Zitto kabwe alichokiandika kwenye Gazette la South Africa (Tanzania’s election: Time for urgent action) ni ni mandalizi ya kuanzisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi.
Agenda ya kuwadanganya wananchi eti wasimchague Magufuli kwa kusingizia eti akichaguliwa tena atabadiri katiba ni hoja ya kizandiki.
JPM alishasema kuwa hatafanya hivyo.kuendelea kumnenea uongo ni kuonyesha kuwa amewashika pabaya na pia ni kuonyesha namna Magufuli alivyo kiboko ya wezi wa Mali za taifa hili.
Watanzania tumchague kwa kura nyingi sana ili wapinzani na wasiyoitakia
Mema nchi yetu washangae.
Kulazimisha serikali ya umoja wa kitaifa kwa kusababisha vurugu hakutowasaidia wapinzani.
Mmeishiwa hoja .