Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa...
Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini?
Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata...
1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia
2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi
3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali
4. Wasitumie...
Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda...
Katika siasa za ushindani kama ilivyo ushindani holela wa soko huria kumeibuka upotoshwaji mkubwa wa kutumia fikra za Mwalimu Nyerere nyingi na hapa nitajikita katika dhana ya “UHURU”.
Kwa makusudi katika mchakato wa kuwa makuhadi wa soko huria, na pengine pia wapinzani kutokuwa na falsafa ...
CCM kinajua kuwa siyo rahisi kushinda kwa sanduku la kura, sasa wapo tayari kwa lolote ilimradi warudi Ikulu upinzani wapende wasipende.
CCM kinajua kina Madudu mengi hasa kwenye miradi hasa kwenye miradi hii mimea ya STIGLERS, SGR na ununuzi wa ndege ambao hata CAG hakueleza ni vipi...
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani...
Salaam Wakuu,
Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea.
======
UPDATES:
1048HRS: Kwa sasa ni Burudani inaendelea
1100HRS: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wanaingia Ukumbini wakiongonzwa na
Zitto...
Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife.
Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa...
Ni majimbo yafuatayo:
1. Kawe
2. Mikumi
3. Iringa mjini
4. Mbeya mjini
5. Tunduma
6. Hai
7. Karatu
8. Bunda
9. Tarime mjini
10. Tarime vijijini
11. Arusha mjini
Natamani kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa.
Maendeleo...
Vyama vya upinzani ambavyo vinataka vipewe dola vina safari ndefu sana ya kujenga Taasisi zao kuwa zenye uimara wa kiuongozi na hata uendeshaji wake. Kwakweli vyama hivi haviishi vituko kila kukicha. Wikiendi hii tulishuhudia Chama cha ACT Wazalendo cha Zitto Kabwe kikizundua Ilani yake ya...
Nimeshangaa kuona kwamba wengi wa wanachama wa CCM pamoja na viongizi wao wamekuwa wakiwashambulia watu wa upinzani kila wanapotoa maoni juu ya miradi kama SGR, ndege za ATC, mradi wa umeme wa SGR, flyover nk
Utakuta mtu anasema kwa nini unapanda ndege za ATC alizonunua Magufuli wakati...
Kwanza nawalaumu CHADEMA kwa kutoweka wagombea Pemba na Unguja,hili ni kosa linalowagharimu upinzani,mnaposhirikiana mnatakiwa muwe pamoja ndivyo alivyoondolewa Hitler wa Ujerumani.
Ninachowataka kwa hawa waliobakia wawepo wepo tu na kampeni za uwongo na kweli,wakati nia ni kumuunga mkono...
Leo kwa mara nyingine CHADEMA imeidhihirishia umma kuwa ni chama cha kidikteta na isiyoheshimu misingi ya demkrasia, uhuru na haki ya kisiasa ya kila chama na kila mtanzania.
Dunia yote imeshangaa tamko la Mbowe leo akisisitiza huku akitokwa na povu kwamba CHADEMA na CCM tu ndivyo vyama...
CCM ikikosa dhamana ya kuongoza nchi, kama haitasambaratika kitakua chama bora cha upinzani kupata kutokea Tanzania. Kuna makosa machache yakifanyiwa kazi na CCM kuingia kwenye tanuri kitatoka kama dhahabu safi inayo ng’ara.
CCM Ina uzoefu wa kuiongoza nchi, hivyo itakua mkosoaji mkubwa wa...
Ndugu Polepole
Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba.
Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka...
Nashangaa kuona vijana wa CHADEMA na ACT wakihangaika kujadili suala ambalo katika demokrasia halina mjadala.
Magufuli akiwa mgombea wa CCM amekuwa akiwapigia debe wagombea wa CCM na kuwanadi na kusema bayana kuwa mkiniletea flani hapa maendeleo yatakuja msiponiletea huyu hiiiiiiiiiiii shauri...
Napendekeza, endapo atashinda JPM basi yale majimbo yatakayokuwa yameangukia upinzani kodi zao wabaki nazo ili wapange mipango yao ya maendeleo. Nadhani hili halitakuwa na ubishi kwa sababu JPM ametamka waziwazi kwamba hatapelekea maendeleo kwenye majimbo watakayochagua wabunge wa vyama vingine...
Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe)
Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.