Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Ipo hivi wachawi hawapatani na baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini.

Maji ya mvua!!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe.

Maji ya bahari!!! Hii nadhaniMshana ashalezea maji hayo yana chumvi na hivyo yana sifa ya kuzuia uchawi pia huko baharini kuna mapepo makubwa hivyo wachawi hawawezi kufua dafu so proved uchawi haukatizi bahari unaweza mloga mtu asitibiwe hapa ila akaenda India akatibiwa vizuri tu.

Maji ya baraka!! Uchawi na maji ya baraka haviivi ukirusha maji ya baraka mahali penye uchawi yanarudi tena kwenye chupa yaani ni kama rewing fulani hivi.

Sasa kuna maji ambayo wachawi huyachezea vzr tu ni maji ya mito, mabwawa na maziwa haya maji yaogope sana wachawi wanayatumia sana tu.

Na pia kwa kukuongezea kuna haya maji ya visima virefu underground water haya pia wachawi wanaogopa sababu yana chumvi.
 
Teh teh teh teh
Naona umeongea kwa hisia zaidi.

Mie nipo sema ubize.
Ni lazima nibubujike kwa hisia maana ile nafasi moyoni mwangu bado ii wazi na weye ndo wakuiziba! Ni vile tu naogopa kusema ndo maana najiumauma!

Moyo unakutaka tena kwa bashasha!.. mtoto hurulaini uliejaa matumaini.. sema nami mrembo nikulembwekeze mamii...😉
 
Karibu,,

Angalizo: usiharibu Uzi wa mjomba wako.
 
Ipo hiiv wachawi hawapatan baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini

Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe
Uchawi haupo, ni Imani tu.
 
Ahsante mamito kwa kunipa ujiko!.. sitajiita tena kilamba mwiko bali kenzy mwenye Kiko..!

Uzi wenyewe wakichawi huu usijisumbue nao..😂

Teh teh teh teh yaani nimechekaaa

Tumuache na uchawi wake.
 
Ipo hiiv wachawi hawapatan baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini

Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe
Hebu nikumbushe ni post gani tafadhali nilisema hivyo ili nipate nafasi nzuri ya kujitetea kwakuwa tayari umeshanipachika sifa ya UONGO
 
Back
Top Bottom