Uchaguzi 2020 Upinzani bado wana mentality ya kujaza umati ndiyo kukubalika

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,806
12,221
Wasalaam,

The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.

CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.

Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.

From Tallying Centre

E4D1A2CE-1E13-402A-841E-C7D8711DCC5D.jpeg
E4D1A2CE-1E13-402A-841E-C7D8711DCC5D.jpeg
 
Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa CCM kama huu!

Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!

Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.

Achana na wanaopiga kelele humu JF!
 
Hawa wahuni na mabwana zao Watapata cardiac arrest siku ya kuhesabia na kusikiliza matokeo ya kura!
 
Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!

Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!

Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.

Achana na haya mazombie yanayopiga kelele humu JF!
Kuishinda ccm labda uipambanishe na ANC hapo ndiyo kutakuwa na mtifuano wa kufa mtu.Lakini hawa wapinzani wa bongo wanaoangalia mafuriko mhhhhhhhhh
 
Siku hizi hatuoni zile swaga kwamba CDM imekufa !Sijui nini kimewapata hahahaaa! Katika toka 2015 hakuna kipindi ambacho nimekuwa na furaha kama kipindi hiki!Mpaka kampeni ziishe nitakuwa nimenenepa!
Unafurahia ujinga mkuu! Kama ule wa 2015.
Mizuka na mihemuko ndio inakufanga ufurahi,

Subiri oktoba utaumia vibaya sana
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom