uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Queen V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Gwajima adai Mdee alimuwekea vizuizi Magufuli kupeleka maendeleo Kawe. Je, inawezekana kweli?

    Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza. Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

    Ipo hivi wachawi hawapatani na baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini. Maji ya mvua!!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe. Maji ya bahari!!! Hii...
  3. Shark

    JamiiForums Tanzania CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari - Vionjo vitamu vya uongo wanavyotoa wagombea wa CCM

    WaTanzania kaeni chonjo na hotuba za viongozi na wagombea wa CCM,wasikilizeni tu,mkiondoka unakibusu kichinjio huku unajisemea CCM mtanitambua mwaka huu.Chakubanga anakusanya vyombo vya habari na kurusha tumbaku,uongo mtupu,ila jamaa anajua kupangilia kama una akili ya kizezeta unaona kasema...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

    Wanabodi, Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC London, na kwa Francophone Africa ni France na RFI na F24 TV. Sasa inapotokea chombo kama BBC London...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alishasema hatabadili Katiba ili kusalia madarakani. Kwanini Kabwe, Membe, Tundu Lissu mnamenea mnamnenea uongo ?

    Zitto kabwe alichokiandika kwenye Gazette la South Africa (Tanzania’s election: Time for urgent action) ni ni mandalizi ya kuanzisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi. Agenda ya kuwadanganya wananchi eti wasimchague Magufuli kwa kusingizia eti akichaguliwa tena atabadiri katiba ni hoja ya...
  7. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Lissu unasema uongo kuhusu Jeshi la Akiba, umesahau au hujui?

    Juzi nilimsikia intern wangu akidai mgambo ni intarahamwe na kuwa hakuna kitu kinaitwa jeshi la akiba. Nimpe benefit of doubt kuwa hajui au kasahau. Ningependa nimumbushe tena kwa picha. Kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha JKT na jeshi la mgambo yeyote aliepitia JKT au mgambo ni askari wa akiba...
  8. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Academic weapon, weapon of propaganda, ugonjwa wa uongo ambao wazungu wameuleta Tanzania

    Leo 17:55hrs 06/09/2020 Wazungu walituletea Nuclear weapon ikaua wajapan kule Hiroshima na Nagasaki, Majiji Makubwa mfano wa Tokyo, Majiji ya Hiroshima na Nagasaki yaliteketea ndani ya dakika, dunia ikapoteza mainjia wa daraja la juu, wasomi wa daraja la sita, Maguru wa elimu, Academician wenye...
  9. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli, tupe Mchanganuo wa Vituo vya Afya na Barabara ulizojenga, siamini kama vipo

    Tumekuwa na Rais mjanja sana. Jana akiwa singida alitaja miradi mingi ya 2013-2015 kama sehemu ya mafanikio yake Sasa ili nirudishe imani kwake angefanya yafuatayo: 1. Atoe orodha ya majina ya vituo vya afya 487 alivyojenga nchi hii 2. Sekta na mgawanyo wa ajira 6M 3. Barabara na urefu wake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jackson Kangoye agoma kumuunga Michael Kembaki Tarime, ashangaa undumilakuwili na uongo wa Bashiru na Polepole

    Maumivu ya uteuzi wa wagombea ubunge ndani ya CCM bado unaendelea. Japo wengi hawasemi wazi lakini chini kwa chini kuna mgogoro mkubwa. Katika Jimbo la Tarime mjini, aliyeongoza kura za maoni ni Jackson Kangoye na aliyemfuatia ni Michael Kembaki ambaye ndio aliyeteuliwa kuwa mgombea ubunge...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsamehe Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Rufiji aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu ubovu wa gari la wagonjwa!

    Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu. RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya...
  12. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Tuambie uongo uliowahi kuambiwa kuhusu magari

    Imagine nikiwa mdogo nliambiwa ETI Range rover haziruhusiwi kupaki benki, kwa sababu eti zina speed kali kwa hiyo zikitumiwa na majambazi kupora, polisi hawawezi kuzifukuzia wakazipata. Halafu pia eti, Range rover huwa hazipinduki, eti kwa sababu tairi zake huwa zinatanuka gari ikitaka...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

    Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu. Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi...
  14. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hebu tukumbushane uongo ambao Watanzania tuliwahi kudanganywa

    Kuna uongo mwingi tuliwahi kuongopewa na watanzania weangi wakauamini hadi watu wakubwa na tuliodhani wanajua mambonao wakaukumbatia. Mimi ninaanza na huu. 1. Kipindi cha Jakaya Mrisho Kikwete akiwa rais, nakumbuka magazeti kadhaa na redio kadhaa ziliwahi ripoti kuwa kuna mapacha wawili ni...
  15. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Prof. Kabudi ni uongo na ulaghai na hana sifa ya kujiongeza ambayo ni sifa mama ya waziri wa diplomasia akiwa na Rais aina ya Magufuli

    Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana. Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa...
  17. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Rais Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015, ambazo ziligeuka uongo

    Wanajamvi, kitu nawachukia wanasiasa ni uongo. Kuna mtu alisema “mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni mchana, kama mko ndani, toka nje uhakikishe jua lipo” Chini hapo ni hotuba ya Maghufuli siku anafungua kampeni 2015. Kiaina naona kama kila alichoahidi, kafanya kinyume kabisa! Imekaaje hii...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la New York Times ni chuo cha kupika uongo, uzushi na uzandiki juu ya rais Trump

    Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news. Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana? Juzi New York Times walitoa habari kua Urusi imewalipa hongo wapiganaji wa Taliban kuwaua wamarekani au waingereza...
  19. Majan

    JamiiForums Tanzania Chachuo moja kweli ama uongo mfupi kujirahishia maswali

    Habari.! Binafsi naamini kuna muda uongo unaruhiwa inategemea nikatika hali gani. Sasa kuna binti kisa chake kilitatanisha na kusababisha ugumu wa kumuamini. Kisa chenyewe ni hiki. Kuna bint juzi nilimkuta anaomba msaada kijiweni kwa wamama flani ivi wauza mafuta ya alizeti maelezo yake...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

    Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru . Hakuna...
Back
Top Bottom