinga, uone
Na huyo Tundu siku ya uchaguzi ukiisha lazima atulizwe sehemu asubiki kushindqa ili kama analeta choko awahishwe selo asikimbie nchi.
 
jiwe litang'oka tu mwaka huu, tume ikimtangaza kwa figisu lissu anao uwezo wa kuhamasisha watu kuyakataa matokeo na kuandamana mpaka jeshi kuingilia kati kumkamata jiwe.
HATAIPATA HIYO NAFASI YA KUHAMASISHA KAMWE. BAADA YA MATOKEO ITABIDI TU ARUDI UBELIGIJI KWA AIBU
 
Ivi ww uliepoxi hu uxenge umeixhia daraxa la kwanza au lapili?.mtu kutetea uhai wake unaona nikoxa duh hatakam umejitoa ufaham xio kwa xtaili hiyo
 
Back
Top Bottom