upinzani

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

    Wanabodi, Kipenga cha kuanza kwa kampeni za Uchanguzi Mkuu ujao kimepulizwa leo na fungua dimba amekuwa Chadema. Nimeangalia kidogo kupitia live ya TBC, kiukweli nilichoshuhudia, ndicho kimenipelekea mimi kuanzisha huu uzi ambao ni swali. Je, Tanzania tuna upinzani wa kweli, upinzani makini...
  2. fenestra rotunda

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitakachotugharimu Upinzani kwenye huu Uchaguzi

    Ni wazi sasa kuwa nguvu kubwa imewekwa kwenye Urais huku Ubunge na Udiwani ukiwekwa pembeni. Hili linadhihirishwa kwa jinsi matatizo ya kuenguliwa wagombea yalivyoshughulikiwa mpaka dakika ya mwisho, na vile muda wa kukata rufaa umeshaisha tayari. Bila kuwapa support hao wagombea waliopata...
  3. fenestra rotunda

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa hili la kuenguliwa Wagombea wa Upinzani, tuna la kujifunza

    Wakuu salaam, Baada tu ya wagombea ubunge na Udiwani wa CHADEMA kuchukua fomu maeneo mbalimbali Tanzania watu walitoa ushauri jinsi ya kuepuka makosa kama yale ya 2019. Katika majimbo yote ya Uchaguzi ni majimbo machache saana ambayo niliona wagombea wa ngazi mbalimbali wakiongozwa na wagombea...
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe nakupenda sana, nakuomba umuachie Tundu Lissu agombee tuiondoe CCM madarakani

    Kwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania. Lakini kwa hali ya Siasa ilivyo nchini mwetu na kiu ya watanzania kuondokana na kivuli kizito kilichodumu kwa zaidi ya miaka 59 cha umasikini uliokithiri, ujinga, maradhi, ukiukwaji...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya watanzania kumchagua Magufuli kwenye Uchaguzi Mkuu hakika huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa Upinzani

    Imani tuliyonayo watanzania kwa jemedari wetu wa mapambano dhidi ya ufisadi, rushwa, uhujumu uchumi na uzembe ni wa kiwango kisichotiliwa shaka yoyote hususani kwa tukio lilipo mbele yetu la uchaguzi. Binafsi , mimi ni mmoja wa waumini safi wa kazi na misimamo ya Rais Magufuli kwa rasilimali...
  6. 2019

    JamiiForums Tanzania Tofauti ni hii: Upinzani wapo bize sana mitandaoni, CCM wao ni maarufu sana mitaani

    Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa. Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015). Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nakuuliza IGP Sirro, Mpaka sasa Polisi imewakamata watu wangapi waliotumika kuteka, kuumiza na kupora fomu za Wagombea wa Upinzani?

    Imebidi nijitokeza kukuuliza hadharani kwa vile mpaka sasa bado sijasikia ripoti yoyote ya polisi kuhusiana na jambo hili lililoitia aibu Nchi kote duniani Nilikuwepo kwenye kikao chako cha kujadiliana na wadau wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa masuala mbalimbali ya kuhusiana...
  8. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mna saa 24 kuanzia sasa kuweka pingamizi kwenye Majimbo mliyopoteza

    CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM. Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali. Mapambano bado yanaendelea!
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

    Abdulazizi Abood (CCM) amepitishwa kama mgombea pekee katika Jimbo hilo baada ya wagombea wa upinzani kukatwa kwasababu ya makosa yaliyobainika kwenye ujazaji wa fomu Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini amewafutilia mbali wagombea wote wa vyama vya upinzani akiwemo Devotha Minja wa...
  10. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kazi imeanzaWagombea ubunge wa upinzani morogoro mjini wakatwa

    Msimamizi wa uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge wa vyama vya upinzan kutokana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee abdulaziz abood wa ccm amepita bila kupingwa
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali na CCM wanapanda mbegu ya visasi na vita ya wenyewe kwa wenyewe, uchukuaji na urejeshaji wa fomu umekuwa vita?

    Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI? Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo. Kinachoendelea sasa nchini katika zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu imekuwa vita hasa kwa upinzani na...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri za kukwepa kuibiwa au kuporwa fomu za uteuzi kwa wagombea wa CHADEMA

    Pigeni photocopy hizo fomu kisha mzijaze na mzihifadhi kwenye bahasha zinazofanania na zile za NEC then siku ya kurudisha fomu mnabeba mkononi fomu feki huku form Halisi mkiwa mmeificha sehemu salama mfano inaweza kuwa hata ndani ya shati, ikitokea mtu kavamia na kupora form basi mtakuwa...
  13. fenestra rotunda

    JamiiForums Tanzania Upinzani mmepewa mbinu nyingine ya ushindi, akili kichwani

    Kwa yanayoendelea mpaka sasa sijajua ni kwa jinsi gani upinzani umejiandaa kulinda kura zao kuanzia level ya vituo vya kupigia kura ambavyo viko 88k+ nchi nzima. Ila hilo halinifanyi niache kuwashauri hata kama tayari wanazo mbinu Mbadala. Kwa harakaharaka utagundua kuna mchezo unapangwa na...
  14. 2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbezi beach Vs Mtoni Kijichi | Chagua CCM upate maendeleo chagua upinzani uendelee kusota

    Hii kila mtu kichwani mwake kila mmoja na maamuzi yake kwenye box MBEZI BEACH Ila ni kwamba Mbezi beach,Tegeta maeneo ya Kawe yalionekana ya hadhi sana ukiangalia mpangilio na geografia ya maeneo hayo yamepangwa vizuri na hata ujenzi wa nyumba zake kidogo ni za hadhi ya juu. Katika pita pita...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

    Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Adabu zimeshikwa; CCM waliahidi, wametenda

    CCM ipo sana kwenye hatamu za uongozi wa Tanzania. Kila baada ya muda flani, CCM hujutafakari na kujiunda upya. Hii ni sifa muhimu sana kwa chama cha siasa. Mnayoyaona yanatokea leo, hayatokei kwa bahati mbaya, ni mipango Mahususi kutoka kwa mabingwa wa siasa. Tuliahidi kushikisha watu adabu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini hotuba za Wanasiasa wa Tanzania (wa Upinzani na Chama Tawala) ni za kiwango cha chini mno? Nimewawekea mifano ili wajiongeze

    Hivi tatizo ni nini? Hatuna waandishi wazuri wa hotuba? Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo? Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uteuzi wa Wagombea Ubunge CCM ni tishio na funzo kubwa kwa Upinzani

    Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Uteuzi huo unaweza kutazamwa kwa sura mbili, yaani sura ya kwanza kuwa ni tishio na ile pili...
  19. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

    Alexei Navalny ambaye amekuwa mstari wa mbele wa kuipinga Serikali ya Urusi inayoongozwa na Vladimir Putin ameripotiwa kupewa sumu na kukimbizwa Hospitali akiwa hajitambui. Inaelezwa kuwa Alexei ambaye amejipambanua kama mwanaharakati wa kupinga rushwa amewekewa sumu hiyo kwenye chai yake...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vyama vya upinzani nchini Tanzania subirini dawa aliyonayo Kiiza Besigye katika kumtoa Rais Museveni, ili nanyi pia muiige na mumtoe Rais Magufuli

    Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki. ITV Tanzania Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
Back
Top Bottom