Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli.
Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
Hizi tuhuma zimekuwepo kwa muda mrefu kuwa watanzanzania au raia wa nje wanapotaka kwenda nje hutakiwa kupima Covid-19 na kupatiwa cheti kuonyesha kuwa hawana maambukizi.
Lakini kumekuwa na na tetezi zinazogaa mitandaoni kuwa mamlaka husika hapa Tanzania hazitoi majibu sahihi. Na mara zote...
Kumekuwa na tabia mbaya ya baadhi ya wanasiasa kutoa taarifa za uingo ili kujipa kiki au kutaka kujenga hoja kwa maslahi binafsi. Madiwani wengi na wabunge wengi walizoea kufanya hivi.
Mifano kama iliyotokea Mbeya ni tip of the Iceberg yaani kwenye mikutano ya kisiasa wapo baadhi ya wanasiasa...
Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake.
Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu! Mlidhulumiwa nini?
Nirudi kwenye hoja kuu, ninyi wapinzani njaa mpate skendo ya kweli ya ufisadi ambayo...
Watanzania sio wajinga, ukija na hoja za kitoto wanakusikiliza kisa wanapima unachosema.
Hakuna ubishi kuwa upinzani hapa Tanzani ulipata nguvu sababu ya makosa ya Ccm kama chama tawala kuruhusu ufisadi.
Nani asiyekumbuka kuwa Lyatonga Mrema alipata kiki baada ya kuibua ufisadi wa...
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
Nasema uongo ndugu zangu? Huu msemo kwasasa ndio unatrend sana hapa jamiiforums. Ni nadra sana ukafungua uzi wowote halafu kwenye comment 10 za mwanzo usikutane na huu msemo, ni nadra sana! Nasema uongo ndugu zangu? Msemo gani mwingine una trend wakuu?
Wakuu, nmekuwa nikisoma hapa JF, mara nyingi tu huu msemo kuwa "" nasema uongo ndugu zangu?"....
Naomba kufaham msemo huu ulitokea wapi na ni nani mwasisi wake, huwa unatumika katika mzingira gani?
Japo kwa kweli unavutia sana kuutumia...
Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.
'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka...
Wanabodi,
Kila mara nasisitiza humu, uongo ukisemwa sana, na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, mwishowe uongo huo hugeuka ukweli. Na uongo ambao ni uongo mtupu, ukisemwa kuwa kitu fulani kitatokea, tusipo kanusha uongo huo, halafu hicho kitu kikaja kutokea kweli, then, kufuatia kuanuni...
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa CHADEMA kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Imeatangazwa kuwa tawi la Alqaeda la Afrika Magharibi linajulikano kama AQIM limemchagua muAlgeria Abu Obaida Yusuf al-Annabi aliyekuwa mjumbe baraza la watukufu wa tawi hilo kuchukua nafasi ya Abdelmalek Droukdel aliyekuwa kiogozi wake aliyeuliwa na majeshi ya Ufaransa mwezi Juni nchini Mali...
Mtu yoyote aliyepata kukutana na mwanadada Elizabeth Holmes, atagundua kwamba uwa hapepesi macho mara kwa mara. Mwaka 2016 alipoulizwa, ni kitu gani angependa kuona kikitokea kufikia mwaka 2025. Homes alijibu, "Watu wengi hawakumbana na changamoto ya kuwaaga wapendwa wao." Alimaanisha kwamba...
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna...
Wengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi za kizugu.
1. Bunduki kutokuisha risasi. Ushawahi ona kwenye muvi mtu ana ki bastola au SMG anamwaga...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?
Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKA
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.
Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.
Inajulikana hakuna mahali duniani...
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.
Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.