Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
6,217
2,000
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.

Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)
Tunaanza kuelewa ukweli wa mambo na yajayo yanafurahisha zaidi, watu watajua ukweli wa mambo ambayo sasa yamefichwa kwa siri kubwa lakini yote yatawekwa wazi.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,838
2,000
Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,175
2,000
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.

Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)
Aiseeee !! kwahiyo zile porojo za magumashi kwamba tunajenga kwa pesa zetu itakuwaje ?
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,175
2,000
Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
mkuu jikite kwenye mada , ni kweli mmekopa hii mihela kutoka kwa mabeberu ? suala la usalama tuliache kwanza maana magufuli alipokuwa anapewa urais na kikwete hata hakujua hata koplo ana "V" ngapi
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
2,718
2,000
Ngoja kampeni zianze ndio wapinzani mtaelewa ni kwa namna gani Magu anakubalika.

Wakati mnaangaika na character assassination, mwenzenu yupo na kutatua kero za wapiga kura.

Huku Lissu ambae anapoongea hata mtoto mdogo anaweza hitimisha ni chuki binafsi tu; kule Membe mwanasiasa ambae hana public speaking skills yule sidhani kama wapiga kura wanaweza sikiliza speech yake kwa nusu saa tu (labda Zitto ndio amfanyie hiyo kazi).
 
THE BREED

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
1,671
2,000
Aisee!kwa hiyo hadi sasa kila kiumbe wa tanzania hadi chawa na utitiri tunadaiwa sh. ngapi??
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,668
2,000
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.

Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)
Amesema tumekopa 40t au umesikia vibaya? Suala la kukopa hilo halina mjadala, ila hiyo figure ya 40t ni vyema ikapata ufafanuzi mzuri.
 
Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
393
1,000
kwa kutazama kwa jicho la Tatu ..kwa hoja yake inadhihirisha kuwa tunakopesheka!...kuna nchi hazina sifa hata ya kukopa USD 1m
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom