upinzani

  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Alikosea kwa kuamini kuwa angeweza kuumaliza upinzani kwa kutumia Vyombo vya Dola badala ya kutumia nguvu ya hoja

    Rais Magufuli alianza kutekeleza azma yake hiyo kwa kutangaza hadharani kule Singida, katika sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa chama chake cha CCM, hapo Februari 5, mwaka 2016, kuwa ndani ya utawala wake, atahakikisha vyama vya upinzani vinakufa ifikapo mwaka huu wa 2020! Utekelezaji wa azma...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu ya Vyama vya Upinzani kutomuunga mkono Lissu, CHADEMA walivunja makubaliano ya kugawana Ruzuku kuvipa Vyama vyote vya UKAWA

    2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu. Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa...
  3. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Upinzani Mali kukataa Serikali ya mpito inayoungwa mkono na Jeshi

    Vuguvugu maarufu la upinzani wa Mali limekataa mkataba wa serikali ya mpito inayoungwa mkono na maafisa wa jeshi walio muondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mapinduzi ya kijeshi. Serikali ya kijeshi iliunga mkono mkataba wa serikali ya mpito ya miezi 18 iliyo afikiwa Jumamosi...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuwaengua baadhi ya wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha kumewaongezea umaarufu maradufu wagombea hao

    Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha, kutakuwa kumewaongezea umaarufu mkubwa hao wagombea wa upinzani Ni lazima hivi sasa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inawezekana kuwa asilimia 50 ya wabunge wa mkoa wa Mara watatoka upinzani

    Jinsi kampeni zinavyoendelea mpaka sasa ninaamini kuwa asilimia 50 ya Wabunge wote wanaotoka Mkoa wa Mara watatoka upinzani. Nianze na Tarime Mjini, Rorya, Bunda Mjini na Tarime vijijini hali siyo shwari kwa CCM. Tujiulize hapa ni nani wa kulaumiwa?. Mimi ninatoa lawama kwa uongozi wa Wilaya na...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakurugenzi waliowaondoa Wagombea wa Upinzani kwa maelekezo ya CCM wafutwe kazi, wana ajenda yao wakiachwa wataleta machafuko

    Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa. Hawaaminiki tena na wala hata wao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu za kushindwa upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri shahiri kwamba kutokana na mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 zinazoendelea Upinzani unakwenda kuendeleza kushindwa vibaya kwa mara nyingine. Sababu za kushindwa vibaya uchaguzi huu katika ngazi zote (Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani) ni nyingi ila mimi nitagusia chache...
  8. Makala josee

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa Chama cha CUF, Prof Lipumba atema madini kupitia kipindi cha Dakika 45

    Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mahojiano katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kupitia...
  9. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Upinzani waliomba Jeshi kususia uchaguzi nchini Venezuela

    Kiongozi wa upinzani Venezuela Juan Guaido amelitaka jeshi la nchi hiyo kuunga mkono hatua ya kususia uchaguzi wa bunge unaopangwa Desemba na kusaidia kuongeza shinikizo la kimataifa dhidi ya Rais Nicolas Maduro. Katika hotuba aliyorusha kwenye mitandao ya kijamii, Guaido ameuomba uongozi wa...
  10. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania CCM inadandia hoja nzito za upinzani, alianza Kikwete mwaka 2010 na kima cha chini cha mshahara. Huenda hawajui hata kuandaa ilani yao!

    Kwa mantiki hii ipo sasa haja ya moja kwa moja kuipumzisha CCM, kwanini? Kama mtakumbuka kuwa, mwaka 2010 Rais mstasfu Jakaya Kikwete alikuwa na mgogoro mkubwa sana na Katibu mkuu wa TUCTA wa wakati huo Nicholas Mgaya. Mgogoro huo ni kuwa bwana Mgaya alikuwa anashinikiza wafanyakazi kima chao...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, mnafanya vizuri wenzenu mchecheto

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Tunapoendelea kusonga mbele na jitihada za kuleta mabadiliko ambayo kila aliye mzalendo angeyapenda, wenye mawazo mgando wanazidi kuingiwa mchecheto. Hofu imewatanda hawakumbuki jana walisema nini, leo wasemeje wala kesho watasema je. Palikuwa na hadithi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo CCM ya leo inayopumulia mashine ilipofika

    Naweza sema CCM ya leo inaangamia kutokana na watu wake ama kukosa maarifa,au kutokana na wao kukataa tamaa na sasa wanaamua waende tu hivyo hivyo ili mradi tu bado wana dola mkononi. Kwa maneno mengine,kipimo cha namna gani mambo yao yanaenda vizuru sio tena ni namna gani wanakubalika kwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani ni sera mbadala, si 'kuunga mkono juhudi'

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaoelekeza mashambulizi kwa upinzani, hasa mgombea wa CHADEMA, T. A. Lissu. Katika mazingira ya uchaguzi ambapo chama kimoja kinaomba kura kurejea madarakani (chama tawala) na vyama vingine (vya upinzani) vinatafuta kukiondoa madarakani chama tawala, ni udhaifu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkono wa beberu Amsterdam, wapinzani kushindwa kuungana umesababisha CCM kukosa upinzani madhubuti

    Ndugu Watanzania wenzangu. Kipekee napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuiona tena siku ya leo. Baada ya kuangalia na kutathimini mwenendo wa kampeni zinazoendelea kwenye vyama vyote, huku nikirejea kampeni za 2015, ni dhahiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu, 2020, Chama Cha Mapinduzi...
  16. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla

    Charisma - compelling attractiveness or charm that can inspire devotion in others. Kwa tafsiri ya kiswahili, Charisma ni ule mvuto mtu anaokuwa nao mpaka unatamani kama anaongea aendelee kuongea. Katika siasa Charisma ni kitu cha umuhimu sana, kama huna Charisma, huwezi kuvutia watu...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Akiwa Shinyanga Mjini Rais Magufuli anawataka Wananchi wasichague Mbunge wa Upinzani hata kama anafaa, kweli?

    Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa. Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu. Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uandaliwe mdahalo wa wagombea Urais wa Vyama vya Upinzani wanaompa changamoto Rais Magufuli

    Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli. Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya...
  19. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushindi wa CCM Oktoba 2020 itakuwa ni fedheha kwa CHADEMA na ACT Wazalendo na upinzani wote

    USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT. Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali kugawana kura kiulani Sana, kwa ubishi huu wa kujifanya mnajua Sana kuliko watazamaji wanaojua Nini...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Somo la bure kwa Vyama vya Upinzani mwaka huu

    Vyama vya upinzani vimeegemea kuamini kuwa wananchi wanaichukia sana serikali ya CCM kutokana na mambo mawili: mzunguko wa pesa kupungua mitaani, na serikali ya CCM kuwabana sana watu wafuate sheria na kusimamia sana raslimali za nchi bila kuwasikiliza watu wa nje. Hizo ndizo mada za...
Back
Top Bottom