Uchaguzi 2020 Magufuli, tupe Mchanganuo wa Vituo vya Afya na Barabara ulizojenga, siamini kama vipo

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Tumekuwa na Rais mjanja sana. Jana akiwa singida alitaja miradi mingi ya 2013-2015 kama sehemu ya mafanikio yake

Sasa ili nirudishe imani kwake angefanya yafuatayo:

1. Atoe orodha ya majina ya vituo vya afya 487 alivyojenga nchi hii
2. Sekta na mgawanyo wa ajira 6M
3. Barabara na urefu wake kila wilaya
4. Shule alizojenga na kila halmashauri zilipo?

Hayo yamekuja baada ya kusikia Singida kajenga vituo vya afya 15 ambavyo siamuini kama vipo
 
Ukisikiliza hotuba zake za kampeni jana Ikugi,Manyoni na Singida utaviskia akivitaja kwa majina...Sasa cha kufanya wewe tafta peni na katarasi uanze kuviandika akimaliza kampeni utakua umeshapata majina na idadi...then ulinganishe tuone km hesabu ipo sawa au lah.
 
Kwa eneo nilipo alitaja vilivyojengwa 2013.
 
Takwimu za uongo tu hizi ni kama za corona hakuna ukweli serikali hii propaganda tupu.
 
Mkuu umesahau na ombi lingine la kutajiwa sehemu vilipo viwanda zaidi ya 8,000 ambavyo vimejengwa ktk awamu yake.
 
Hata akivitaja bado hamtaamini,mshaziandaa akili zenu kuwa nyinyi ni watu wa kupinga kila jambo zuri na jema kwa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom