Uchaguzi 2020 Gwajima adai Mdee alimuwekea vizuizi Magufuli kupeleka maendeleo Kawe. Je, inawezekana kweli?

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
775
1,330
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza.

Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani.

Pamoja na kwamba ilikuwa ngumu kuwaletea maendeleo watu wa Kawe kutokana na vizuizi ulivyowekewa na Mbunge aliyekuwepo, ulitafuta njia mbadala ya kuwafikishia maendeleo

Hivi hilo linawezekana? Yaani Serikali iamue kufanya jambo fulani halafu Mbunge aweke kizuizi?
 
Hivi unaona akili za GWAJIBOY zipo sawa kweli?
 
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...

Hivi hilo linawezekana? Yaani Serikali iamue kufanya jambo fulani halafu Mbunge aweke kizuizi?
Kwani pale JPM anapotaka bajeti yake ipitishwe bungeni ili ikafanye kazi majimboni alafu Mdee anakataa kuipitisha huoni hapo ni kizuizi?
 
Gwajima huwezi jua maana akili yake anaijua mwenyewe ............ Si kwenye ile list ya Bashite ya walipimwa mkoja yumo.

Inawezekana asubuhi kabla ya mkutano alishafanya mambo yake ..... bado hang over inamsumbua!!
 
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza.

Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani.

Pamoja na kwamba ilikuwa ngumu kuwaletea maendeleo watu wa Kawe kutokana na vizuizi ulivyowekewa na Mbunge aliyekuwepo, ulitafuta njia mbadala ya kuwafikishia maendeleo

Hivi hilo linawezekana? Yaani Serikali iamue kufanya jambo fulani halafu Mbunge aweke kizuizi?
One of those potshots
 
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...

Yaani mimi nilishaachaga kumuamini Gwaji boya kitambo sana ,baada ya kujua kumbe anayosemaga huwa hayatoki kichwani kwake .maana ukifuatilia clips zake za mahubiri za nyuma utajua kwamba huyu Askofu ana matatizo binafsi na nafsi yake.

Yaani anatuaminishaga yale mambo yasiyotekelezeka.kuna wakati alikuwa anasema kabisa yeye hana mpango wowote wa kuwa mwanasiasa sababu hakuna kazi kubwa kuliko kuwa mtumishi wa Mungu.

Mtumishi wa Mungu akiwa hana msimamo,yaani akipoteza msimamo wake ni hatari kubwa zaidi kuliko mtu wa kawaida.sifa kubwa ya mtumishi wa Mungu ni kuwa na "consistance" kwa yale uliyiwaaminisha kondooo wako
 
Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani

Sheria ipi inakataza kuwa jimbo la upinzani halipaswi kupewa maendeleo?Hivi Gwajima ni doctor(PhD) au huwa anajiita tu ni doctor?

Kimaadili na Kikatiba hili ni Kosa ,ukija kwa Tume ya Uchaguzi sasa hapo wanakaa kimya kama vile hawajasikia kitu.
 
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza..
Hilo ni jambo lililokuwa bayana kabisa, kwa kuwa ni sera ya Mheshimiwa kutokupeleka maendeleo ktk majimbo yenye wabunge wa upinzani.
 
Magufuli for life
FB_IMG_1602668129526.jpg
 
Back
Top Bottom