Gazeti la New York Times ni chuo cha kupika uongo, uzushi na uzandiki juu ya rais Trump

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,450
17,152
Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news.

Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana?

Juzi New York Times walitoa habari kua Urusi imewalipa hongo wapiganaji wa Taliban kuwaua wamarekani au waingereza. Hiyo habari ikabebwa kama ilivyo na Washington post, cnn, msnbc, ikakuzwa balaa.

Mbaya zaidi Trump akatuhumiwa kuwa amepewa taarifa akaipuuza, hachukui hatua, hataki kuwalinda wamarekani, amekiuka kiapo.

Kama kawaida chanzo chao cha habari hua ni 'source', au anonymous source au someone with knowledge, au someone not authorized to speak in public. Trump alisema sasa ni wakati watu tuwe tunadai kujua hiyo source ni kitu gani. Isiwe mtu anatunga uzushi anajificha kwenye source, our source within the Trump administration.

Sasa imegundulika kua hiyo habari ni uzushi, uzandiki na uongo kwani hata CIA wenyewe wanasema ni habari ya kizushi, Urusi ilisema huo ni uzushi kama kawaida ya NY Times na wala Trump hakuambiwa sababu ni uzushi.

CIA official chose not to tell Trump of Russia bounty report, top adviser claims

Nami nasema thanks to social media, tunaweza kupambana na uzushi.

Mh kwani huko hakuna kufungua kesi na kufungia vyombo vya habari vinavyoleta uchochezi?
 
Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news.

Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana?

Juzi New York Times walitoa habari kua Urusi imewalipa hongo wapiganaji wa Taliban kuwaua wamarekani au waingereza. Hiyo habari ikabebwa kama ilivyo na Washington post, cnn, msnbc, ikakuzwa balaa.

Mbaya zaidi Trump akatuhumiwa kua amepewa taarifa akaipuuza, hachukui hatua, hataki kuwalinda wamarekani, amekiuka kiapo.

Kama kawaida chanzo chao cha habari hua ni 'source', au anonymous source au someone with knowledge, au someone not authorized to speak in public. Trump alisema sasa ni wakati watu tuwe tunadai kujua hiyo source ni kitu gani. Isiwe mtu anatunga uzushi anajificha kwenye source, our source within the Trump administration.

Sasa imegundulika kua hiyo habari ni uzushi, uzandiki na uongo kwani hata CIA wenyewe wanasema ni habari ya kizushi, Urusi ilisema huo ni uzushi kama kawaida ya NY Times na wala Trump hakuambiwa sababu ni uzushi.

CIA official chose not to tell Trump of Russia bounty report, top adviser claims

Nami nasema thanks to social media, tunaweza kupambana na uzushi.

Hizi fake media ni hatari kuzidi Coronavirus
 
Tatizo kubwa la Main stream media za USA hawataki Trump ashinde term ya pili, come November!! Ndio maana wakati mwingine wanakuja na hadithi za kitoto zisizo kuwa na kichwa wala miguu.

Mwaka juzi nilishangazwa na behaviour za waadishi wa habari specifically CNN walio ambatana na Trump kwenda Finland kukutana na Putin - mwandishi wa CNN alikuwa anadai eti Trump hasiruhusiwe kukutana na Putin bila ya uwepo wa waadishi wa CNN ili kuhakikisha Trump hazidiwi akili na Putin akakubalina na m apendenkezo ya Urusi bila ya kujali usalama wa Merikani!!

Hii inadhilisha kwamba CNN na New York times ujifanya ni Govt within Govt wanamchukulia Trump kama ni ceremonial President hasiye na mamlaka yoyote on how his Govt should be run - ajabu sana.
 
Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news.

Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana?

Juzi New York Times walitoa habari kua Urusi imewalipa hongo wapiganaji wa Taliban kuwaua wamarekani au waingereza. Hiyo habari ikabebwa kama ilivyo na Washington post, cnn, msnbc, ikakuzwa balaa.

Mbaya zaidi Trump akatuhumiwa kua amepewa taarifa akaipuuza, hachukui hatua, hataki kuwalinda wamarekani, amekiuka kiapo.

Kama kawaida chanzo chao cha habari hua ni 'source', au anonymous source au someone with knowledge, au someone not authorized to speak in public. Trump alisema sasa ni wakati watu tuwe tunadai kujua hiyo source ni kitu gani. Isiwe mtu anatunga uzushi anajificha kwenye source, our source within the Trump administration.

Sasa imegundulika kua hiyo habari ni uzushi, uzandiki na uongo kwani hata CIA wenyewe wanasema ni habari ya kizushi, Urusi ilisema huo ni uzushi kama kawaida ya NY Times na wala Trump hakuambiwa sababu ni uzushi.

CIA official chose not to tell Trump of Russia bounty report, top adviser claims

Nami nasema thanks to social media, tunaweza kupambana na uzushi.

TRUMP Ni mtu mwongo sana, anajua kuupindisha ukweli ili uonekane kuwa ni uongo, na katika hilo amefanikiwa sana kuwahadaa wafuasi wake. Kwa kuwa bado hakuna taarifa rasmi toka INTEL Community huwezi kusema chochote, lakini ni hatari sana kumsikiliza TRUMP kwa kuwa ni mtu mwongo anayepindishpindisha maneno, akiongea maneno kumi mawili tu yanaweza kuwa kweli.
 
Gazeti la New York times ni chuo cha kupika uongo, uzushi na uzandiki juu ya rais Trump
Heri ungejikita katika kufukua makaburi ya Bongo.

fake news1.jpg

Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news.
Do you even know what you are saying? Masikini Mfukua Makaburi!

trumpism.jpg
 
Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news.

Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana?

Juzi New York Times walitoa habari kua Urusi imewalipa hongo wapiganaji wa Taliban kuwaua wamarekani au waingereza. Hiyo habari ikabebwa kama ilivyo na Washington post, cnn, msnbc, ikakuzwa balaa.

Mbaya zaidi Trump akatuhumiwa kua amepewa taarifa akaipuuza, hachukui hatua, hataki kuwalinda wamarekani, amekiuka kiapo.

Kama kawaida chanzo chao cha habari hua ni 'source', au anonymous source au someone with knowledge, au someone not authorized to speak in public. Trump alisema sasa ni wakati watu tuwe tunadai kujua hiyo source ni kitu gani. Isiwe mtu anatunga uzushi anajificha kwenye source, our source within the Trump administration.

Sasa imegundulika kua hiyo habari ni uzushi, uzandiki na uongo kwani hata CIA wenyewe wanasema ni habari ya kizushi, Urusi ilisema huo ni uzushi kama kawaida ya NY Times na wala Trump hakuambiwa sababu ni uzushi.

CIA official chose not to tell Trump of Russia bounty report, top adviser claims

Nami nasema thanks to social media, tunaweza kupambana na uzushi.

Ni kama Zitto na Mbowe walivyo mabingwa wa kupika uongo. Hivi kifundo cha mguu kesha rejesha zile bil 8? Na je nyepesi kaandika barua WB kuhusu middle?
 
Hata Kama wakiweza kupika taarifa hizo na wakasaidia Huyu Mpuuzi Trump kutoka madarakani, Basi watakuwa wamefanya kitu Cha maana. Hakuna sababu ya Trump kushika mhula mwingine
Mwaka 2016 alipoingia madarakani alisitisha mradi ambao nilikuwa nimeajiriwa kwayo, na kunisababisha kusota mtaani. Akiingia Rais mwingine Lazima atasupport mradi huo kwa kishindo
 
Wewe ulipopoteza kazi kuna wenzako walipata mahala pengine. Hao wanaomba Trump aendelee kua rais.

Hivyo kilio chako kinaweza kua hakina maana.
 
Trump atakuwa stupid sana kama anaamini Putin hawezi kufanya jambo kama hilo!! Kwamba US Soldiers waliuawa, NDIYO! Tena mmoja wao ni Special Force! Both Russia na US huwa wanatumia proxies kuhujumu upane wa pili; and Trumo knows it!

Huko Afghanistan kwenyewe kunakohusu hii story, waanzilishi wa kutumia Proxies ni hao hao Marekani enzi USSR wameikalia Afghanistan! Ni hao hao US wakisaidiana na Saudi Arabia kwa upande mmoja na Pakistan kwa upande mwingine ndio walikuwa wanatumia Mujahedeen na baadae hao hao Taliban ili kupigana na Russia!!

Sasa Trump anaamini vp kwamba Russia hawawezi kufanya kile kile ambacho wao walikuwa wanafanya zama zile, na hadi leo wanaendelea kufanya when necessary?!

Ningemwelewa sana Trump endapo angekanusha habari za intelligence agencies kutoa briefing kwa Trump kuhusu issue husika, lakini unakanusha jambo ambalo wenye wajibu wa kukanusha ni Russia wenyewe na Taliban... what am I missing here!!
 
Back
Top Bottom